Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
What a glory hunter!? Nothing gonna stop his deluded quest for greatness!Hata kama Zitto Kabwe anataka u-Rais na ni candidate mzuri,sasa ni mapema mno kwa CHADEMA kuamua. Mwaka 2015 ni mbali. Vijana na watu wazima pamoja na wazee wapo, na wanaweza kuingia wanachama wapya. Hata wengine wako nje ya nchi wanaostahili kufikiriwa na chama makini kama Chadema.
kiukweli 2015 akibadilishwa mgombea wa u raisi kwa tiket ya chama..ile kasi ya chama itapungua na kitaonekana kina watu wenye tamaa ya madaraka..zitto anatumiwa kukiua chama chetu..
Mwita Maranya umeuliza maswali ya msingi kabisa sijui kama Mh. Zitto ameshayajibu hasa kwenye red.
Nimekupuuza pale uliposema uchaguzi wa Arumeru si kitu cha maana kwa CDM bali la maana ni kupigana vikumbo kugombea urais 2015.CDM is not cheap like this!
mbali na ishu (utata) wa timing ya tamko lake, lakini katika nyingi ya hizo sababu zitto alizotoa kuwa ndio msingi wa hoja yake ya kutaka urais yapo mapungufu makubwa sana, ambayo kwa urahisi tu yanaonesha huyu jamaa ni mbinafsi, mdanganyika, hatari na hajakomaa kisiasa wachilia mbali kufikiria taasisi nyeti kama urais.au ndio level tulofikia watz kwa vile kikwete kaidhalilisha taasisi hiyo basi kila mtu anaona anaweza kuwa rais?zitto is selfish, divisive, hypocrite and elusive in all matters he's propagate to stand for. Unfit for any good cause...me think.
Kwani nani alitaka kumpa, hivi watanzania tumefikia kiasi cha kuona cheo cha urais ni cha mtu yeyote kutaka very poor, nafikiri hii imesababishwa na udhaifu wa Kikwete kwa hiyo kila mtu anaona anaweza kuwa rais. Eti nautaka urais my foot.January atakuwa na miaka 41, hata hivyo amesema hautaki uraisi. Hivi mkuu, kwani si ni hivi punde tutaanza kuandika katiba mpya? Katiba hawaandiki wabunge.
acha kuwa na mawazo ya kimajungu majungu wewe!.kwani nani alitaka kumpa, hivi watanzania tumefikia kiasi cha kuona cheo cha urais ni cha mtu yeyote kutaka very poor, nafikiri hii imesababishwa na udhaifu wa kikwete kwa hiyo kila mtu anaona anaweza kuwa rais. Eti nautaka urais my foot.
kabwe ni haki yako kabisa tena huyu mwandishi usiangaike naye we piga kazi ila tu punguza ka unafiki na kupenda utukufu,mi nakubali umesaidia sana siasa za vijana wa tz na umekua ukijitoa kwa pesa zako.tuacheni ushabiki 2muunge mkono.mi kwa hili nakuunga mkono siyo yale maujinga ulitaka kufanya eti kumtua kafulila upitie nccr.hapa poa
nani aliyekwambia kuwa zitto analeta bad atmosphere kwenye chama chetu?.mkuu zito, kwa jinsi unavyooneka unautaka urais, na nikikumbuka maneno ya hayati baba wa taifa, mwalimu nyerere
akaongeza zaidi
my take:
Kimsingi kwa hili kaka umechemsha ama kwa kujua au kutojua unajikuta unaleta "bad atmosphere" chamani, kauli zako zimekaa kibaguzi baguzi, ingetosha kama ungetetea issue ya umri wa kugombea urais, hilo watu mbona tuko pamaoja nawe sana tu, ila unapokuja tena kusema unautaka urais,hii inapoteza hata msingi wa point yako kwa kufanya watu kuelewa kuwa unajipigia debe, na uki recall maneno ya julius hapo juu, ndo kabisaaaa, i think its better some times kabla hujafunguka ukajaribu ku consult wazee (sio wa magamba kama unavyofanyaga).
Biliv me, reputation yako mbele ya vijana inashuka kwa kasi ya ajabu, wengine wanadiriki kusema kuwa eti wewe ni mgonjwa so unataka chance ya urais ili upate muda mzuri wa kutumia rasilimali za taifa kujitibu... Take this.
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT
Ukiangalia kwa undani sana,ukithink BIGF as a great5 thinker,utagundua kuwa CCM wanamuogopa sana Dr Slaa, wanajua kuwa kama akigombea 2015, wataface upinzani mkali sana,zaid ya hata ule wa 2010,wanajua kabisa CDM wanaweza kuchukua dola (Naliombea hilo kila siku),wanajua kabisa kuwa Mtu atakayegombea urais na kuwalaza usingizi kimsingi si mwingine zaid ya Dr Slaa, now wanamtumia Zitto, ama kwa kujua au kutokujua kumpinga Dr Slaa ndani ya chama, hii technique ya CCM watu wanaweza wasii note, lakini woga wa CCM kwa Dr Slaa unakuwa revealed na Matamshi kama ya kina Zitto, hope CDM are smart enough to notice this...
Najua Zitto ana Fans wengi hapa JF ambao ama kwa kujua ama kutokujua watajikuta wanaingia katika mtego huu wa CCM kupitia Zitto.
THIS IS THE PAINFULL TRUTH TO ACCEPT
mkuu wangu umemaliza yote.yeyote anayempinga jabali slaa hapa jamvini ni kibaraka wa magamba.vibaraka wa magamba walioko ndani ya cdm wamejipanga barabara kumtumikia bwana wao.lakini jambo moja nashukuru wameanza chokochoko zao wakati chama kinajiandaa kufanya uchaguzi wake wa ndani.ninaamini mwenyekiti mbowe ataongoza vema kamati za chama kufukuzilia mbali vibaraka hawa.
zitto napata mashaka na ww. Nimesoma vizuri makala yako. Inaonekana humthamini dk slaa. Naanza kupata mashaka khsu mashambulizi yanayowekwa humu jf kila kukicha khsu dk slaa. Huenda ni ww ndo unawatuma akina tuntemeke. Unataka watu wamchukie sana slaa ili ww uibuke. Kwahili la kumfanyia offside slaa siungi mkono hoja yako.