Zitto, Mungu awe nawe

Zitto, Mungu awe nawe

watanzania bana mtu anakaa chini< anajiaminisha eti zito alisaliti chama au alikengeuka......

anaanzisha thread kama vile kumpongeza zito, ili hali analazimisha lililokuwa halipo lionekane kuwa kama vile kweli

anapata support ya watu wa aina hiyo

hivi zito angekuwa fisadi au muasi POAC ingevunjwa?.....semeni jaman
mtu anafikia hatua ya kutaka Pinda aondolewe madarakani angekuwa mchafu ange survive? mashirika mangapi ameyasema zito? fedha za uswis ziko wapi? vipi kuhusu gesi na mafuta???

uzalendo na nguvu ya zito imeminywa na watu wa aina hii ya walioanzisha thread, kesho itakuwa zamu ya mnyika, slaa...ndio ilianza kwa mrema, warid kaburu....etc ambao walikuwa moto ILA jamii dhaifu na iliyodumaa ya kitanzania ikavishwa vazi la uongo...Zito amechoka, ckumpata wa aina yek ni ngumu, hesabu maumivu kama unaipenda Tanzania

ameizushiwa mengi, ni msomi tajiri kwa nn asipumzike na kufaidi maisha yake, huku watanzania wa aina yako wakipiga kelele za ukombozi ili hali hawajui gharama za ukombozi ni pamoja na kudanganywa? CCM wamefanikiwa ...oan asasa wamekupata wewe

aibu
 
Kuna NZI wangu mwenye mabawa makubwa sana amenidokeza kwamba , Kwa Zitto kurudi kwenye Msitari ndani ya CDM hasa ndiyo kulikosababisha ang'olewe POAC , na hiyo POAC kuchinjiwa Baharini , Ukombozi ni kazi ngumu sana ! Kumbuka kwamba Zitto alipiga M4C Kasulu , at the same time Magamba walikuwa wanaadhimisha miaka kadhaa tangu waanze kula Bata .
 
Back
Top Bottom