Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

Kamuulize Zitto kwenye manispaa ya Ujiji kama kampa unaibu meya hata diwani mmoja wa CCM!!! vYEO VYOTE kajibebesha mwenyewe na ACT wazalendo yake.

CHAKE CHAKE anataka huku CHA CCM nacho kiwe chake.Dawa ya moto ni moto.Wangelijua hilo hata UKAWA wangetoa hata nafasi walau ya naibu meya kwa CCM kwenye maeneo waliyoshinda lakini kote walikaba,Wanasema wenyewe hapa kwetu CCM tupa kule!!! Sasa wanalia nyau. NYOOOOOOOO!
Mh hayo maneno hapo mwisho yanaonyesha unatakiwa katika lile kundi la makonda la ku unfolow
 
Mkuu hata wale wa dini ile awamu hii hawatakiwi kabisa, unaweza kukuta kati ya 139 ukakuta 18 tu, ili kufutafuta tu ushahidi! anyway ndo maana kukawa na siku ya HUKUMU na hakimu ni yule asiyepokea RUSHWA WALA HANA kujuana! yote haya yana mwisho wake haya!
Ha ha ha ha. Tatizo huna msimamo. Ukimkataa shetan kataa na mambo yake yote
 
Ukimsikiliza na kumtazama Mkuu wa Kaya wakati anaongea unaweza hata kumuhurumia kuwa anakwazika mno na kuumia sana na mambo anayoyakemea lakini anachokitekeleza ni tofauti kabisa na message anayoitoa kwa umma kwenye hotuba zake.
My signature prevails
 
Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Na hao wanajeshi wanatekekezaje ilani na Sera za ccm wakati hawa chama? Na inakuwaje wakiwa wanaendelea na vyeo vyao vya kijeshi wanapewa u Rc na DC ambao kwa utaratibu wa ccm wanakuwa wajumbe wa kamati za siasa wakati katiba inawakataza kujihusisha na siasa?
 
Magu anatafuta huruma za wananchi na siku zote anacho kisema ni tofauti kabisa na anacho kifanya.
Lakini amini usiamini kakonga nyoyo za watanzania.
Suala lililobaki ni uchumi kwa mtu mmoja mmoja na si data za kwenye documents whether soft paper or Hard copy ambazo uhalisia haziendani na maisha ya watanzania, za kubumba.
Tumpe RAIS MAGUFULI Muda tupime kipato cha mtu mmoja mmoja ndani ya at least mwaka na nusu ndipo tu judge.
Chief nchi ilikua taabani.
 
Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?
Mkuu punguza hasira... Wasije wakakudai million saba.. Sikio la kufa haliskii dawa ndugu. Maisha sa hv ni ukada tu japo sion mantiki yoyote
 
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."

Zitto Kabwe

Kumbe Zitto bado yupo tu? Tafuta kick kijana, usikate tamaa.
 
Ukimsikiliza na kumtazama Mkuu wa Kaya wakati anaongea unaweza hata kumuhurumia kuwa anakwazika mno na kuumia sana na mambo anayoyakemea lakini anachokitekeleza ni tofauti kabisa na message anayoitoa kwa umma kwenye hotuba zake.

Mlishangilia, shangilia tena
 
Mimi nasubiri Viwandaaa Nipige kazi!, hayo mengine Nawaachia wenyewe, kielim changu kidogo lakini kizuri kipo kwa ajiri ya kuwa Meneja wa Kiwanda!!.
 
Zitto ni wakupuuzwa kabisa, wakati wamechaguliwa makada wa CCM alilamika kua kwanini anachagua wanasiasa, JPM akajibu sababu awa makada wana Imani na ILANI ya CCM hivyo wataisimamia.
Zitto alitakiwa kukemea kama Kada wake angeachwa katika teuzi hiyo vinginevyo ni double standard za zitto, kwahiyo anagebaki kwake isingekua tatizo... Zitto kweli YUDA
 
"Dkt. Bana anaelezaje suala la Abubakar Assenga ambaye aligombea Ubunge jimbo la Kilombero na kushindwa na sasa ni DAS. Mfano wake ndio mfano Hidaya aliyegombea Malinyi. Rais ni mbaguzi wa vyama, simple and clear."

Zitto Kabwe
Je huu ni mwanzo wa kupoliticise civil service? Huko America kusini nchi nyingi zina stahili kama hii, ukifanyika uvhaguzi rais anayeshinda anahakikisha kuchagua watu wa upande wake kuanzia karibu ngazi zote za utumishi serikalini. Kwahiyo panapofanyika uchaguzi kazi ya kila mmoja ni kuhakikishamtu wake anashinda! Bahati mbaya hii haijengi utumishi wa serikali imara na endelevu hasa katika nchi zetu ambazo misingi yake ya kitaasisi, kisheria na utawala wa sheria ni dhaifu
 
Zitto ni wakupuuzwa kabisa, wakati wamechaguliwa makada wa CCM alilamika kua kwanini anachagua wanasiasa, JPM akajibu sababu awa makada wana Imani na ILANI ya CCM hivyo wataisimamia.
Zitto alitakiwa kukemea kama Kada wake angeachwa katika teuzi hiyo vinginevyo ni double standard za zitto, kwahiyo anagebaki kwake isingekua tatizo... Zitto kweli YUDA
Yuda kweli!
 
Zito uko sawa lazma serekali iwe makini kwenye uteuzi wake sio uteuzi wa kuabishana
 
Back
Top Bottom