Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

Zitto: Rais ni mbaguzi, simple and clear

Sasa Zitto alitegemea mwana ACT akatekeleze vyema ilani ya CCM?
Tunakosea, nafasi ya DAS haipaswi kutekelezwa kisiasa kutokana na msingi wa kazi yenyewe.
Lakini kwa sababu rais wetu mwema,tunamwacha hainashida tutaenda hivyohivyo.
 
82f883160111782f25e26790baad1da3.jpg
 
Ditto mnafiki mkubwa. Mtg asiyestahili kabisa kupewa dhamana lines ndani ya nchi yetu. Ukweli hauwezi kukaa pamoja n.a. uongo
 
Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
sijaelewa
 
kiukweli zitto yuko sahihi sana. kiongozi wa umma hupaswi kugawa watu bali kuwaunganisha. je wale wasio wa ccm wasilipe kodi?
 
Ni jambo la ajabu kwamba uongozi WA nchi lazima uwe wanasiasa Tu! Hili ni jambo la ovyo sana! Wapo watu ambao hata hawana vyama Je ni halali kuweka wanasiasa Tu ambao WAla siyo nusu ya watanzania wote? Huu ni ubaguzi WA kisiasa Kama ulivyo ubaguzi WA dini au rangi! Kikwete alimteua mbatia nini kilipungua kwa ccm? Kuwa hashindi haina maana Tanzania sasa ni ccm hapo hapana! Waafrika tuna roho mbaya Na uchu WA ovyo WA madaraka!


Bila CCM kutoka madarakani hii nchi haitaendelea zaidi ya watanzania kuteseka kutokana na utendaji na ubunifu mdogo na usiofaa unaofanywa na wanasiasa wa CCM ambao ni kakundi ka wajanja wachache wanaotumia kura za wananchi wa vijijini wasio na elimu ili kupata madaraka na kutawala kundi kubwa la watanzania wa vyama vya upinzani na wale wasio na vyama.
 
Back
Top Bottom