Zitto, Mungu awe nawe

Zitto, Mungu awe nawe

sio siri,nilipomuona tu zito yupo pamoja na makamanda wengine moyo wangu ulilipuka kwa furaha na matumaini,ni imani yangu kuwa tupo wengi uliotukosha kwa uamuzi wako huo,kikweli mashaka juu yako yamepungua sana.na ninapenda siasa zako za sasa,goo gooo!!!hatutarajii yale ya nyuma yarudi tena.
 
Mi najiuliza uhusiano wa POAC, Gesi Mtwara na mabilioni ya Uswizi na tunachokiona hapa.
Siamini ktk sarakasi na lip-services.
Inawezekana kuna maslahi binafsi yameguswa au kudhurika ndio maana amebadilika hivi. Ila kama Zitto kweli atajirudi na kuacha ubinafsi na "controversies" zake then fine, he will then have my respect and support gradually.

Kama si Mungu, mambo aliyokuwa anayafanya huyu kijana yangeleta uharibifu mkubwa sana chamani.
NB: Ijulikane wazi alipoomba msamaha mwaka mpya nilimsamehe 100%, ila kumwamini bado. Lazima afanye kazi ku-win hiyo kitu.
 
Naona anaota Ulaji wa P.O.A.C teh teh teh,njaa mbaya sana
 
Wakuu naombeni mnionyeshe yule mbunge wa mipasho John Shibuda kwenye hii picha!

attachment.php
 
zitto is controversial and unpredictable,until then,i just keep my fingers crossed and breath held.
 
Zitto we are watching at you, CCM sio wema.
 
Last edited by a moderator:
Habari wakuu?
Mod usiunge na thread yoyote pls?

Jana nilipenda mambo haya kwa zito
1. Kuwa karibu sana na m/kiti na slaa (wakati m/kit anaongea) walipokuwepo jukwani kila mara

2. Ukaribu na wenzake kushambulia hoja yake kama lema, slaa n.k

3. Kumuhita Doctor ( RAIS ASIYE TANGAZWA)

4. Kukaa karibu na doctor kwa maandamano na picha ya mwisho jukwaani (ulikuwa ufanyi)

5. Kupokelewa na watu vizuri na kujieleza vizuri sanaaa kwa hoja

6. kutoa mawazo 2 yakumshungulikia spika

7......

USHAURI
~ Kuna watu wanaokuelewa nia zako vizuri na kuna watu wasiokujua wanakuona kama msaliti na msumbufu kwa chama na viongozi ( FUTA ILIKWA WATU WAKUPENDE WOTE)

~Kuna watu wanaamini vituko vingi vywa usumbufu kwa wanachama /viongozi wa CDM wewe ni muhusika wa uchokonoko huo...mfano. madiwani arusha, lema kes, wenje n.k ( FUTA NA ILI PIA)
~ uamuzi wa kugombea urais ni mkubwa sana, badilika sasa acha wengine wagombe jenga chama baada ya hapo utafata wewe...... ( 2015 pata kwanza uwaziri wa fedha then urais)

~ Mwisho kuna hoja ya panya, kutoelewana na slaa, masalia, PM7 NA MBAYA YA UCCM UKITUMIKA NAO.... jibu zote na kuwapa imani vijana zaidi na tembea na mungu/ SWM.... CCM wamechoka sanaa yani watu wapo ccm kimwili lakini kiroho wapo CDM, TAZAMA JANA NYOMI ILE KWA TMK NI NADRA SANA.... Kwani kule wamejaa uccm/ucuf.

~ Na zaidi tafuta mwenza ( shemeji) umri unakwenda na sometime watu hawa usaidia sanaaa kumaliza mambo fulani na kukufanya utimize ndoto zako vizuri.


NAKUTAKIA MAISHA MPYA NDANI YA CHAMA MAZURI ZAIDI, JANA NIMEPENDA SANA ULIVYOJIRUDI.
 
Wana CDM msisikilize majungu ya wana CCM,tupambane kampeni kila mahali ulipo sokoni,shuleni,hospital,kwenye daladala ,makazini popote tupige kampeni kifua mbele kuonyesha mapungufu ya CCM yaliyo wazi
 
Pamoja na mtoa mada amemporomoshea sifa lukuki prezzo bado si mtu wa kuaminika. Mi najua prezzo alipo pigwa ngwara na madam supika kwenye kamati ya Poac ameona magamba si wenzake na anachokifanya saa hizi ni kumaliza hasira zake kwa kutemwa poac. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa amerudi kundini. Huyu bado ni cheki bobu tu. Bado anatumika na magamba.

