Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Uwezo wa kujadili mambo makubwa huna, wewe kalambe tu viatu

Huyo fundi mchundo mtoto wa msambila mpuuze tuh mkuu.

Hana uwezo wa kujadili na wanaume hapa.

Keshapuuzwa si unaona hata anatumia fake id??

Anaacha nasaba yake anakimbilia nasaba ya nyerere kutapeli watu humu jf.

Puuza Puuzi hilo.
 
Mkuu Ritz kwa punch hizi lazima Nguruvi3 arushe taulo teh teh teh.

Mimi baaada ya kugundua jins mihemko yake ilivyo mikali anapoliskia jina la kabwe zitto nimeamua kumpuuza kwan siwez ambulia chochote kwenye kampen hii anayoifanya.

He is trying to play character assassination and enjoying watching his political ponography..teh teh teh.

Anaziiibua shutuma zisizo na ushahid anazileta ukumbuni barzan kisha anahoji kweli au si kweli huku akisubir majibu.

Tukimkumbusha kuhus escrow anaruka futi mia na kusema hiyo siyo ya msingi.

La msingi ni zitto na shutuma zake...tunamuulza ni zip??badala ya kuweka ushahid anasema kwamba record zipo humu jf.

Then anajiita great thinker...

Afanaleeeki...

Teh teh teh...

Sheikh Karibu hapa barza la kahawa la msisiriii...

Nakusoma kwa utuvu mnooo.

Pia nimekusoma comment yako kuhus mzee mag3 shukran sana.

Huyo mzee siku hizi mimi nampuuza kama ninavyompuuza mzee mwanakijiji.
Jamani, hivi kuna tuhuma zipi nimeleta ambazo natakiwa niweke ushahidi?

Yote inayosema kayasema Zitto, kosa langu li[po wapi?

Je, hajatuhumiwa kuhusu Gombe na Ongangi?
Je, hakujibu Ongangi ana mke na mtoto na amesoma hapa?

Je, hakuna tuhuma za Zitto kuvuta milioni 6?
Je, hakumtaja Mkandrge na mhuri wake?
Je, hakutuhumiwa kumtafutia mzungu wa Shell nyumba?

Lipi kati ya hayo machache nimelizua mimi ambalo Zitto hakulisema mwenyewe?

Sasa mnaponiuliza tuhuma zipi za Zitto, kwanini bandiko la hapo juu amenongelea send off ya mtu?
 
Kama huridhiki na majibu ya Zitto si uwaulize wale walioleta tuhuma ili wakupe ushahidi wa tuhuma zao?
 
Mkuu Nguruvi3,

Waliokusoma na kukuelewa ni wengi tu, hizi porojo za wenzetu zitakuja fikia tamati muda sio mrefu, tuwe na Subira Kidogo, tutarudi to prove kwanini Tunasema Kwamba zitto wa "buzwagi" sio zitto wa "escrow", na kwanini zitto Hana Tena integrity ya kupambana na ufisadi.
 
Last edited by a moderator:

Mada siyo Zitto wa Buzwagi, wa Buseresere au Wa Escrow, mada Inahusu kushambuliwa kwa Zitto na PAC kutokana na kusimamia kidete maslahi ya Wananchi katika ishu hii ya Escrow.
 
Jamani, hivi kuna tuhuma zipi nimeleta ambazo natakiwa niweke ushahidi?

Yote inayosema kayasema Zitto, kosa langu li[po wapi?

Je, hajatuhumiwa kuhusu Gombe na Ongangi?
Je, hakujibu Ongangi ana mke na mtoto na amesoma hapa?

Je, hakuna tuhuma za Zitto kuvuta milioni 6?
Je, hakumtaja Mkandrge na mhuri wake?
Je, hakutuhumiwa kumtafutia mzungu wa Shell nyumba?

Lipi kati ya hayo machache nimelizua mimi ambalo Zitto hakulisema mwenyewe?

Sasa mnaponiuliza tuhuma zipi za Zitto, kwanini bandiko la hapo juu amenongelea send off ya mtu?

Tuhuma ohhhh Anatuhumiwa blah blah ....
Aina hii ya uandishi ni unafiki mkubwa yale yale ya Richmond ilipokuwa ya Mwaarabu kelele nyingi ilipobadili ownership na kuwa symbion ya wazungu kimya kama vile mmemwagia maji...

Sifa yako kubwa na wenye kukusupport ni UNAFIKI period, hamjui mnataka nini ila mnajua mnamtaka nani?; to be precise issue hii angebeba Slaa or Mbowe na siyo huyu ambaye si mzungu mwenzenu.....
Ngoja nikuelewesha;
Zitto weka pembeni ongelea escrow... fund msimamo wako ni upi...?tutaokoaje hizo pesa za serikali ambayo bahati mbaya imepita katika bank ya maaskofu ..mkombozi (wenzenu hao) nina uhakika hapa mtatetea madhambi mapofu..juu
 
Mkuu Nguruvi3,

Waliokusoma na kukuelewa ni wengi tu, hizi porojo za wenzetu zitakuja fikia tamati muda sio mrefu, tuwe na Subira Kidogo, tutarudi to prove kwanini Tunasema Kwamba zitto wa "buzwagi" sio zitto wa "escrow", na kwanini zitto Hana Tena integrity ya kupambana na ufisadi.

