Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.
Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania Romanian Revolution - Wikipedia na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989.
Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania Romanian Revolution - Wikipedia na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989.