Zitto na Muhongo Live on BBC; ni kuhusu mafuta na gesi

muhongo anaulizwa kuhuu mrahaba, kwa nini ni kidogo mno wakati wengine ni mpaka 30%, indonesia ni 15%
muhongo anasema elimu ni kikwazo, anasema jana alikuwa moshi akaulizwa kuwa kuna nchi wanatoa 70%, anasema huko wanakopeana hiyo kiasi kuna partinership.
anasema watu wanapotosha, anasema sehemu zingine duniani kiasi ni hichohicho, asilimia 3%
 
Prof. Kaulizwa kwa nini mrabaha ni 4% wakati nchi nyingine ni 15%, 20%, nk. Anajibu kuwa tatizo ni elimu na aina ya mkataba, kuwa nchi nyingine watu wananunua shares, na pia anasema nchi nyingi sana wanatoza asilimia 3 mpaka 4%. Mungu wangu!
 
Bora aibe mchimbaj mdogo,,,ambaye naamini ni mtanzania tena mweusi,kuliko kuiba mtu aitwaye mwekezaji
 
ZZK anaulizwa anasema kila nchi ina utaratibu wake, lakini anaelezea Fiscal Regime, na anatoa mfano wa Botwsana, kakatizwa anaulizwa mapato ni mazuri au la, anarudi kwa Botwsana kuwa ni 50%, lakini makubaliana yao hakuna corporate tax na mrahaba hakuna, na SA mrahaba ni 0%, anasema tatizo kwa TZ ni kuwa hatuna wataalam wa kiuchumi kwa hiyo tunachopata ni kidogo, kwani kuna misaada mingi sana ya kodi, lakini tatizo la wataalam wa Geolojia hakuna, na akatolea misamaha mingi sana inatolewa katika sector ya madini.
 
zitto anaulizwa uzoefu wake nchi zingine kuhusu mikataba, je ni kama tanzania? zitto anasema haiwezekani kufanana maana kila nchi ina mambo yake...
...anasema botswana wanapata 50% from gold, wanasahau kwamba botswana, kampuni ya retswana ambayo ni kampuni ya ubia na serikali, hawalipi kodi ya corporat. south africa mrahaba ni 0%
kwa tz, mikataba tuliyoingia miaka ya 90 hatukuwa na elimu, tatizo ni wachumi wa mambo ya madini, tunapata kidogo sababu ya misamaha ya kodi
hatufanyi uongezaj wa thamani wa bidhaa zetu, hivyo tunapeleka kazi nje badala ya kufanyia hapa nchini.
anaulizwa, mapa
 
BBC swahili wanarusha mahojiano kuhusu sekta ya mafuta na gesi. Yupo Zitto na Prof Muhongo.

Follow the discussion:

Waziri anasema mapato Tz tunapata kutoka rabaha, 3% and now 4%, corporate taxi, 30%, anasema makampuni yote yameanza kulipa.
anasemakuna kampuni zimechimba madini zaidi ya miaka 7, walikuwa wanapewa miaka 5 ili kurudisha gharama zao, ila wengi ikifika mitano walikuwa wanasema hawapati faida hivyo kuomba kuongezewa siku.

kumbe wewe ni mod? vipi nili post vibaya au?
 
mkenya anasema, hatuelewi value chain ya madini ndio maana hatunufaiki na madini. kwa kenya wameshaanza kusaini mikataba na wananchi wanadai iwe public
 
Masikini Mhe Zitto anavyopata shida hapa kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja kwenye kauli mkanganyiko hapo BBC!!!!!!!!!!!!!!!!

ZZK anaulizwa anasema kila nchi ina utaratibu wake, lakini anaelezea Fiscal Regime, na anatoa mfano wa Botwsana, kakatizwa anaulizwa mapato ni mazuri au la, anarudi kwa Botwsana kuwa ni 50%, lakini makubaliana yao hakuna corporate tax na mrahaba hakuna, na SA mrahaba ni 0%, anasema tatizo kwa TZ ni kuwa hatuna wataalam wa kiuchumi kwa hiyo tunachopata ni kidogo, kwani kuna misaada mingi sana ya kodi, lakini tatizo la wataalam wa Geolojia hakuna, na akatolea misamaha mingi sana inatolewa katika sector ya madini.
 
