mtayeshelwa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,170
- 390
Mkuu umeongea point hadi umepitiliza,cha msingi hawa wote magufuli awapotezee yeye aendelee na jitihada zake zakulijenga taifa.Zitto Na Gwajima wote wanafiki tu.
Gwajima anawasilisha hasira za kundi la Lowasa walivyokatwa Dodoma.
Zitto anawasilisha hisia za kundi la utawala wa Kikwete liloumizwa Na utawala wa Magufuli, hasa wale wanaosambaza kampeni za kumnyima Magufuli uenyekiti.
Hivyo kati yao sioni Mwenye dhamira ya dhati kwa Taifa.
Magufuli awapotezee tu, wote mamluki hao.