Zitto: Ndio ninautaka urais

Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
Hatimaye sasa nimejiridhisha pasipo na shaka ni kwa nini zitto Kabwe ni swahiba mkubwa wa Deputy Director wa Usalama wa Taifa ndugu Jacky Nzoka, Zitto aje hapa kuuelezea umma wa JF ni sababu zipi za msingi zilizokuwa zinamfanya awe na mawasiliano ya mara kwa mara wakati chama chake kiko katika uchaguzi mkuu na Idara ya usalama wa Taifa ndiyo ilikuwa inaihujumu CHADEMA? hapa sitalajii jibu rahisi kwa swali gumu.

Pili Ben Saanane nimekuwa nikifuatilia mabandiko yako kwa makini sana na kuna kipindi nilidhani huwa unaonewa, kumbe nilikuwa najidanganya, humu jamvini umejipambanuwa kwamba wewe ndio unayejuwa siasa na yeyote ambaye atakuwa kinyume na mtazamo wako basi wewe utambatiza kila aina ya jina mara mnafki mara hivi mara vile, kumbe sasa nimejiridhisha ni kweli chama chako kiliposema huna maadili hakuna walipokuwa wamekosea, kwa nini unatetea Alliance ndani ya chama? narudia kukwambia tena jifunze kwa John Mnyika, yule kijana anaaminika machoni pa watu kwa sababu he is humbled,......jiulize ni kwa nini kijana mmoja Mnyika alundikiwe vyeo na nyinyi wasomi mpo? endelea na Alliance. zako.
 
JJ Mnyika ni mroho wa madaraka na ana alliance na wenye chama, na kujikombakomba kwa chairman

Ndio maana amelundikia midaraka kama vile vijana wengine hawawezi lol..
 
Mkuu heshima ni kitu cha bure kama huna cha kuchangia ni heri ukae pembeni, by the way nimemuuliza swali Zitto kama wewe una kiherehere chakujibia watu maswali jibu na swali la Zitto.
 
total *****.
Slaa cant be our longer presidentia candidate.
Yeye anapaswa kuwa mwenyekiti wa baraza la wazee la chama.
Uhuru duniani kote ulidaiwa na vijana. He is too late.
Alikuwa wapi siku zote na huo ujembe wake?.

CCM Cadres on duty
 
Mkuu heshima ni kitu cha bure kama huna cha kuchangia ni heri ukae pembeni, by the way nimemuuliza swali Zitto kama wewe una kiherehere chakujibia watu maswali jibu na swali la Zitto.

Kama unakereka na majibu you can just ignore mkuu..

Hii ni open forum, kila mtu na haki ya kujibu sina muda wa kusubiri..wakati najua una mahaba mbuzi kwa JJ mnyika ambaye amebeba kazi ya vijana saba kwasababu ya uroho wa madaraka, na kujikombakomba kwa chairman lol..
 
I have already Ignore you Ben Saanane Secretary!!........
 
zitto-na-jk.jpg

Mshauri wake Mkuu
 
Zitto
Nimeisoma tena hii thread na kupitia Comments karibu zote na nimepata ujumbe mkubwa kwamba wengi wa wanachama wa CDM hawana imani na wewe Zitto.Ni ukweli mchungu lakini ni lazima nisema.Nimegundua wasichokipenda wanachama wa CDM ni majivuno ya Zitto na kujiona yeye pekee ndiye anayefaa na wengine wote hawana maana.Wapo baadhi hawajafurahishwa na pale uliposema Mnyika alikuwa haipendi CDM na wewe ndiye ulimlazimisha kujiunga.Kwa kusema hivyo wenzako wametafsiri una bifu la chinichini na Mnyika.Zitto nakushauri ukitaka kudumu katika siasa acha papara.Haraka haraka haina baraka na Subira yavuta heri.Nakumbuka baada ya uchaguzi mkuu ulikimbilia kwenye vyombo vya habari na kutangaza kwamba wewe ndiye unafaa kuwa kiongozi wa upinzani bungeni.Ulisababisha vurumai kubwa ambalo lilikuwa la kipuuzi kabisa.Mbowe alipoulizwa alijibu kwa busara kubwa kwamba vikao ndio vitaamua.Baada ya vikao Mbowe ndiye akaonekana kuwa na hekima ya kupewa nafasi ile.Sasa kwa mfano huu ukiwa kama mdogo wangu nakushauri tuliza akili na chapa kazi.Urais unakuja tu wenyewe.Urais haupatikani kwa kukashifu wengine na kujiona wewe ni bora zaidi hapana.Wala urais hauji kwa kutuma watu kwenye mitandao ya kijamii kukashifu viongozi wako wanaoheshimika.Niendelee kukushauri kwamba kwa papara unazozionyesha ukipewa uenyekiti wa chama basi CDM kitasambaratika ndani ya muda mfupi sana kwa sababu ya kudharau wengine na kujiona bora sana.Zitto usiwe kama Mrema aliyejiona yeye ni kila kitu akaisambaratisha NCCR.Mwisho kabisa fahamu kitu kimoja kwamba bado sana wewe kujilinganisha na Slaa au Mbowe.Unahitaji si chini ya miaka kumi kujijenga kufikia upeo ujasiri na uaminifu wa Dr Slaa.
 
