Zitto sasa unakera

Zitto sasa unakera

Argue, do not lose temper and shout! Do not take it personally either. Anakera kwa vipi? Chambua bandiko lake na kulisambaratisha kwa hoja yenye takwimu. Short of that kee quiet.
Sandinistas, NDIYO MAANA NAMUULIZA ANIFAFANULIE NANI WANATENGENEZA 3 T NA NANI WANATENGENEZA 900B NA KWA NINI WENYE MAKAMPUNI NA MITAJI ANAWATOA KWENYE 3T
 
Zitto ni moja ya wapika data wazuri, usipokuwa msomaji na mfuatiliaji wa mambo utamwamini kwa 100%.

Ukweli ni kuwa zitto ni moja ya wapiga hela wakubwa wa nchi hii.

Hana credibility ya kukosoa ujinga wa serikali.
All are the same.
Zitto ameweka figures!

Je, unaweza kuweka figures tofauti na hizo alizoweka Zitto?

Kwamba, out of 100% ya Makusanyo ya Kodi ya Mapato; PAYE ni % ngapi?
 
Swali langu kwake-
Bhakresa na Mengi anawaweka wapi maana wao wanalipwa mishahara na makampuni yao inayotokana na mitaji yao; faida wanayotengeneza inakatwa kodi tena 30%
Anawaweka wapi kivipi wakati ameshasema "Wafanyakazi WOTE wa sekta ya umma na binafsi wanachangia 75% na makampuni/waajiri wanachangia 25% ?!

Au hujaelewa hiyo sentensi?!

Ni kwamba, kati ya makusanyo ya mapato yote ya kodi; 75% inatokana na Pay As You Earn... PAYE! Yaani kodi wanayokatwa wafanyakazi kwenye mishahara yao!

Hao akina Mengi, Bakhresa, METL, Acacia n.k; wote hao, kodi wanayolipa kutokana na makusanyo ya mapato ya kodi is ONLY 25%!!

Kwa maana nyingine, Wafanyakazi ndio wachangiaji wakubwa kwenye mapato yanayotokana na kodi ukilinganisha na Wafanyabiashara!

Sasa tatizo lipo wapi hapo?!
 
Kikiwo, kwa maelezo yako mazuri ni sahihi kutowajumuisha Bakhresa na mengi katika 3 T alizosema Mh. Zitto?
Ni lazima wajumuishwe kama Zitto alivyosema sijaona kosa kwasababu Bhakresa na Mengi kwa sura ya kwanza kama wapo kwenye Payroll ya wafanyakazi kukatwa kodi ya PAYE ni sahihi. Alafu kwa sura ya pili, wao watagawana faida ya kampuni zao pia. Wao wanabenefit mara mbili kwanza kama wafanyakazi katika kampuni alafu kama wenye makampuni yao kwa kupata dividend (Gawio). Wakati mfanyakazi wa kawaida katika kampuni yeye anaishia kupata mshahara tu basi.
So Mh.Zitto akisema wao kama wafanyakazi wamechangia 3T ni sahihi kabisa.
 
Zitto ni moja ya wapika data wazuri, usipokuwa msomaji na mfuatiliaji wa mambo utamwamini kwa 100%.

Ukweli ni kuwa zitto ni moja ya wapiga hela wakubwa wa nchi hii.

Hana credibility ya kukosoa ujinga wa serikali.
All are the same.
kwa hiyo anachosema ni kweli ila tu sio kweli kwa sababu yeye ni mpiga hela wa nchi hii. nyie watu mna shangaza sana sana
 
kwa hiyo anachosema ni kweli ila tu sio kweli kwa sababu yeye ni mpiga hela wa nchi hii. nyie watu mna shangaza sana sana
Unajua conflict of survival? He is striving for any gain at least.
 
Anawaweka wapi kivipi wakati ameshasema "Wafanyakazi WOTE wa sekta ya umma na binafsi wanachangia 75% na makampuni/waajiri wanachangia 25% ?!

Au hujaelewa hiyo sentensi?!

Ni kwamba, kati ya makusanyo ya mapato yote ya kodi; 75% inatokana na Pay As You Earn... PAYE! Yaani kodi wanayokatwa wafanyakazi kwenye mishahara yao!

Hao akina Mengi, Bakhresa, METL, Acacia n.k; wote hao, kodi wanayolipa kutokana na makusanyo ya mapato ya kodi is ONLY 25%!!

