Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Mkuu nimeachana naye nadhani huyu G.Brain hakumaliza drs la saba.
niko makini na ndio maana sio muumini wa zidumu fikra za mwenyekiti.we ni gamba na km ni mwanachadema basi hauko makini.
Kwa nini mnanchukia Zitto, Atafaa muda muafaka kama yeye alivyosema.
huko kwenu ndo kuna hizo fikra.niko makini na ndio maana sio muumini wa zidumu fikra za mwenyekiti.
Ndugu zangu. Naomba msome makala nzima kabla ya kuchangia. Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hii ni makala nimeandika kama majibu kwa makala ya mwanazuoni mmoja kuhusu umri wa Urais.
Nimesema wazi, kuutaka Urais na kuupata ni mambo mawili tofauti. Kwanza lazima chama changu kiniteue. Kama chama kikiona bado lazima nikubaliane na chama. Kama chama kikiona kuna mwanachama mwingine ana uwezo zaidi yangu lazima nimwunge mkono huyo. Hata kama chama kikiniteua lakini wananchi lazima wakubali. Kwa hiyo unaweza kuutaka Urais lakini usiupate!
Pili nimejibu hoja za ubaguzi, hatari na matabaka za mwanazuoni huyo. Ni vizuri MoD akachukua makala hiyo na kuiweka juu kabisa ili watu wachangie jambo walilolisoma.
Miye nitaweka makala hiyo kwenye blog yangu zittokabwe.com
Labda Zitto wa 2007, lakini Zitto wa 2012 - siungi mkono.
habari za kuaminika kutoka ndani ya vikao vya ccm zinadai kuwa CCM INATARAJIA KUMSIMAMISHA WASSIRA a.k.a TYSON kugombea urais kutokana na kuwa na mvuto wa kisiasa hasa katika kampeni za Arumeru mashariki. Souce: Tingatinga

nimepoteza imani na zito ambayo nilikuwa kabla. Huyu na mwenzake wamekaa na mwenzake wanaplani kuwaminya watu waliojenga nyumba na kupangisha,eti itaongeza mapato! Wafanyabiashara kibao wanakwepa kodi,madini yetu, samaki wetu, ardhi yetu wanaacha vinabebwa na wazungu. Wanyama wetu,magogo yetu vyote vinaibiwa, kwa nini umuumize mpangaji? Hawajui kwamba ni kutuumiza sie wapangaji? No matter why walikuwa wanadai umri upunguzwe.