Zitto na Kikwete, Gwajima na Magufuli!

Zitto na Kikwete, Gwajima na Magufuli!

Japo gwajima hayupo karibu na magufuli
Amemsaidia magufuli kupata picha kamili linaloendelea chini ya kapeti

Maana magufuli fitina za ndani ya ccm haziwez, ye amekaa kufikiria namna ya kuitokomeza Ukawa

Subir achezweshe gwaride na kikwete kupitia kwa Zito
Ninakubaliana na wewe kuhusu fitina ndani ya CCM.

Rais Magufuli hazifahamu fitina za kisiasa ndani ya CCM kwa sababu hakuwahi kwa muda mrefu kuwa hata Mjumbe wa Halmashauri ya CCM Taifa.

Rais Magufuli ameanza kuingia Kamati Kuu baada ya kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.

Nadhani kutofahamu fitina ndani ya CCM kunamsaidia katika kazi zake za Urais kwa sababu anakuwa hana uhusiano wa karibu na wapiga majungu walioko ndani ya CCM.
 
Zitto ana hasira sana na Kikwete hasa baada ya swahiba wake Dr Ramadhan Dau kutumbuliwa kwa kuahidiwa kupewa Ubalozi ambapo mpaka sasa anakalia benchi. Hatafanikiwa vita hii kwa sababu anapambana bila ya ridhaa ya Mungu

Kikwete=Magufuli?????
 
Ninakubaliana na wewe kuhusu fitina ndani ya CCM.

Rais Magufuli hazifahamu fitina za kisiasa ndani ya CCM kwa sababu hakuwahi kwa muda mrefu kuwa hata Mjumbe wa Halmashauri ya CCM Taifa.

Kamati Kuu ameanza kuingia baada ya kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.

Nadhani kutofahamu fitina ndani ya CCM kunamsaidia katika kazi zake za Urais kwa sababu anakuwa hana uhusiano wa karibu na wapiga majungu walioko ndani ya CCM.
Poleni sana. Magufuli yupo fit na well informed kuliko mnavyofikiri. Hakuna njia wanaweza kumyumbisha by any means
 
Hivi kwanini ni Zitto tu na si Mbowe, kwani Mbowe anayoyafanya kule Mwanza sio kupingana na Magufuli??? kwanini Zitto aonekane ni kikwazo kwa Magu na si Mbowe??? napata ki harufu fulani hivi kinaniijia!
 
Zitto ana hasira sana na Kikwete hasa baada ya swahiba wake Dr Ramadhan Dau kutumbuliwa kwa kuahidiwa kupewa Ubalozi ambapo mpaka sasa anakalia benchi. Hatafanikiwa vita hii kwa sababu anapambana bila ya ridhaa ya Mungu
Umedondosha machozi kupambania kiinua mgongo cha mbunge kisikatwe kodi.
 
Hivi kwanini ni Zitto tu na si Mbowe, kwani Mbowe anayoyafanya kule Mwanza sio kupingana na Magufuli??? kwanini Zitto aonekane ni kikwazo kwa Magu na si Mbowe??? napata ki harufu fulani hivi kinaniijia!
Mbowe si tishio tena kutokana na tabia yake ya kubadili gia angani
 
Kiukweli pamoja na Zitto sometimes kusimamia mambo ya msingi lakini mihemuko yake inayopitiliza kipindi hiki imetufanya wengine tupige hatua nyuma kujiuliza! JPM afanyi jambo bila nguvu ya " system" ambayo hakuna anayeweza kushindana nayo. Kwenye hili kama Zitto ataendelea na mwendo huu bila kuchunga vyema kauli zake zitampoteza kwenye siasa. Tetesi za kutumika na kundi la mstaafu zinazidi kupaa kwenye corridor za kisiasa.
 
zito alidhani atamteka magufuli kama alivo mteka jk. mwazoni alikuwa anajipendekeza sana kwa JPM, hadi ikafika wakati kila jambo zuri likifanywa na raisi zito anapost mitandaoni kuwa raisi katekeleza maoni yake zito, bahati mbaya kajipendekeza lakini kaona raisi hana time nae, kaamua kuwa against nae kwa lolote lile bila kujali zuri au baya. zito ni mnafiki sana.
Tunasubiri hatima ya mpambano huu.

Rais Magufuli siyo mtu anayependa compromise kama ilivyo kwa Zitto Kabwe.
 
Zitto Na Gwajima wote wanafiki tu.

Gwajima anawasilisha hasira za kundi la Lowasa walivyokatwa Dodoma.

Zitto anawasilisha hisia za kundi la utawala wa Kikwete liloumizwa Na utawala wa Magufuli, hasa wale wanaosambaza kampeni za kumnyima Magufuli uenyekiti.

Hivyo kati yao sioni Mwenye dhamira ya dhati kwa Taifa.

Magufuli awapotezee tu, wote mamluki hao.
Siasa za Tanzania zina visa na vimbwanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom