Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
Najiuliza kwanini MAFISADI, MAJANGILI, WAHUJUMU UCHUMI, WAKWAPUAJI WA RASILIMALI ZETU ndo wanamlilia sana ZITTO abaki CHADEMA? KULIKONI?... Kama ni mzuri sana kwnini wasimpe madaraka kwao?... WATANZANIA wa leo si wajinga tena... Thanks kwa Shule za KATA ...
 
Zitto amekaririwa na gazeti la Mtanzania la leo Jumamosi ya tarehe 14/03/2015 akisema kuwa atachukua uamuzi mgumu kuhusu hatima yake ndani ya CHADEMA.

Uamuzi mgumu ni ule wa kujiunga na kijana mwenzake Nchemba na kujiunga CCM iliyomfanya adhalilike kwa kukubali kutumika na kuanzisha chama akiwa ndani ya chama. Otherwise akumbuke wale wote walioanzisha CCJ wakiwa CCM walirudi kuomba msamaha na hadi leo ni mawaziri na vipaza sauti vya chama chao. Take or leave it ZZK.
 
Mbona umeruka kipengele kinachosema Ben Saanane ndiye aliye fanikisha kupatikana kwa taarifa nyeti za kipelelezi kundi la PM7...?

Nilitaka kwanza nipate majibu ya hilo nililouliza then kipengele hicho kitafuata!!
 
Hakuna msafi.
Zingefuatwa kanuni leo hii mbowe angekua sio mwenyekiti wa chama mana muda wake ulishakwisha kikatiba lakini pesa ikarubuni wajumbe wakakubali kubadili katiba kwa maslahi ya Mbowe.
Ilikua ni zamu ya Zito kuwa Mwenyekiti kakini wachaga wakaona maslahi yao ndani ya chadema yako hatarini kwani Zito ni mtu wa kupenda usawa.

Kwa hiyo Zito alijipa zamu ya kuongoza si ndio?
 
Saccos ya Mzee mtei kasema shibuda

Kuna watu ambao hawajawahi kwenda beyond grade 7. Post hii inahusianaje na ZZK kufanya uamuzi mgumu? Pathetic. Kwa hiyo Shibuda ndo role modal wako? Huyu ambaye hata CCM ilimtema?
 
Inasemekana Atagombea Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT.
Lakini Zitto ni mtu kigeugeu sana, moja ya kauli zake tata ni hizi hapa.
1/Wakati wa uchaguzi mkuu wa 2010 akiwa kigoma hapo hapo alitangaza kuwa mwaka 2015 atagombea Urais.
2/Aliwahi kusema mara kadhaa kuwa atakuwa mtu wa mwisho kuondoka CHADEMA.
3/Mara kadhaa amewahi kusema kuwa kipindi hiki ndio cha mwisho kuwa mbunge, baada ya hapo 2015 ataachana na siasa na kwenda chuo kikuu kwenda kufundisha.

*Kwa sasa amekuwa akiimba chorus "Mwezi March nitafanya maamuzi magumu juu ya hatma yangu ndani ya CHADEMA" lakini karibu kila mtu anajua atahamia ACT, bahati mbaya sana CHADEMA wamemuwahi kwa kumvua uanachama.
 
Kwani wazee ndo akina nani..wakati mwingine tuna utamaduni wa nidhamu za uoga na unafki..kwani wazee wako nani anawatambua..
 
huyu jamaa ana tapatapa,sasa ukisema wazee wame kushauri ndio unadhani uta mtishia nani?

Mkimsema sana ataanza kulia bure na kusema namkumbuka marehemu mama! Utadhani yeye pekee ndio amepoteza mama! Zitto hana lolote zaidi ya kubebwa na CCM kwa malengo yao.
 
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM

nina mashaka na uwezo wako wa kufiri! uchaga ,ukatoliki na undugu? mtu akiwa mwenyekiti wa chama basi chama kinachukua kabila lake? be critical thinker!
 
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM

Kama chama kiko hivo ulivoeleza katika sentensi ya mwisho sasa mbona bado mnajipendekeza wakati vyama viko lukuki nchini kwann asiende huko ambako hakuna ukatoliki,uchaga n.k?AKILI PUNJE WEWE
 
....chadema msikubali wala kurudi nyuma,onyesheni chadema ni taasisi.Hivyo mtu kama Zito ahangaike na sheria na kanuni za chama.Kama kuna sheria ya chama inayomhukumu basi lazima ahitii.

Taasisi yeyote ili iaminike ni lazima iwe na utamaduni wa kuamua!! Ikulu ya JK imeshindwa mtihani huu!! CDM isiyumbishwe na wahuni wanaolelewa na kunufaika na mfumu uliokufa wa CCM na IKULU yake.

CDM mkirudi nyuma katika maamuzi yenu mtawakwaza Watanzania ambao wamewapa Vitongoji na Mitaa mingi kwa sababu mbalimbali; Sababu kubwa ikiwa Mkakati wenu mliouanza wa kuwajibishana Mamluki bila uwoga. Endeleeni hivyo hivyo mpaka hapo CCM nao watakapogutuka na kuiga mfano wenu!
 
Nani asiye jua kama chama tawala kina mgogoro uluopindukia, mbona hawafukuzani, zitto rudi muyamalize
 
Wote njaa zinawasumbua sio zito pekee yake, umesahau kafulila alitimuliwa na Nccr ya Mbatia, akaenda mahakaman wiki iliyofuata Mbatia akateuliwa mbunge na Rais akasahau ya Kafulila had leo

Looh! We ni msahaulifu sana. Kafulila alienda kuooga goti kwa Mbatia na kulia sana. Chama kikamsamehe na sasa yuko vizuri. There is harm in asking for forgiveness. Human beings do err.
 
Zitto kweli mzito. Amekua zaidi ya habari.

Yaani huyu brother Zitto kweli ana kiburi si mwepesi wa kushuka kusema ukweli.Nilifikiri angetumia busara za hali ya juu sana kutatua swala hili si kukurupuka na kuongea maneno ya kujiona yeye anafaa bado na bado yupo juu...
 
Last edited by a moderator:
Sasa braza aombe radhi kwa kosa gani?? Kutaka mahesabu ya vyama vya siasa yakaguliwe?? Kutaka kugombea uenyekiti chadema. ?? Kuonesha nia ya urais mapema??

Kama naibu KM kwa nini hakuzungumza kwenye vikao vya chama kuhusu huo ukaguzi na badala yake akaenda public? Huyu ni mtu hatari sana hata kama CCM watamchukua. Anapenda sana umaarufu ndo kitu kitamwangusha. Akitoka haoi ataaingizia udini. Akili anazo ila anazitumia vibaya.
 
1.Hatagombea ubunge tena katika jimbo analoongoza sasa
2.Atafanya maamuzi magumu muda siyo mrefu

Chanzo: twitter yake

Agombee kwa Mtaji upi?
kura alizopata mwaka 2010 kama sio JK angeangulia pua,
madiwani alio wakuta 2005 , na alio nao sasa ni aibuuu,
\uchaguzi wa mtaaa ndio kabisa.
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Msamaha wa nini?wakati viongozi wa CDM wana chuki binafsi na Zitto.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom