Zitto muangukie Diamond akupromoti

Lingine lililomuaibisha ni kubadilishana jimbo na yule tapeli mwingine Serukamba

Pamoja na wananchi wa Kigoma kaskazini kutokuwa na uelewa lakini angepigwa chini kisa kuwa mtu wa potojo sasa

Amepuuzwa
Niwakati sasa wana kigoma tumshawishi zzk amuangukie Diamond ili ampige kampani ili amrudishe kwenye ubora ulio potezwa na wana lumumba kwa tamaa ya fweedhaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…