Zitto: Rais anasema, IGP anasema, Naibu wa Rais (Dsm) anasema, Waziri anasema. Yote hii ya nini mbona mnapanick?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania Romanian Revolution - Wikipedia na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989.
 
Wameweweseka Mange kawashika pabaya! Lakini wakati huo huo kuhusu waraka wa Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nchini wako kimyaaaaaa!!!

Kweli akili ni nywele hata walio ndani ya Serikali wana zao!!!

Wewe ulitaka aseme nani wakati hao uliowataja ndio wenye dhamana na amani ya nchi yetu?!
 
Sema kasema Dr. Mange banah..!
 
Wewe ulitaka aseme nani wakati hao uliowataja ndio wenye dhamana na amani ya nchi yetu?!
Nilitaka useme wewe.
Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania Romanian Revolution - Wikipedia na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
........."Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais ) anasema"......

Naomba kuelimishwa kuhusu hiki cheo leo ndo mara yangu ya kwanza kusikia cheo hiki kwa nchi yetu na nimesoma kuanzia ibara ya 32 hadi 61 ya katiba ya JMT 1977 nimeshindwa kubaini mamlaka haya.
 
Huyo ni Maliyamungu idd Amin Bashite ni makamu wa Rais bara na kiongozi wa wakuu wote wa mikoa, pia ndiyo mshauri mkuu wa Mtukufu malaika toka chato.
 
Hivi ni kwanini kuvunja jengo hilo LA Tanesco linakuwa na gharama kiasi hicho ili hali tinga Tinga ni LA serikali, Wafanyakazi ni wa serikali, Mafuta ni ya Serikali sasa hizo gharama ni za nini?
Kwenye uvunjaji jengo kuna 10% ya Maliyamungu Bashite pia hiyo pesa kapanga kwenda kuwanunulia madiwani na wabunge wa chadema huku zingine wakipewa watu wa Nissan nyeupe
 
Back
Top Bottom