Zitto: Rais anasema, IGP anasema, Naibu wa Rais (Dsm) anasema, Waziri anasema. Yote hii ya nini mbona mnapanick?

Wameweweseka Mange kawashika pabaya! Lakini wakati huo huo kuhusu waraka wa Baraza la Maaskofu wa Kikatoliki nchini wako kimyaaaaaa!!!

Kweli akili ni nywele hata walio ndani ya Serikali wana zao!!!
Yote hii ni kuwachanganya nyumbu mfano badala ya wao kujadili mambo muhim kama katiba mpya na tume huru ya uchaguzi waendelee kujadili vitamko kama hivyo.. Na wakija kuzinduka 2020 hii hapa wanaingia uchaguzini na tume ileile, watu walewale na ccm inapeta kisha tuna rudi mitandaoni kujadili kuibiea kura na kusubiri Mange apange maandamano Instagram.
 
Wapiga madili hao na majizi Mkuu. Kuvunja jingo gharama 1.3 billion!!!!

Hivi ni kwanini kuvunja jengo hilo LA Tanesco linakuwa na gharama kiasi hicho ili hali tinga Tinga ni LA serikali, Wafanyakazi ni wa serikali, Mafuta ni ya Serikali sasa hizo gharama ni za nini?
 
Mkuu wa Polisi anasema. Mkuu wa Majeshi anasema. Mkuu wa Wakuu wa Mikoa ( Naibu Rais ) anasema. Waziri anasema. Rais anasema. Taharuki ( panick) yote hii ya nini? Siku chache zijazo mtasikia hapatakuwa na sherehe za Muungano, pesa zitaongezea bajeti ya kuvunja jengo la TANESCO pale Ubungo.

Taharuki ni ishara ya UDHAIFU. Someni Romania Romanian Revolution - Wikipedia na MAPINDUZI yao ya mwaka 1989.
Hahahaha kachanganyikiwa hadi anaomba na kina nabii tito wamuombee kwa dini zao
 
Tutegemee matamko zaidi kutoka kwa wadau na wanaharakati mbalimbali kuhamasisha, maandamano. Maandamano ya kutibu chunusi kabla halijakomaa na kuwa jipu kuu.
 
Uwoga wote huu umekuja baada ya kumuibia Lowassa kura zake, mzee Lowassa bado yupo kimya lakini mizimu inawasumbua watawala. Mwizi husema nisameheeni lakini Jambazi husema niombeeni.[/QUOTE
Unaweweseka na uchaguzi uliopita. Ilivyozungusha mikono weee ukaona kura zinatosha ahh wapi. Huyo lowasa wako angekuwa ameibiwa kura angekuwa na madiwani na wabunge wanaokesha kuzilinda kura usiku kucha zihesabiwe waondoke na chao. Ebu tukumbushe mnawabunge wangapi tena kati ya 170 wa ccm. ??
 
Hiyo taharuki yao wasije kutumia silaha ya moto kuuwa,ni asili ya madikteta kuondoshwa na nguvu ya uma.
Kumbuka mwl wetu china kapitisha muswada kubadirisha katiba yao na kumfanya rais wa maisha hata hapa tusubiri muda utaonge
 
Kwa hiyo tuseme Mange Kimambi ndo anasumbua hivyo?
Hao woote against account ya instagram ya mdada flan marekani.
Em tuwe serious, kitendo cha hawa watu ku-respond kwa maneno against huyo dada, ndo tatizo lenyewe.
 
IMG_20180311_213929.jpeg
 
Back
Top Bottom