Wenye upungufu wa uwezo wa kufikiri kutafakari na kuona hawawezi kuelewa maana ya sentensi hizo. Kifupi mkuu wa kaya ana ubaguzi tena bila hata haya. Angalia baraza lake la mawaziri, angalia wakuu wa mikoa angalia wakuu wa wilaya, angalia wakuu wateule wa taasisi mbalimbali za serikali.n.k, utaona jinsi ubaguzi unavyotamalaki. Angalia anavyoshughulikia maafisadi, umewahi kusikia kuna fisadi wa kutoka kanda ile ameshughulikiwa?. Unaona anavyojifanya haoni wala hasikii ufisadi wa Rada Epa Escrow na muhusika mkuu aliyeiingiza serikali mkenge na hadi leo anaendelea kulipwa wala haguswi tena nna cheo kapandishwa. Ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni Angalia yule wa sakata la Lugumi kafanywa nini? Kweli hii kanda yetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wezi wanatoka kanda zile siyo huku kwetu!?!?!?!?
Kwa hiyo Mramba aliyesema tule nyasi rada inunuliwe ni wa kanda ile? Ama EPA na ESCROW wa kanda ile ni akina nani?
Nyie kwa kuhamamisha magoli hamjambo. JK wa Msonga sasa hivi remote yake imekatika nini ku remote ikulu? Ama System ile ile Magufuli haiwezi mmehamisha magoli kwa ubaguzi. Kweli wana UKAWA ni hatari, ukijiunga ukawa lazima ujue vizuri namna ya kuhamisha magoli.