Zitto na kibonzo

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nimesoma kikatuni gazeti la Majira leo limenichekesha sana. Inaonekana Zitto akiwa ameshika bendera ya chadema akiwa amejifunika magazeti yaliyoandikwa sakata la dowans huku akiwa amelala fofofo. Kipanya akijiuliza, ingekuwa enzi zake TZ ingewaka moto kuhusu sakata la dowans. Nami najiuliza Zitto wamempa nini hadi amekuwa kama kondoo? Kijana alikuwa na political future nzuri amejiua maskini. Pole zake
 
akae kimyaaaa kimyaaaa kabisa...chadema ni chama sio family affair!!!

mambo ya kuacha mtu mmoja kufanya kila kitu katika chama ndio kimeifikisha ccm kaburini saivi....kila kitu makamba na kikwete!!!!

chadema ni chama cha wakulima na wafanyakazi wavuja jasho wa tanzania. you cant play with peoples hopes...
 
Umesahau ile habari iliyotoka kwenye gazeti la MwanaHalisi ikinukuu kwa ushahidi usio na shaka yoyote mawasiliano ya simu ya karibu kabisa na ya mara kwa mara kati ya Zitto na Rostam na toleo lingine kati ya Zitto na Mr. Peter Machunde (ambaye ni mshauri mkuu wa masuala ya fedha wa Mh. Nazir Karamagi!! So no wonder he is so quite!!!!

Pia kumbuka kwamba Indians (Rostam et al) they are very smart in playing their fishy games!!
 
Nimesoma kikatuni gazeti la Majira leo limenichekesha sana. Inaonekana Zitto akiwa ameshika bendera ya chadema akiwa amejifunika magazeti yaliyoandikwa sakata la dowans huku akiwa amelala fofofo. Kipanya akijiuliza, ingekuwa enzi zake TZ ingewaka moto kuhusu sakata la dowans. Nami najiuliza Zitto wamempa nini hadi amekuwa kama kondoo? Kijana alikuwa na political future nzuri amejiua maskini. Pole zake

sasa mkuu wewe na KP mlitaka aseme yeye kama nani na alishapokwa unaibu katibu mkuu chamani? bora anyamaze tu maana akizungumza itamletea taabu. Kuna maneno ya hekma yanasema "Jihadhari na ulimi wako,usiiponze shingo yako." labda ndio maana kakaa kimya....
 
mkuu kweli bange yako inakutuma utuelimishe..... kila mtu angevuta bange akatoa point namna hii... bange zingeuzwa supermarket
 
No,tusimsemee Zito,na tusimlazimishe kusema ipo siku atasema tu,tatizo tunataka kila jambo zito aseme hata kama jambo hilo limekaa vibaya ni lazima zito akae ajipange aweke maneno vizuri then akiibuka anibuka na jambo,kama
tumwache zito ajipange atasema tu

mapinduziiii daimaaaaaa:frusty:
 
sasa mkuu wewe na KP mlitaka aseme yeye kama nani na alishapokwa unaibu katibu mkuu chamani? bora anyamaze tu maana akizungumza itamletea taabu. Kuna maneno ya hekma yanasema "Jihadhari na ulimi wako,usiiponze shingo yako." labda ndio maana kakaa kimya....

Mohamed, najaribu kusoma post zako zote. Mara nyingi zina onyesha uelewa mkubwa lakini pia upotoshaji. Naamini huwa unafanya makusudi. Mfano, hoja ya dini. Michango mizuri ila unapomaliza you go to the extreme. Now, Zitto ni Naibu Katibu Mkuu wa CDM. Hajaondolewa katika nafasi hiyo. Wabunge wa CDM walionyesha kutokuwa na imani nae kama Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Bado hajanyang'anywa nafasi hiyo.

Nakubaliana nawe kwamba kinywa kisiponze shingo. Its a wise saying!
 
Nimesoma kikatuni gazeti la Majira leo limenichekesha sana. Inaonekana Zitto akiwa ameshika bendera ya chadema akiwa amejifunika magazeti yaliyoandikwa sakata la dowans huku akiwa amelala fofofo. Kipanya akijiuliza, ingekuwa enzi zake TZ ingewaka moto kuhusu sakata la dowans. Nami najiuliza Zitto wamempa nini hadi amekuwa kama kondoo? Kijana alikuwa na political future nzuri amejiua maskini. Pole zake

Mnapenda malumbano ya ki uchonganishi, nani kakwambia kuwa Zito kajimaliza, au ni maoni yako??!! Mimi namuona bado yuko bomba tu. Sasa hiyo nayo iwe hoja ya mjadala hapa!!?? Sioni hoja hapo.
 
Sasa ulitaka aseme nini jamani mbona mnamuonea? Yeye mbona msimamo wake unajulikana?
 
Nijuavyo mie ZITTO bado ni naibu katibu mkuu wa CHADEMA kama ni kutikiswa ni nafasi yake ya unaibu kiongozi wa upinzani bungeni ndiyo alitkiswa tu na hajaondolewa. mnayatoa wapi ya kuvuliwa unaibu katibu mkuu wa chama?
sasa mkuu wewe na KP mlitaka aseme yeye kama nani na alishapokwa unaibu katibu mkuu chamani? bora anyamaze tu maana akizungumza itamletea taabu. Kuna maneno ya hekma yanasema "Jihadhari na ulimi wako,usiiponze shingo yako." labda ndio maana kakaa kimya....
 
Hizo bange zimetoka wapi? Jibu hoja sio kuharibu mjadara.

[COLOR=red said:
ibange[/COLOR];1524487]Nimesoma kikatuni gazeti la Majira leo limenichekesha sana. Inaonekana Zitto akiwa ameshika bendera ya chadema akiwa amejifunika magazeti yaliyoandikwa sakata la dowans huku akiwa amelala fofofo. Kipanya akijiuliza, ingekuwa enzi zake TZ ingewaka moto kuhusu sakata la dowans. Nami najiuliza Zitto wamempa nini hadi amekuwa kama kondoo? Kijana alikuwa na political future nzuri amejiua maskini. Pole zake

angalia Id yake... simple and very straight... post yangu imemshukuru ibange kwa kutuelimisha na kibonzo alicho kiona kwenye gazeti... mkuu .....mbona unakuwa ngumu kuelewa... au umekuru........puka
 
Zitto hakujua kwamba "you can run but you can't hide!" Ndio matatizo ya kuwa ndumilakuwili. Ana kazi kweli kweli mpaka arushe heshima na uaminifu wake kwa watu wengi. THe man has goofed big time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom