Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,214
kwani uliomba huyu mke wa ndeo akakunyima, maana mambo ya watu wawili ambae wako zaidi ya 18yrs inatoka wapi,kaa ni wapezi inakuhusu niniKijana Zitto anapenda kujikweza sana, usikute hakun hata anayemtishia ila anataka tu watu waache kumzungumzia yeye na mke wa Deo. Sawa tumekupata kijana Zitto, we chapa tu mke wa marehemu rafikiyo.
Wengi washapata mifano mkuu bado nasubiri moto wake MUSIBA , Wapi Mchinga Sound Wapi Mudhihir Mudhir? Dawa ya watu wasiojulikana ni kuwaangamiza kijadi tu believe me inafanya kazi vizuri,kama hauna kosa wameteka ndugu yako wewe ni kuwaendea kwa wataalumu tu na kuwaangamiza hakuna namna.
Zitto alikuwa anaondoka kwenye ajali lakini mizimu ilimuokoa akafa waziri.
kwani kavuja sheria gani kuchukua mke wa marehemuKijana Zitto anapenda kujikweza sana, usikute hakun hata anayemtishia ila anataka tu watu waache kumzungumzia yeye na mke wa Deo. Sawa tumekupata kijana Zitto, we chapa tu mke wa marehemu rafikiyo.
Nani kasema uchawi hakuna??nenda ngende,,,pande....kilosa afu ulete mrehesho hapa....hapo cjagusa kigoma bobJamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..
Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
DuuuhSio gogo ..watajikuta mabaunsa kama ni wanne ama wangap wameshika kondom au kama ni gogo hawaliachii *****
Huamini kama zito anaweza hayo mambo shinyanga ilikuwaje wakati wa kampeni za udiwani zito aliondokaje mkutanoni.Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..
Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Kuna mbunge wa CCM kule mchinga, Mundhir Mundhir, alitoa hoja Zitto Kabwe afungiwe bungeni mwaka 2007. Haikupita miezi alipata ajali akakatika mkono.HAAAAAAAAAAAAAAA uiuuuuuuuuuuuuuuuuu iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe noma sana kama babu yako alexander the great,ati awape match, ya nyumbani tu,nakwambia hao watu wasiojulikana hawawezi kamwe kumugusa zitto, yaonekana huyu zitto amejiandaa kweli kweli
Zitto huwa namkubali sana natamani sana amtolee pimbi mmoja mfano....
Jamaa aliondoka kwa bodaboda kupitia mlango wa nyuma..zito ni genius anatumia akili yake kuwapoteza wasiojielewa kama "wasiojulikana"Huamini kama zito anaweza hayo mambo shinyanga ilikuwaje wakati wa kampeni za udiwani zito aliondokaje mkutanoni.
Angepiga kombola kule ghamboshi ingekuwa poa sanaKuna nyepesi kuwa Musiba kapoteza kiungo fulani muhimu sana!
Mimi ni wa kigoma born and raised lakini sijawahi kuona kitu kama hicho... uchawi ungekuwepo si tungeutumia kumpata MO na Ben saa8.Nani kasema uchawi hakuna??nenda ngende,,,pande....kilosa afu ulete mrehesho hapa....hapo cjagusa kigoma bob
Kwani Zitto ndie mshirikina pekee Tanzania ? Na ndiye mwanzilishi wa ushirikina Tanzania hadi aogopwe?hapo pagumu mkuu kuna watu hawagusiki
ushirikina upo ila ni imani yako tu
unapolalia wewe kama ni ulokole au uko kingine anapokusema Zitto
Ingawa zitto anawatisha pia ila inaonyesha jamaa amejipanga kitambo sana.
Kama Kigoma uchawi upo Zitto angekuwa RaisiMimi ni wa kigoma born and raised lakini sijawahi kuona kitu kama hicho... uchawi ungekuwepo si tungeutumia kumpata MO na Ben saa8.
Au uchawi hautumiki kufanya vitu vya maana
Zitto charge za kisiasa zimeisha baada ya mama yake kufa hana mvutoYule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
Hahahahaaaaaaaa!Inaonekana wasiojulikana wameanza kumtisha Zitto