Mh. Zito, pamoja na kuwa unania nzuri, kimaneno sio kimatendo kama mlivyo almost wabunge wote wa Tanzania, swala la kuiendeleza NHC mpaka ikafikia uwezo wa kutupati mortgage watanzania badala ya mazingaombwe yanayoendelea kuhusu nyumba nafuu ni muhimu sana. Wapi mmelifanyia kazi hilo jambo la wananchi kupata nyumba nafuu? Nyie kama watunga sheria na wasimamizi wa utendaji wa serikali mngelikazania hilo na siyo kutoa maelezo ambayo hayatusaidia sisi watanzania wa kawaida. Nani kasema ni kosa kuomba msamaha wa kodi kwa taasisi moja? Hayo ni maamuzi yetu na kama tunaona kunaulazima wa kufanya hivyo, strategically, hakuna huo ubaya badala ya kuwa watumwa wa maandishi!! It is time to think outside the box.
Hata kama tutapunguza vipi bei za vifaa vya ujenzi bado sioni kama ni suluhisho kwani uwezo wa watanzania kununua, hasa hao ambao unatetea, haupo. Bali uwezo wa kukopa nyumba ¨mortgage¨ na kulipa pole pole unaweza kutusaidia sana and to start with NHC mnaweza kuijengea uwezo wa kisera na kuwezeshwa. Tumechoka kusikia uongo wenu huku mkijua hayo mnayoyasema siyo mnayoyaishi! You guys are hypocrites of the highest order. Wote na sio kwamba nakwambia wewe Zito pekee.
Hata hivyo nakushukuru sana kwa kujadiliana na sisi wana jamiiforums kwa uwazi. Please convey my message to others that we know what you guys are doing!
,