Wakuu tuwe tu wakweli. Hivi ukifika hapa kayika ile theory ya Manslow ya Hierarchy of needs unakuwa umebakisha nini?

6956234301_09c037d252_z.jpg

8PyqdacFUJ2uyAAAAAElFTkSuQmCC

Kwa akili zako ukwaju nadhani utasema hata Emanuel Okwi au Boban wanafaa kuwa marais.
554169_3010668679896_1657874669_2920135_583258497_n.jpg
 
Kama George Weah au hutaki? Kila mtu anaweza akawa Rais katika nchi yake ili mradi tu ametimiza matakwa ya katiba. Hukumbuki kwamba Weah alimtoa kamasi Mama Serleaf? Emmanuel Okwi anaweza akwa Rais huko kwao na Boban anaweza kuwa Rais hapa kama atatimiza matakwa ya Katiba; ubaya uko wapi?

Mkuu nadhani wewe ni miongoni mwa watu ambao wanadhani Urais ni wa kikundi fulani cha watu wateule na wala siyo haki ya Raia wote wanaotimiza matakwa ya Kikatiba.
 
Kama George Weah au hutaki? Kila mtu anaweza akawa Rais kaytika nchi yake ili mradi tu ametimiza matakwa ya katiba. Hukumbuki kwamba Weah alimtoa kamasi Mama Serleaf? Emmanuel Okwi anaweza akwa Rais huko kwao na Bonban anaweza kuwa Rais hapa kama atatimiza matakwa ya Katiba ubaya uko wapi?

Mkuu nadhani wewe ni miongoni mwa watu ambao wanadhani Urais ni wa kikundi fulani na wala siyo haki ya Raia wote wanaotimiza matakwa ya Kikatiba.
Ni ukweli Urais siyo haki ya raia wote na ndio maana Zitto Kabwe hana sifa za kuomba Urais, sasa hiyo haki ya raia wote inatoka wapi hapo? .........
Najuwa yote haya yamesababishwa na JK ndio maana kila mtu sasa anadhani urais ni taasisi ya kuamiwa yeyote yule!...sintoshangaa hata nikisikia Wema Sepetu naye anautaka Urais!!
 
..sasa Zitto anatangaza vipi nia ya kuutaka Uraisi wakati katiba haimruhusu?

..hata wale ambao katiba inawaruhusu, mmemsikia kuwasikia wakiutangazia umma kabla ya mchakato wa vyama kutafuta wagombea haujaanza?

..Jakaya Kikwete aliyeusaka Uraisi kwa miaka zaidi ya 10 hakutangaza nia mpaka pale chama chake kilipopuliza kipenga kuanzisha mchakato wa kumpata mgombea Uraisi.

..There was no need kwa Zitto kuanza kutoa matamka haya. Katiba hairumhusu, na Chadema hajaanzisha mchakato wa kumtafuta mgombea Uraisi 2015.
 
Tanzania siyo nchi ya kifalme..kwa hiyo kila mtu anaweza kuwa rais, kupitia sanduku la kura!

Kama hutaki unaonyesha hasira yako kweny ballot box.

Au mnamzuia asigombee kwenye chama chenu ambacho huwaga ina watu special wanaotakiwa kuwa marais..

Naomba nikuulize hao watu ambao wanafaa kuwa marais (special species) wanatokea wapi? tutafute ubini wao..
 
..sasa Zitto anatangaza vipi nia ya kuutaka Uraisi wakati katiba haimruhusu?

