Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Kuwa na imani ya uchawi ni HARAMU kwa waislamu, anayefanya uchawi inabidi waislamu wasishirikiane naye, wala wasile nae chakula.Huyo ndio Kabwe Zuberi Zitto mutu ya Kigoma! Yuko wazi, kama hamuamini jaribuni
Kuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!
Sisi wananchi tunaweza kuona mbona hivi siku tukijua ukweli wa hili jambo tutabaki midomo wazi mengine hutokea kwa masilahi ya nchi.
Zitto yeye anajua hii ni awamu ka ya Jakaya maana yeye aliwachekea awamu hii na sheria zilizo sio wakuwatisha eti wataona bwawa.
Na tujiulize pia.. hivi bado anapiga kelele hadi sasa..???
Kama Zitto anao huo uchawi acha awaroge nyie ccm! Polisi, mahakama na majeshi yote mmejimilikisha! Zitto wakikujaribu fanya kweli! Kuua na kufunga watu kwenye viroba pia ni haramu ...... .Kuwa na imani ya uchawi ni HARAMU kwa waislamu, anayefanya uchawi inabidi waislamu wasishirikiane naye, wala wasile nae chakula.
Uchawi pia kwenye ukristo umeharamishwa, na haukubaliki.
Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Anamuongezea dozi ya mvutoAlikuwa ana mu recharge kivipi mkuu?
tukijua ukweli wa hili jambo tutabaki midomo wazi mengine hutokea kwa masilahi ya nchi.
Usnikunbushe tafadhali hasara nlio ingia maana mpak historia ya marehem nliandaa na kuchapisha kajarida kwa ajili ya kuuza SKU ya mazishi ,,kufa kufaanaZitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Maajabu Zitto akawa mtu wa kwanza kufika kwenye lile eneo la ajali ,waliotaka kumuondoa wakastaajabu ,Zitto kweli kaaga kwaoWengi washapata mifano mkuu bado nasubiri moto wake MUSIBA , Wapi Mchinga Sound Wapi Mudhihir Mudhir? Dawa ya watu wasiojulikana ni kuwaangamiza kijadi tu believe me inafanya kazi vizuri,kama hauna kosa wameteka ndugu yako wewe ni kuwaendea kwa wataalumu tu na kuwaangamiza hakuna namna.
Zitto alikuwa anaondoka kwenye ajali lakini mizimu ilimuokoa akafa waziri.
Ndugu imani ni kinga kubwa sana, ni mjinga tuu anayerogeka.Kama Zitto anao huo uchawi acha awaroge nyie ccm! Polisi, mahakama na majeshi yote mmejimilikisha! Zitto wakikujaribu fanya kweli! Kuua na kufunga watu kwenye viroba pia ni haramu ...... .
Nn iyo zipu au?Kuna nyepesi nyepesi kuwa Musiba ile kitu ya kwenye kaptura haionekani!