gm manyafu
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 234
- 76
Je vip kuhusu dini mkuuZitto kachemka Tanzania bara hatuna katiba ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar ambayo inaruhusu kuunda serikali ya mseto inayohusisha vyama vingi, kuwa unachukua mtu wa chama chochote na kumuweka katika serikali ya mseto.Serikali inayoshinda inaundwa na wanachama wa chama kilichoshinda ili wakatekeleze ilani ya chama chao.Full stop.
Zitto Asubiri akija kushinda amteue hata waziri mkuu akitaka.Hii ni serikali ya CCM inayotekeleza ilani ya CCM inayotaka mtu atekeleze yaliyomo kwenye ilani bila kinyongo wala kukaa akiota au kuwaza UKAWA au ACT wazalendo
Ina maana na wanachama wote wa ACT wasishiriki katika kazi za maendeleo kwa kuwa zinafanywa kwa kutekeleza ilani ya ccm? Sababu viongozi wao wanatengwa, ukisha anza kuteua wana siasa walio simama majukwaani kuomba kula katika nafasi za utendaji tayari ni shidaSasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Kufirisika kisiasa ina maana hanaga zuri hata moja??
Hayo ndo maajabu. Hii ni serikali ya Magufuri wa CCM na si serikali ya umoja wa kitaifa!Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Mkuu, nikumbushe DCs na RCs wakoje? Tunaambiwa si wanachama wa chama chochote!Walioteuliwa ni watendaji wa serikali si dhani ni sahihi kwa watendaji kuteuliwa kwa kufuata vyama....
Ni kweli. Huenda sisi hatuelewi. Huenda anawateua makatibu wa ccm wa wilaya sisi tukaaminishwa vingine. Ni kama kuna watu wanakomolewa vile!Walioteuliwa ni watendaji wa serikali si dhani ni sahihi kwa watendaji kuteuliwa kwa kufuata vyama....
Mhh!
Acha unafiki.Upo wakati nilikuwa namkubali sana Zitto...nimegundua kuwa kumbe nilikuwa nimefanya kosa...naishia hapo...
Wachache wenye uchungu na Tanzania ndio watakuelewa. Lugumi kaongezewa mda.Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?
Inaonekana huelewi ulichoandika, unajibu maana ya kitu hicho halafu unauliza kitu hicho hichoNi careful and critical examining something
Sasa inahusiana vipi na uteuzi wa makada?