Labla tujiulize kwann Zitto?ukweli ZZK kabla ya haya yaliotokea miaka ya hivi karibun na kuanza kumshushia iman kwa baadhi ya wanachama/wapenz(mimi mmoja wa wapenzi) alikua ndie mwanasiasa kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuvuta hisia za wananchi pindi anapoongea kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja na kuzitetea huku akijiamini. Wengi tulivutiwa nae na kuanza kufuatilia siasa. Niaminivyo mimi, wadau wa siasa wenye nia mbaya na nchi na CDM wakaanza kujenga mazingira ya yeye kugombana na viongoz wenzake kwa kutumia weaknesses walizonazo. Sasa majungu fitna na taarifa mbalimbali tulizoanza kuzipata(zingine naamin zitakua kweli japo si lazima iwe kwa kiwango kilichosemwa) zikaanza kutufanya watu kama mimi kupoteza imani nae.
Nachoomba,kama kweli ameamua kwa dhati, basi watanzania tumpe nafasi ingine kwan kwa wengi wenye umri kama alioingia nao kwe siasa na kupata jina alilopata ni vigumu sana kuhandle changamoto zake na kuteleza ni rahisi sana.
Nawaomba wadau wote kwasasa tue na positive perception towards his action na apewe support. Amepata nafasi ya kujifunza na sasa amekomaa zaidi.
 
Zitto Z. Kabwe nakupongeza kama kweli umeamua kwa dhati kujrudi tena na kuungana na wapambanaji. Mungu akujalie maisha marefu afya njema na mafanikio katika harakat za ukombozi.

Watasema mengi kuhusu wewe na uamuz huu, kuhusu CDM, but kurudisha majeshi ni mwiba wenye sumu sana kwao.

Kuanzia sasa nakuendelea epuka kupambana na matatizo kwa namna yoyote ile detrimental to the party.

Kama kuna kidudumtu kinaleta kwere then u er smart u ll figure out namna ya kudeal nacho lakin sio ile ya awali kwa maslai ya Taifa. Ile njia ya awali (kama nikweli tuliosikia) Ilikua kwa maslai ya CCM na ndio mana binafsi nilipoteza imani nawe.

Kwasasa hakuna kulegeza mpaka kieleweke.

T2015CDM
Kiujumla nilifarijika sana jana alivyoungana na wenzake tofauti na anavyowakacha,,ngoja tusubiri kama huu utakuwa mwanzo mzuri kwake.
 
Big up zito kabwe,kazi sasa ndo inaanza mpaka kieleweke,mungu bariki tanzania,mungu bariki chadema
 
kiukweli kama zitto umeamua kwa dhati kurudi kwenye uharakati wa ki-chadema basi namba ya wafuasi wako itaongezeka!ukiasi chadema jua wazi tuna uwezo wa kukuporomosha kisiasa!

ndugu you are very naive , you need to learn the ways of politicians, zzk is too smart for any of cdm politicians, na hawamwezi hata chembe, na wala hahitaji wapiga domo hapa jukwani. He knows where he is heading and what he wants. What you are seeing here is consolidating power. Slaa,mbowe na zzk wote are buying time, when the time comes utaona watakavyo kwaruzana makucha kama paka, hakuna hata mmoja mkweli hapo, very unfortunately in both cdm n ccm there is leadership problems, wapenda uraisi ni wengi. God bless tz.
 
Nimesema mimi lakin naamini kuna wengi wana ujumbe kama huu.
Mimi ni mmoja wapo. Naungana nawe kumponggeza. U-turn aliyopiga kurudi zizini si mchezo. Yawezekana uamuzi huu unaombatana na vitendo ndiyo umekoleza hasira ya rafiki yake kuagiza kuvunja Kamati ya POAC. Si mnakumbuka jinsi Zitto alivyomba msaada kwa Mkulu wakati wa kugombea na Mkulu kuwaagiza ccm kupitia Pinda wahakikishe anapita?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom