Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Kuna kijana fulani alituambia kuwa tusiwe na hofu msanii hatapatikana jumapili, sisi tukamsikiliza na kweli msanii hakapatikana.

Kwahiyo serikali yote haiweze kushutumiwa ni mtumishi mmoja mwenye go ahead kwa mtumishi mkubwa
 


Inabidi umuelewe Zitto.....huyu dogo anapenda sana kujitafutia ujiko ili akubalike au watu wamuongelee. Alififia sana masikioni mwetu mpaka wengine tukahisi kajiua ama kajiteka. Ghafla bin vuu akaanzisha dude kwa kutembea na mke wa marehemu rafiki yake Filikunjombe na kuandikwa magazetini huku yeye akichekelea kuwa kafufuka kisiasa. Wewe jiulize, Zitto ana umuhimu gani hapa nchini mpaka atekwe, huko jimboni kwake tu hakuna cha maana alichokifanya zaidi ya kugawia wananchi wake dagaa waliojaa mchanga. Yeye anachokifanya ni kutengeneza sinema ili aonekane ni wa maana hapa nchini kisha aonewe huruma na wananchi wakati he's a nobody, just a damn ass mbunge asiye na mafanikio jimboni kwake.
 
Upuuzi mtupu. Huo uchawi wake utusaidie kutuonyesha Mo alipo.
 
Hili shairi linamaana gani aisee jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…