Zitto sasa unakera

Zitto sasa unakera

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,832
Kama akaunti yake haijadukuliwa Mheshiwa Zitto AMENDIKA haya:

mwaka 2016/17 Wafanyakazi wote wa sekta ya Umma na Sekta Binafsi walichangia jumla ya shilingi trilioni 3 kwenye mapato yote ya Serikali kulinganisha na Wenye mitaji ambao watachangia jumla ya shilingi bilioni 900 tu kutoka kwenye kodi za faida/gawio, ongezeko la mitaji na riba (taxes on income/interests, profits and capital gains ). Kwa hiyo 75% ya Makusanyo ya Kodi ya Mapato inatoka kwa Wafayakazi na 25% inatoka kwa Waajiri.

TUCTA inapaswa kutumia takwimu kujenga hoja za kutaka nyongeza za mishahara na kupunguza makato ya Kodi, Hifadhi ya Jamii na hili la 15% ya Bodi ya Mikopo

Swali langu kwake-
Bhakresa na Mengi anawaweka wapi maana wao wanalipwa mishahara na makampuni yao inayotokana na mitaji yao; faida wanayotengeneza inakatwa kodi tena 30%
 
Take home msg ni ipi? ana kera kwa vipi?
 
Sasa hujaelewa nini?..... Makampuni ya Bakhresa na Mengi yamo kwenye hiyo 25% na Wafanyakazi wao wamo kwenye 75% fullstop!
 
Kama akaunti yake haijadukuliwa Mheshiwa Zitto AMENDIKA haya:
mwaka 2016/17 Wafanyakazi wote wa sekta ya Umma na Sekta Binafsi walichangia jumla ya shilingi trilioni 3 kwenye mapato yote ya Serikali kulinganisha na Wenye mitaji ambao watachangia jumla ya shilingi bilioni 900 tu kutoka kwenye kodi za faida/gawio, ongezeko la mitaji na riba (taxes on income/interests, profits and capital gains ). Kwa hiyo 75% ya Makusanyo ya Kodi ya Mapato inatoka kwa Wafayakazi na 25% inatoka kwa Waajiri.

TUCTA inapaswa kutumia takwimu kujenga hoja za kutaka nyongeza za mishahara na kupunguza makato ya Kodi, Hifadhi ya Jamii na hili la 15% ya Bodi ya Mikopo

Swali langu kwake-
Bhakresa na Mengi anawaweka wapi maana wao wanalipwa mishahara na makampuni yao inayotokana na mitaji yao; faida wanayotengeneza inakatwa kodi tena 30%

Amekera nini sasa?
 
Rafiki asante umeuliza swali zuri wala hakuna haja ya kusubiri Zitto akujibu ntakujibu hapahapa.

Kuna kodi za aina 2 hapo moja analipa Employer ( Corporation Tax=30% ya faida ya kampuni baada ya kutoa matumizi yote ikiwemo mishahara ya wafanyakazi)
Alafu kodi nyingine( PAYE) analipa/anakatwa employee au mfanyakazi kiwango kuanzia 9% ( Anaepata kuanzia Tsh.170,000) mpaka 30% kama anapata kipato kuanzia Tsh.720,000 kwa mwezi.
Kwahiyo Bhakresa na Mengi watakatwa kodi ya PAYE( Pay As You Earn) maana yake lipa kodi kwa Mshahara kulingana na kipato unachopata kama wafanyakazi wengine.

Then, Kampuni italipa kivyake kama imepata faida kodi ya 30% ya mapato yake kama Corporation Tax. Sasa ujue kampuni ikiundwa kisheria haina tena uhusiano wa moja kwamoja na tajiri aliyeianzisha. Kila mtu kivyake.
Hope umenipata mku?
 
ndugu mwana Lumumba sikiliza.
Bakhresa na Mengi hawalipwi mishahara. wanapata kitu inaitwa dividend ambacho ni baada ya serekali kuchukua kodi yake.
 
