Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."

Zitto Kabwe
Sasa zitto amejuaje labda Hidaya alikuwa ana cheti feki? Kwani walio temwa ni Hidaya tuu wa ACT? Mbona kuna wana CCM wametemwa tena dakika za mwisho?

Zitto alitegemea siku Lowasa akishika wadhifa atachagua makada wa CCM?

Zitto hana hoja ya kusimamia asubiri akiwa Rais afanye anavyo taka yeye!
 
Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?

Na bado mwaka huu mpaka maji muite mma.
 
Ukimsikiliza na kumtazama Mkuu wa Kaya wakati anaongea unaweza hata kumuhurumia kuwa anakwazika mno na kuumia sana na mambo anayoyakemea lakini anachokitekeleza ni tofauti kabisa na message anayoitoa kwa umma kwenye hotuba zake.
Anachokiongea siyo anachomaanisha,
Free style ni janga kwa mh wetu
 
Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
Tutofautishe nafasi za kuteuliwa na hizo nyingine........na sizani kama ACT/UKAWA wangeshinda urais wangeteua watu kutoka CCM.
 
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."

Zitto Kabwe
Rais mbaguzi sana
 
Zitto kachemka Tanzania bara hatuna katiba ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar ambayo inaruhusu kuunda serikali ya mseto inayohusisha vyama vingi, kuwa unachukua mtu wa chama chochote na kumuweka katika serikali ya mseto.Serikali inayoshinda inaundwa na wanachama wa chama kilichoshinda ili wakatekeleze ilani ya chama chao.Full stop.

Zitto Asubiri akija kushinda amteue hata waziri mkuu akitaka.Hii ni serikali ya CCM inayotekeleza ilani ya CCM inayotaka mtu atekeleze yaliyomo kwenye ilani bila kinyongo wala kukaa akiota au kuwaza UKAWA au ACT wazalendo
 
Ni jambo la ajabu kwamba uongozi WA nchi lazima uwe wanasiasa Tu! Hili ni jambo la ovyo sana! Wapo watu ambao hata hawana vyama Je ni halali kuweka wanasiasa Tu ambao WAla siyo nusu ya watanzania wote? Huu ni ubaguzi WA kisiasa Kama ulivyo ubaguzi WA dini au rangi! Kikwete alimteua mbatia nini kilipungua kwa ccm? Kuwa hashindi haina maana Tanzania sasa ni ccm hapo hapana! Waafrika tuna roho mbaya Na uchu WA ovyo WA madaraka!
 
Rais mbaguzi sana
Kamuulize Zitto kwenye manispaa ya Ujiji kama kampa unaibu meya hata diwani mmoja wa CCM!!! vYEO VYOTE kajibebesha mwenyewe na ACT wazalendo yake.

CHAKE CHAKE anataka huku CHA CCM nacho kiwe chake.Dawa ya moto ni moto.Wangelijua hilo hata UKAWA wangetoa hata nafasi walau ya naibu meya kwa CCM kwenye maeneo waliyoshinda lakini kote walikaba,Wanasema wenyewe hapa kwetu CCM tupa kule!!! Sasa wanalia nyau. NYOOOOOOOO!
 
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."

Zitto Kabwe
Kweli kabisa ........... Rais alidai haangalii vyama. Yeye hapa ni kazi tu!

Kuchagua watendaji wa serikali kwa kutumia ukada umeonyesha ni jinsi gani maneno yake ni tofauti na matendo yake!!
 
Zitto atulie kabisa huu mziki wa Magu sio wa kitoto. yule Mgombea wake wa Malinyi ni msaliti hawezi kupewa jukumu la kutekeleza sera alizoona hazifai
 
Kwani CCM wanamakubaliano ya kuunda serikali ya mseto Na ACT.?
Utumishi wa Umma, siyo kuongiza Serikali kama Waziri nk. Ili mradi mtu wakati wa kutekeleza majukumu ya Kiutumishi wa Umma anafanya kwa ueledi sioni kama ni shida
 
Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?
Mkuu hata wale wa dini ile awamu hii hawatakiwi kabisa, unaweza kukuta kati ya 139 ukakuta 18 tu, ili kufutafuta tu ushahidi! anyway ndo maana kukawa na siku ya HUKUMU na hakimu ni yule asiyepokea RUSHWA WALA HANA kujuana! yote haya yana mwisho wake haya!
 
Back
Top Bottom