Ila ZZK anashangaza sana. Kauli zake ndizo zinasababisha watz wamuone kiwa sio mpinzani wa kweli. Anajifanya ya madhila yanayowapata wapinzani hayamhusu? Dhulma wanayotendewa wapinzani yy haguswi nayo? Mungu anamuona ujuwe
Serikali za mitaa hatukususia nambona wamebeba?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Unasusaje uchaguzi ikiwa wewe ni chama cha siasa makini?Shida inaanzia vichwani mwa viongozi waoKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Sasa yatamhusu vipinwakati yeye sio sehemu ya wapinzani.Ila ZZK anashangaza sana. Kauli zake ndizo zinasababisha watz wamuone kiwa sio mpinzani wa kweli. Anajifanya ya madhila yanayowapata wapinzani hayamhusu? Dhulma wanayotendewa wapinzani yy haguswi nayo? Mungu anamuona ujuwe
Tushamjua hatusumbuiSiku Zitto akistaafu siasa ndipo upinzani utaheshimika Tanzania.
Uchaguzi gani? Tanzania kuna Uchaguzi? ccm wameshabaka kunajisi Uchaguzi Bandia wa maigizo , ukienda kupiga kura hata wote mkampigia kura Zito mshindi anatangazwa wa ccm, hakuna haja ya kufanya Uchaguzi kupoteza pesa bure, bora ccm wajitangazie Ufalume watawale kwa njia haramu za kishetaniKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Zito na ibirisi wa ccm lao ni mojaKumbe Zitto Bado yupo kwenye ulingo wa siasa?
Hakuna uchaguzi hapo ni maigizo matupu wanapoteza bure pesa za walipa kodiUkipiga wanachikua wanaweka waaa...
Hoja za KITOTO na kitapeli hizo.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali.
Ameyasema hayo leo Julai 15 wilayani Namtumbo Mkoa wa Ruvuma alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara.
Mkuu utabadilisha nini ukienda ukipata kwa mbinde jimbo wewe pekee yako ndani ya bunge lenye asilimia 99.9 ya wabunge wa CCM???kwani hata usiposusa unafikiri watakuachia jimbo?
upopoma ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti
I rest my case
🙋✍️🤝🙏Mbona wasusaji wanaendelea na mambo yao tu?Iweje anayeshiriki ahangaike nao?Anatakiwa awaambie wanaomsikiliza nini ni sera zao,basi.Kwani huo ni mkutano kuhusu kususa?
Mkuu Zito ni mmoja wao ndani na nje! Kijana wa chumbani, yupo kazini kutekeleza wajibu wake!Zitto ni mzito sana. Hivi hajui kuwa hata ukishiriki uchaguzi kwa katiba hii ccm wanachukua tu?
Hapana Mkuu, shida inaanza na mwenye Administer.Unasusaje uchaguzi ikiwa wewe ni chama cha siasa makini?Shida inaanzia vichwani mwa viongozi wao