Mtani wangu huyu wa Kiha huwa ana matatizo yake kama ambavyo Mimi na Wewe pia tunayo yetu lakini huwa ninamuheshimu mno katika masuala mazima ya Fedha, Bajeti na Matumizi. Natofautiana nae tu Kiitikadi ya Kisiasa Yeye akiwa mwana ACT Mimi nikiwa Shabiki tu wa CCM ila Zito Kabwe ni makini na ' mwerevu ' sana na huenda Tanzania ya sasa ingepata akina Zito Kabwe 100 tu basi hata ile 1.5 Trillion isingeyeyuka kwenda kusikojulikana ambapo naamini huko huko pia itakutana na wasiojulikana na wataila pasipokujulikana.
 
ndugu mwana Lumumba sikiliza.
Bakhresa na Mengi hawalipwi mishahara. wanapata kitu inaitwa dividend ambacho ni baada ya serekali kuchukua kodi yake.
M-mbabe, Amnini nina kwambia bhakresa na mengi wapo kwenye payroll za makampuni yao na wanalatwa paye kama wewe- kamuulize mbowe atakwambia.
Halafu makampuni yao yanalipa tena kodi ya makampuni
Halafu tena wnalipa kodi kama wakutugenzi

Zaidi ya hayo mitaji wametafuta wao
 
Rafiki asante umeuliza swali zuri wala hakuna haja ya kusubiri Zitto akujibu ntakujibu hapahapa.

Kuna kodi za aina 2 hapo moja analipa Employer ( Corporation Tax=30% ya faida ya kampuni baada ya kutoa matumizi yote ikiwemo mishahara ya wafanyakazi)
Alafu kodi nyingine( PAYE) analipa/anakatwa employee au mfanyakazi kiwango kuanzia 9% ( Anaepata kuanzia Tsh.170,000) mpaka 30% kama anapata kipato kuanzia Tsh.720,000 kwa mwezi.
Kwahiyo Bhakresa na Mengi watakatwa kodi ya PAYE( Pay As You Earn) maana yake lipa kodi kwa Mshahara kulingana na kipato unachopata kama wafanyakazi wengine.

Then, Kampuni italipa kivyake kama imepata faida kodi ya 30% ya mapato yake kama Corporation Tax. Sasa ujue kampuni ikiundwa kisheria haina tena uhusiano wa moja kwamoja na tajiri aliyeianzisha. Kila mtu kivyake.
Hope umenipata mku?
Kikiwo, kwa maelezo yako mazuri ni sahihi kutowajumuisha Bakhresa na mengi katika 3 T alizosema Mh. Zitto?
 
M-mbabe, AMNINI NINA KWAMBIA BHAKRESA NA MENGI WAPO KWENYE PAYROLL ZA MAKAMPUNI YAO NA WANALATWA PAYE KAMA WEWE- KAMUULIZE MBOWE ATAKWAMBIA.
HALAFU MAKAMPUNI YAO YANALIPA TENA KODI YA MAKAMPUNI
HALAFU TENA WNALIPA KODI KAMA WAKUTUGENZI

ZAIDI YA HAYO MITAJI WAMETAFUTA WAO
kama wapo kwenye payroll, maana yake ni kwamba TRA wanajua na tayari wanachukua chao.
payroll haikai uvunguni ndugu!
 
Take home msg ni ipi? ana kera kwa vipi?
Retired, analeta hoja zisizo na msingi ; zenye lengo la kupotosha umma na; kuonyesha watu wengine umuhimu wao ni mdogo katika jamii- TAKE HOME- UMBEYA
 
Zitto ni moja ya wapika data wazuri, usipokuwa msomaji na mfuatiliaji wa mambo utamwamini kwa 100%.

Ukweli ni kuwa zitto ni moja ya wapiga hela wakubwa wa nchi hii.

Hana credibility ya kukosoa ujinga wa serikali.
All are the same.
Sheria za kupika data zpo, kwann kama anadanganya wasimshtaki!
 
kama wapo kwenye payroll, maana yake ni kwamba TRA wanajua na tayari wanachukua chao.
payroll haikai uvunguni ndugu!
M-mbabe, SOMA TENA ALICHOANDIKA MH. ZITTO
 
Back
Top Bottom