Zitto aache unafiki nayeyeBahati mbaya amechelewa kujua hayo mambo,awaulize watu wa Buziku na Runazi kule biharamulo wanamjua vizuri jamaa,
Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."
Zitto Kabwe
Wanajeshi hawafanyi kazi za kutekeleza ilani!Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
Kwani CCM wanamakubaliano ya kuunda serikali ya mseto Na ACT.?
Umeitoa wapi hii? haina nyama haina sosi.zitto siku zote hana unafiki."Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."
Zitto Kabwe
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."
Zitto Kabwe
Wale wanajeshi maDC watatekelezaje ilani ya CCM.Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Si kweliZitto angefanya kazi zake tu za uganga wa jadi siasa awaachie wengine kachuja sana.