Kwa maana nyingine, Wafanyakazi ndio wachangiaji wakubwa kwenye mapato yanayotokana na kodi ukilinganisha na Wafanyabiashara!

Sasa tatizo lipo wapi hapo?!
chige, twende pole pole Mengi, Bakhresa, METL, Acacia wao hawalipi PAYE?
 
Watakuwemo kwa zile individual taxes wanazolipa wao binafsi!
johnthebaptist- Mh. Zitto amesema "Kwa hiyo 75% ya Makusanyo ya Kodi ya Mapato inatoka kwa Wafayakazi na 25% inatoka kwa Waajiri" ni tamko lisilo sahihi SIYO kwa sababu wafanyakazi hawachangii chochote kwenye 25% ya mapato ya serikali wakati akina MENGI NA MO wanachangia kwenye 75% na 25%
 
Zitto ni moja ya wapika data wazuri, usipokuwa msomaji na mfuatiliaji wa mambo utamwamini kwa 100%.

Ukweli ni kuwa zitto ni moja ya wapiga hela wakubwa wa nchi hii.

Hana credibility ya kukosoa ujinga wa serikali.
All are the same.
Asante kwa kutufumbua macho kuwa serikali ina ujinga
 
Huyu mleta mada atakuwa ametoroka milembe juzi
 
M-mbabe, AMNINI NINA KWAMBIA BHAKRESA NA MENGI WAPO KWENYE PAYROLL ZA MAKAMPUNI YAO NA WANALATWA PAYE KAMA WEWE- KAMUULIZE MBOWE ATAKWAMBIA.
HALAFU MAKAMPUNI YAO YANALIPA TENA KODI YA MAKAMPUNI
HALAFU TENA WNALIPA KODI KAMA WAKUTUGENZI

ZAIDI YA HAYO MITAJI WAMETAFUTA WAO
Daah! lugha gani umeichanganya hapo?
 
HAWALIPI na kama unadhani wanalipa basi nami nipe ilmu wanalipa lipa vipi!
chige, wakurugenzi wanalipwa mishahara na makampuni yao; kwa vile wanalipwa mishahara wanakatwa PAYE; na kwa kuwa wanamiliki makampuni makampuni waliyoyaanzisha kwa mitaji yao wanalipa kodi ya makampuni nk
 
Zitto ni moja ya wapika data wazuri, usipokuwa msomaji na mfuatiliaji wa mambo utamwamini kwa 100%.

Ukweli ni kuwa zitto ni moja ya wapiga hela wakubwa wa nchi hii.

Hana credibility ya kukosoa ujinga wa serikali.
All are the same.

Thibitisha hili kuwa mpiga hela mzuri huyu jamaa nafikiri ndio ungeweza kubeba kijiji chote humu lakn kama utabaki kusema bila uthibitisho basi ujue yeye anajua kujenga hoja kuliko wewe mwenye kudhania vitu bila kuwa na uthibitisho.

Yeye ameweka wazi data zake kuhusu mchango wa wafanyakazi kwny pato la Taifa. Kama unahis amepika data ofisi za serkal za masuala hayo zipo zikanushe halafu tuone mkweli ni nan?

Mimi huwa namfuatilia sana ZZK anakuwa na ujanja wa kuibua hoja ndogo sanaaaaaa lakn inaipa ukubwaaaa mpk wanaohusika na hoja hyo wanapata mchecheto wa kutoa majibu na kuanza kujichanganya lakn kama ukiamua kumjibu ZZK kwa hoja unaweza kupambana nae mpk mkafikia sehem mkaelewana vzr tu lakn ukijifanya unadharau hoja zake ndio ujue unamtafutia moja ya njia ya kuinenepesha hoja yake.

Tafadhali huyu ni kiongoz kuikosoa serkali ni sehm ya kazi yake sasa wale wenye kazi ya kuitetea serkali ndio kazi kwao sasa sio wakimbie nakuwaacha waTz hewan. Hoja hujibiwa kwa hoja.

Eti ZZK aweke hoja mezani halafu ujikute unakurupuka tu oooh ukitoa hii,ukichukua hii akatoa hapa hamna kitu inabid ikope pale ipi ukija upachike hapo utoe unaona imekuja 1.5 shaabash.
 
Back
Top Bottom