Na pia mkenya kaelezea kuwa ni vizuri kuweka jambo hili kwenye katiba na mwakilishi wa nchi lazima awepo kuwawakilisha wananchi wa nchi yake kufaidika na si kutegemea huduma zingine! Pia raia wa Burundi pia wamesema hakuna kufaidika kwa wananchi, watawala ndo wanafaidi na nchi za kigeni
 
mkenya alisema, serikali nyingi za kiafrica ziko haziko kwa jili ya wananchi bali kwa watu wa nje...wakoloni...
 
ZZK anaulizwa anasema kila nchi ina utaratibu wake, lakini anaelezea Fiscal Regime, na anatoa mfano wa Botwsana, kakatizwa anaulizwa mapato ni mazuri au la, anarudi kwa Botwsana kuwa ni 50%, lakini makubaliana yao hakuna corporate tax na mrahaba hakuna, na SA mrahaba ni 0%, anasema tatizo kwa TZ ni kuwa hatuna wataalam wa kiuchumi kwa hiyo tunachopata ni kidogo, kwani kuna misaada mingi sana ya kodi, lakini tatizo la wataalam wa Geolojia hakuna, na akatolea misamaha mingi sana inatolewa katika sector ya madini.

Miaka 50 baada ya uhuru???!!!!!!!!!!!
Kwa hiyo walioajiriwa na serikali siyo wataalam???!!!!!!!!
 
muhongo anasea kuhusu kuchimba bila sera wala sheria ya mafuta na gesi...anakubali kuwa tatizo ni viongozi walikubali kuchimba bila elimu kuhusu madini.
anasema inabidi viongozi waelewe wanachokisema na kwa wakati gani..anasema baadhi ya viongozi siyo makini maana wanasema mikataba irekebishwe ila ukianza kurekebisha wanakuwa wa kwanza tena kulalamika..yaani kusimamisha...huenda anamlenga mkulu
 
eti muhongo anauliza hivi..wanasiasa wanaruhusu mkataba iangaliwe upya? mtangazaji kamwambia hilo ni swali la yeye mwenyewe kujibu kama waziri.
anasema sera naandaliwa na wanachi watapewa muda waipitie na watoe mapendekezo yao, pia na wawelezaji watoe maoni yao...
tutapitia mikataba ili itusaidie kupata sheria na sera nzuri.
anawalaumu wanasiasa kuwa wanalalamika mikataba ikianza kufumuliwa...
 
Prof. Anaulizwa kwa nini sasa tunaingia katika mikataba ya Gas na Mafuta wakati hamna hii sheria? Anasema tatizo ni viongozi, wakati wanasema mikataba ibadirishwe, wakati mwingine viongozi hao hao ukitaka kubadilisha wanakuja kukataa. Sasa anaelezea sera ya Gas na Mafuta na anakiri ni ya mwaka 80 na inamapungufu, kwa hiyo eti anawauliza wanasiasa kuna haja ya kupitia upya hiyo mikataba, anaaambiwa yeye ndo wakujibu, anasema katika siku kumi zijazo hiyo sera itapelekwa kwa wananchi watoe mapendekezo na baadae wataipeleka kwa hayo makampuni. Anasema ameipa Board waipitie mikataba ili wapate cha kujifunza, lakini tatizo ni wanasiasa hao hao ndo wanakuja kulalamika!
 
zitto anasema kuwepo uwazi katika mikataba yote. anasema ukitaka kupambana na ufisadi kwenye madini, weka mikataba yote wazi. anasema walikubali kupitia mikataba kwa condition kuwa report yao itakuwa public.
anasema inakuwaje tpdc waliingia mikataba haohao tena ndio waipitie?
 
ZZK anaulizwa ni nini kifanyike ili madini yamnufaishe mtanzania.? Anasema jibu ni kuweka mikataba wazi! Ukitaka kuondokana na ufisadi lazima mikataba iwekwe wazi! Kwa mf. Waziri anaagiza TPDC waicheck hiyo mikataba wakati ndo wale wale waliingia katika mikataba hiyo? Anasisitiza uwazi ndo suluhusho!
 
Back
Top Bottom