Suphian Juma
Senior Member
- Apr 2, 2019
- 133
- 546
Sio wimbo mpya siku hizi akitoka MTU ukaa mtuNjoo uone vijana wako madiwani wamenyakuliwa
Kwani wasomaje ni wa kiswahili pekee? Acha porojo, concentrate na Agenda.Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Kwani wasomaje ni wa kiswahili pekee? Acha porojo, concentrate na Agenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasema hamuogopi Magufuli ila anaiogopa Taasisi ya UraisZitto Bwana!...I can't you...unanikumbusha nikiwa mdogo kijijini natumwa kufata mahitaji ya nyumbani nyakati za usiku(kumbuka masikini hufanya manunuzi pale kitu kinapohitajika tuu, hakuna stockings).SASA Kwa uoga wangu nilikua natembea gizani Kwa kupiga miruzi au kuimba nyimbo Kwa bass ya juu kuonesha Mimi ni kidume so vibaka wasinidhuru but in actual fact nilikua ni muoga Ile mbaya kiasi kwamba ata mti ukijitingisha nagwaya.
Kwahiyo bwana Zitto huna haja ya kupiga zumali.. public sympathy hapa bongo siku hizi haifanyi KAZI.. funnily unajua ata figure (2m USD) !?...I just wish ungekuwa pia unatutaarifu mnapopewaga hizi deals na foreign agencies ili msukume interests zao..msisubiri kubanwa na Mamlaka ndo muanze kutuomba huruma zetu wakati mkinunua mahammer na ma V8 mnafunga vioo na kuweka tints tusiwabugudhi.
Anasema hamuogopi Magufuli ila anaiogopa Taasisi ya UraisZitto Bwana!...I can't you...unanikumbusha nikiwa mdogo kijijini natumwa kufata mahitaji ya nyumbani nyakati za usiku(kumbuka masikini hufanya manunuzi pale kitu kinapohitajika tuu, hakuna stockings).
SASA Kwa uoga wangu nilikua natembea gizani Kwa kupiga miruzi au kuimba nyimbo Kwa bass ya juu kuonesha Mimi ni kidume so vibaka wasinidhuru but in actual fact nilikua ni muoga Ile mbaya kiasi kwamba ata mti ukijitingisha nagwaya.
Kwahiyo bwana Zitto huna haja ya kupiga zumali.. public sympathy hapa bongo siku hizi haifanyi KAZI.. funnily unajua ata figure (2m USD) !?... I just wish ungekuwa pia unatutaarifu mnapopewaga hizi deals na foreign agencies ili msukume interests zao.
Msisubiri kubanwa na Mamlaka ndo muanze kutuomba huruma zetu wakati mkinunua mahammer na ma V8 mnafunga vioo na kuweka tints tusiwabugudhi.