..hata wale ambao katiba inawaruhusu, mmemsikia kuwasikia wakiutangazia umma kabla ya mchakato wa vyama kutafuta wagombea haujaanza?

..Jakaya Kikwete aliyeusaka Uraisi kwa miaka zaidi ya 10 hakutangaza nia mpaka pale chama chake kilipopuliza kipenga kuanzisha mchakato wa kumpata mgombea Uraisi.

..There was no need kwa Zitto kuanza kutoa matamka haya. Katiba hairumhusu, na Chadema hajaanzisha mchakato wa kumtafuta mgombea Uraisi 2015.

Mkuu CCM wana utaratibu wa kidikteta kama CUF ambao ukitangaza mapema nafasi za wateule unaondolewa kwenye chama, JK alifahamu miiko hiyo..

Sidhani kama hiyo miiko iko chadema kama ndio, basi wamfukuze Zitto once and for all
 
Topical,

..mimi nadhani busara tu ilipaswa kumuelekeza Zitto kwamba huu si wakati wa kutangaza nia ya kugombea Uraisi.

..wakati mwingine haya mambo yanakuja na UMRI, na pia EXPOSURE.
 
Ni ukweli Urais siyo haki ya raia wote na ndio maana Zitto Kabwe hana sifa za kuomba Urais, sasa hiyo haki ya raia wote inatoka wapi hapo? .........
Najuwa yote haya yamesababishwa na JK ndio maana kila mtu sasa anadhani urais ni taasisi ya kuamiwa yeyote yule!...sintoshangaa hata nikisikia Wema Sepetu naye anautaka Urais!!

Mkuu Matola mbona leo unakengeuka kiasi hicho? Yaani Urais ni kama Ufalme wa Uingereza kwamba ni kwa watu maalumu tu? Yaani kwa kuwa Zitto ameonyesha nia na kwa kuwa wewe humtaki basi umepoteza hata busara na maono ya kawaida tu kufikia kiasi cha kutamka kwamba Urais wa Tanzania siyo haki ya kila mtu anayetimiza matakwa ya kikatiba? Naona tangazo la Zitto limekuchanganya. Mkuu pumzika ili ukiamka uwe umejikusanya vyema.
 
..sasa Zitto anatangaza vipi nia ya kuutaka Uraisi wakati katiba haimruhusu?

..hata wale ambao katiba inawaruhusu, mmemsikia kuwasikia wakiutangazia umma kabla ya mchakato wa vyama kutafuta wagombea haujaanza?

..Jakaya Kikwete aliyeusaka Uraisi kwa miaka zaidi ya 10 hakutangaza nia mpaka pale chama chake kilipopuliza kipenga kuanzisha mchakato wa kumpata mgombea Uraisi.

..There was no need kwa Zitto kuanza kutoa matamka haya. Katiba hairumhusu, na Chadema hajaanzisha mchakato wa kumtafuta mgombea Uraisi 2015.

Mkuu kwani hii ni mara ya kwanza Zitto kutamka kuwa anautaka Urais mwaka 2015? Mbona mwaka 2010 alipokuwa ikiomba kura kule Kigoma alisema hiyo ni mara yake ya mwisho kuomba kura za Ubunge akirudi 2015 atakuwa akiomba kura za Urais au tumesahau?
 
Mkuu Matola mbona leo unakengeuka kiasi hicho? Yaani Urais ni kama Ufalme wa Uingereza kwamba ni kwa watu maalumu tu? Yaani kwa kuwa Zitto ameonyesha nia na kwa kuwa wewe humtaki basi umepoteza hata busara na maono ya kawaida tu kufikia kiasi cha kutamka kwamba Urais wa Tanzania siyo haki ya kila mtu anayetimiza matakwa ya kikatiba? Naona tangazo la Zitto limekuchanganya. Mkuu pumzika ili ukiamka uwe umejikusanya vyema.
Mahaba yako kwa Zitto Kabwe ndiyo yanayokutia upofu, mpaka dakika hii ninavyotype comment hii, Zitto hana sifa za kuwa mgombea Urais wa nchi hii, achilia mbali Urais wenyewe.......
Ningekushauri wewe ndio ukalale ujipange upya, labda nikupe home work ya kurudi nayo hapa, ni sababu zipi zinazowafanya CCM na vibaraka wake wampende Zitto na siyo Dr Slaa!!??.......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom