Kwani wazee ndo akina nani..wakati mwingine tuna utamaduni wa nidhamu za uoga na unafki..kwani wazee wako nani anawatambua..
manake wachawi na kamati ya ufundi ya kwao!
Kwani wazee ndo akina nani..wakati mwingine tuna utamaduni wa nidhamu za uoga na unafki..kwani wazee wako nani anawatambua..
Msamaha wa nini?wakati viongozi wa CDM wana chuki binafsi na Zitto.
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
kwani wazee wake wanatuhusu nini sisi? hats sisi wazee wamebariki ufukuzwe kama mbwa
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM
Kaka Ben... Kijana aombe radhi ya nini?? Wakati wenye chama mmeshasema hamumhitaji... Wacha kijana akamalizie Phd yake... Maisha mengine yaendeleee....Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini
Pasco et al., ....hawawezi kumpa nafasi hiyo...! Maana kufanya hivyo ni kuboresha Tumani la watanzania wanaendelea kuliwekeza kwenye vyama vya siasa kama vile vinavyounda UKAWA.Ben sijui kwann sijui sana siasa ila nilikua naona kama ndio uamuzi sahihi kabisa huo....kama anataka kwenda mbali kwa siasa za kitanzania ni lazima abake CDM tumeona wengi kina kaborou,lamwai walipoishia..kusema tu samahani ni shida gani
Hakuna msafi.
Zingefuatwa kanuni leo hii mbowe angekua sio mwenyekiti wa chama mana muda wake ulishakwisha kikatiba lakini pesa ikarubuni wajumbe wakakubali kubadili katiba kwa maslahi ya Mbowe.
Ilikua ni zamu ya Zito kuwa Mwenyekiti kakini wachaga wakaona maslahi yao ndani ya chadema yako hatarini kwani Zito ni mtu wa kupenda usawa.
Najiuliza kwanini MAFISADI, MAJANGILI, WAHUJUMU UCHUMI, WAKWAPUAJI WA RASILIMALI ZETU ndo wanamlilia sana ZITTO abaki CHADEMA? KULIKONI?... Kama ni mzuri sana kwnini wasimpe madaraka kwao?... WATANZANIA wa leo si wajinga tena... Thanks kwa Shule za KATA ...
Uamuzi mgumu anataka kujinyonga?
....Huyu anajifanya ni maarufu zaidi ya chadema,hivi hajui hapa niko Rorya,kata Ikoma,kijiji cha Kogaja hapa ni chadema tu,hata ccm imesambaratishwa.Hapa ni chadema na sio zito.
Kama chadema ingekua inaondoa maovu basi shibuda angeondoka kabla ya zitto maana alisaliti tangu sikubya kwanza alipohudhuria kuapishwa kwa JK.zitto n tishio kwa nafasi ya mbowe kama mwenyekiti.undugu,uchaga na ukatoliki ndo umemuondoa zitto CDM
Mkimsema sana ataanza kulia bure na kusema namkumbuka marehemu mama! Utadhani yeye pekee ndio amepoteza mama! Zitto hana lolote zaidi ya kubebwa na CCM kwa malengo yao.
kwani wazee wake wanatuhusu nini sisi? hats sisi wazee wamebariki ufukuzwe kama mbwa
Yani azungumzie majukumu ya kamati ndani ya vikao vya chama, kweli?? Kwani vigezo gani vinatumika ili kumfanya mtu kuwa maarufu??Kama naibu KM kwa nini hakuzungumza kwenye vikao vya chama kuhusu huo ukaguzi na badala yake akaenda public? Huyu ni mtu hatari sana hata kama CCM watamchukua. Anapenda sana umaarufu ndo kitu kitamwangusha. Akitoka haoi ataaingizia udini. Akili anazo ila anazitumia vibaya.
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele
Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini