Umenikumbusha ubaguzi wa Mheshimiwa kwamba baadhi ya watu wanywe pombe wengine wasinywe. anataka Bar zifunguliwe jioni ili mchana watu wafanye kazi, akimaanisha bia ni kwa ajiri ya wanaofanya kazi asubuhi na kutoka jioni, akisahau kabisa kuna watu kibao wanafanya kazi kwa shift ambao huingia kazini usiku na na wangependa wanywe pombe asubuhi, au vipi kuhusu walinzi walio wengi wanatoka majumbani saa kumi kuanza safari ya kwenda kazini hiyo ndiyo mpaka kesho tena, mda wake wa kuwa free pombe haziruhusiwi kunywewaBia utakunywa saa ngapi? Japo kwa kuwanunulia bia utakuwa umechangia kodi, swali ni je, unakumbuka muda wa baa
kufunguliwa na kufungwa lakini?
Unafahamu maana ya vetting ?Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
Madhumuni ya chama chochote cha siasa dunia ni kuchukua dola, ndio maana wakati wa kampeni wengine walikuwa wanazungusha mikono wakisema mabadiliko na wengine wakisema wataisoma namba. ukishindwa unatafuta kazi ya kufanya2Abubakary alikuwa wa CCM? Japo inatekelezwa ilani ya CCM ndio post zote ziwe za wanaCCM? ina maana hata wanajeshi na mapolisi ni maCCM simply tu kwa kuwa inatekelezwa ilani ya CCM? Kuna kitu hakiko sawa hapa
Umenikumbusha ubaguzi wa Mheshimiwa kwamba baadhi ya watu wanywe pombe wengine wasinywe. anataka Bar zifunguliwe jioni ili mchana watu wafanye kazi, akimaanisha bia ni kwa ajiri ya wanaofanya kazi asubuhi na kutoka jioni, akisahau kabisa kuna watu kibao wanafanya kazi kwa shift ambao huingia kazini usiku na na wangependa wanywe pombe asubuhi, au vipi kuhusu walinzi walio wengi wanatoka majumbani saa kumi kuanza safari ya kwenda kazini hiyo ndiyo mpaka kesho tena, mda wake wa kuwa free pombe haziruhusiwi kunywewa
Zitto anatafuta jani la kujiokoaZitto aache unafiki nayeye
Civil service is gone. Under such circumstance, corruption gonna be rampant.Zitto anatakiwa kujua kuwa hakuna makubaliano yeyote kati ya ACT na Rais...!
Ni careful and critical examining somethingUnafahamu maana ya vetting ?
Zitto kachemka Tanzania bara hatuna katiba ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar ambayo inaruhusu kuunda serikali ya mseto inayohusisha vyama vingi, kuwa unachukua mtu wa chama chochote na kumuweka katika serikali ya mseto.Serikali inayoshinda inaundwa na wanachama wa chama kilichoshinda ili wakatekeleze ilani ya chama chao.Full stop.
Zitto Asubiri akija kushinda amteue hata waziri mkuu akitaka.Hii ni serikali ya CCM inayotekeleza ilani ya CCM inayotaka mtu atekeleze yaliyomo kwenye ilani bila kinyongo wala kukaa akiota au kuwaza UKAWA au ACT wazalendo
Upo wakati nilikuwa namkubali sana Zitto...nimegundua kuwa kumbe nilikuwa nimefanya kosa...naishia hapo...
Hajabadilika sana ila sasa anamponda rais wa ccm na hawakandii wapinzani wake.Wakati ulipokuwa unamkubali ni wakati anamsifia na kujenha urafiko rais wa ccm huku akiwaponda wapinzani wenzake. Hii inaonyesha unamkubali tu akisifia upande wako kiitikadi bila kukali ukweli wa anacho kisema.
Ilani ya ccm ilishafeli kwa miaka yote wajaribu na ilani za vyama vingine
Mhh!Kwa sasa usipokuwa mwana-CCM wewe ni "second class citizen".
"Simple and clear."