Zitto: Nitafanya uamuzi mgumu

Status
Not open for further replies.
polojo nyingi!! mtaongea mengi sana!!!
wasomi wa TZ ni shida ni nyoka wenyemakengeza!!!
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini

Zitto si mlikuwa nae kwenye vile vikao vyenu vya kuangusha uongozi bado wewe sasa!!
 
UKAWA =CUF +CDM +NCCR. So ni wale wale!
 
Hakuna Uamuzi Mwingine Mgumu ambao ni makini anaopaswa kufanya zaidi ya Kuomba Radhi kwa wapenzi na wanachama wa CHADEMA na kusonga mbele

Kwenda chama Kingine itakua uamuzi mgumu lakini sio makini

leo umeongea kiungwana kabisa washauri basi na wenzako watumie akili zao kuliko kutoa matusi tuu......mwisho wa siku itakuja kuonekana mmemtimua zitto kwa majungu tu...siasa sio uadui kama Wafuasi wengi wa chadema wanavyodhani.
 
Majambazi kama.wale watekaji?
Ndiyo, waliomteka Ulimboka na kumuua Mwangosi!! inauma sana......., nawaomba CHADEMA waendelee kutoa elimu ya uraia ili wananchi waelewe siasa ni kitu gani maana wenzetu wa ccm bado wanaamini kwamba wananchi ni wajinga lolote watakalosema wao ndiyo sahihi... Pole TAJIRI Pol chama chako kinaangamia.
 
Uamuzi gani mgumu kwa wakati huu? Angefanya kabla ya kutimuliwa CDM.
Hata yule fisadi no 1 husemekana mtu mwenye maamuzi magumu. Maamuzi gani hayo? Ya kuwaibia watanzania?
 

R.I.P. Chacha Wangwe.
 
Hata wewe una njaa........kupigia debe kitu usichokijua!
 
Uamuzi mgumu ni kuchukua kisu na kuanza kujiua taratibu.
Unaanza kujitoa kucha mpaka baadae roho
 

Ikithibiti kuwa hivyo ni uamuzi sahihi zaidi ya Kwenda ACT.
 

Mtwara kwenyewe walitibuana na Lipumba! Aende haraka na tunamtakia kila la heri
 
Kwani ni dhambi kuaandaa mkakati wowote kuelekea uchaguzi?? Je ni usaliti kuandaa timu ya watu wanaokuunga mkono?? Huhitaji kuwa mwanasheria kujibu tuhuma dhaifu za chadema juu ya zzk
je kwa lowasa ni sawa kupewa adhabu isiyokuwepo? Huku cdm wakilaumiwa kwa kumuhadhibu zitto kwa kosa lilelile?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…