Integrity anayo nani?

Huyo mwenye integrity anasubiri nini kujiingiza kwenye mchakato?

Walau mbembelezeni alibebe basi tumpe ushirikiano ..

Hamtaweza kusema chochote ila mmejaa UNAFIKI period
 
Tuhuma ohhhh Anatuhumiwa blah blah ....
Aina hii ya uandishi ni unafiki mkubwa yale yale ya Richmond ilipokuwa ya Mwaarabu kelele nyingi ilipobadili ownership na kuwa symbion ya wazungu kimya kama vile mmemwagia maji...

Sifa yako kubwa na wenye kukusupport ni UNAFIKI period, hamjui mnataka nini ila mnajua mnamtaka nani?; to be precise issue hii angebeba Slaa or Mbowe na siyo huyu ambaye si mzungu mwenzenu.....
Ngoja nikuelewesha;
Zitto weka pembeni ongelea escrow... fund msimamo wako ni upi...?tutaokoaje hizo pesa za serikali ambayo bahati mbaya imepita katika bank ya maaskofu ..mkombozi (wenzenu hao) nina uhakika hapa mtatetea madhambi mapofu..juu
Msimamo wangu ni rahisi sana na nimeusema mara nyingi
1. Kuna wizi wa escrow, wezi watafutwe na wachukuliwe hatu za kisheria.
2. Kuna washirika wa wezi wa direct na indirect, nao ni wezi tu na wachukuliwe hatua
3. Pesa zilizoibwa zirudishwe kwa kufilisi wote walioshiriki ama rasilimali zao.

Umeneelewa hapo?
Zitto ndiye ka;leta mada si mtu mwingine, sasa dhana ya kuwa angelikuwa fulani inatoka wapi?
Ndio maana tunasema Zitto is the author of his own political demise. Angalia alivyokurupuka!

Mada inayojadiliwa ni ya Zitto, rudi kwenye mada mkuu
 
Kama huridhiki na majibu ya Zitto ni bora ukawaulize hao wanaomtuhumu ili kujiridhisha?
Wanaomtuhumu Zitto wameleta vijikaratasi vinavyoonyesha mheshimiwa Zitto kachukua milioni 6 kujikidhi.
Mheshimiwa Zitto kamtaja Vivian na Mknadege bila kutueleza kama mhuri wa mkandege umefojiwa au Mknadege ameshiriki.

Hivi wenye kuleta tuhuma wameweka kikaratasi kinachomtuhumu Zitto kuvuta elfu, elfu sita.
Ni wajibu wa Zitto kutueleza kama ni kweli au si kweli. Umeelewa mkuu
 
Msimamo wangu ni rahisi sana na nimeusema mara nyingi
1. Kuna wizi wa escrow, wezi watafutwe na wachukuliwe hatu za kisheria.
2. Kuna washirika wa wezi wa direct na indirect, nao ni wezi tu na wachukuliwe hatua
3. Pesa zilizoibwa zirudishwe kwa kufilisi wote walioshiriki ama rasilimali zao.

Umeneelewa hapo?
Zitto ndiye ka;leta mada si mtu mwingine, sasa dhana ya kuwa angelikuwa fulani inatoka wapi?
Ndio maana tunasema Zitto is the author of his own political demise. Angalia alivyokurupuka!

Mada inayojadiliwa ni ya Zitto, rudi kwenye mada mkuu

Mada inayojadiliwa ni escrow, (the main issue)

Ili pesa za escrow zirudi wabunge, PAC ya kina zitto, na wananchi (sisi) wafanye nini?
 
Onyesha kwa kutumia bandiko la Zitto kuhusu escrow kuwa mada kuu. Mimi nadhani na wengine tunaona ni tuhuma bila shaka, prove us wrong
 
Mada siyo Zitto wa Buzwagi, wa Buseresere au Wa Escrow, mada Inahusu kushambuliwa kwa Zitto na PAC kutokana na kusimamia kidete maslahi ya Wananchi katika ishu hii ya Escrow.

Hoja yangu ya msingi ni Kwamba zitto Hana integrity ya kupambana na ufisadi, Katika muktadha huo, kujadili buzwagi ni sehemu muhimu Kwangu kuonyesha kwanini awali niliona ujenzi wa uzalendo na integrity ndani ya zitto Kama kiongozi, both of which have withered away;
 
Muda ni mwalimu mzuri sana mkuu wacha tuvute subira.
 
Msihofu wawekeni hadharani wamezoea kugawana fedha zetu. Wanadhani bado tu mazuzu. Komaeni nao ioi 2015 tuwawajibishe tena
 
Binafsi ziwezi weka tumaini lolote juu ya Zitto.
Zitto si huyu huyu mwenye list ya watu wenye "vijisenti" uswis?
Au hizo za uswis zimekosa thamani?
Kama Zitto kweli anaogelea kwenye uzalendo na nchi kwanza,atuambie uzalendo wake kwenye hela za uswis umeenda wapi maana ana ushahidi.
 
Back
Top Bottom