hapo kwenye red, kama ndio hoja zinazowafanya waanzishe chama chao basi wana uzee wa fikra hata kama wao ni vijana wa umri, ila kama ni mtazamo wako, basi uwezo wako wa uchambuzi umekukwamisha
Mkuu Kimbunga, maisha ninayoishi mm kapuku huku kijenge juu! huwezi linganisha na maisha ya suti wnayoishi wabunge kama akina zitto kabwe! hata kama wote tunalipwa laki saba!Mkuu najua kuwa Watanzania wengi wanapata take home chini ya hiyo na wanaishi. Kama nisemayo ni sawa basi ina maana Watanzania wanaopata take home chini ya 700,000.00 wote ni mafisadi? Mkuu kwa maana nyingine Taifa la Watanzania limejaa mafisadi?
mgheni amani;
unachohitaji kusaidiwa wewe ni kufundishwa ama kujuzwa mambo haya elimu ya siasa, elimu ya uraia, na ya utaifa; na ufundishwe vile vile tofauti zilizopo kati ya siasa za jukwaani, siasa ndani ya bunge na siasa nje ya bunge, na ujue mahusiano ama ushirikiano wa watu binafsi dhidi ya vyama ama itikadi zao. Kuna wakati mnaenda beyond limit sasa halafu mnalaumu tuuuuu.......... Alisema malcom x "i know the essence of brotherhood and i know what it feels like fighting for the right of your people but i'll stand and fight for those who recognise my efforts and those who appreciates it and here i need not applying the sense of brotherhood but the sense of togetherness" sasa kama wengine hawatambui ama wanadharau juhudi zake ana haki naye ya kushirikiana na wale wanaoheshimu juhudi zake hasa katika kutimiza yale yawapasayo katika taifa hilli....
Mkuu kwenye itikadi hapo; Zitto na January wana itikadi moja in common: Wote wanapinga posho za vikao ila hao makamanda wengine unaosema hawana nia thabiti ya kuzipinga posho.
Siasa siyo uadui ni mchezo wa kunadi sera zako na jinsi utakavyozitekeleza kwa wananchi baada ya siasa,ujamaa na undugu ruksa bila shaka.Jamani wadau mimi ninawasiwasi sana na ukaribu na utendaji kazi wa Zito Kabwe yaana urafiki aliokuwa nao na wanamagamba unatia wasiwasi suala moja lakujiuliza kwanini asishirikiane na watu
kamaMnyika,lema,msigwa,kasulumbayi,mbilinyi na makamanda wengine huu ukaribu wake na wakina January na kigwangala hatusemi wawe maadui ila tu kisiasa ukifanyakazi na watu mnaotofautiana itikadi hasa ikiwa wapo wenzako ambao mnaitikadi sawa wengi tu unaoweza kufanyanao kazi inatia sana mashaka lakini pia kuna dalili ya agenda ya chinichini kuunganisha nguvu hii ni kwa maslahi ya naani? NAWEKA WAZI MASHAKA YANGU ILI KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI JUU YA HILI
Jamani wadau mimi ninawasiwasi sana na ukaribu na utendaji kazi wa Zito Kabwe yaana urafiki aliokuwa nao na wanamagamba unatia wasiwasi suala moja lakujiuliza kwanini asishirikiane na watu
kamaMnyika,lema,msigwa,kasulumbayi,mbilinyi na makamanda wengine huu ukaribu wake na wakina January na kigwangala hatusemi wawe maadui ila tu kisiasa ukifanyakazi na watu mnaotofautiana itikadi hasa ikiwa wapo wenzako ambao mnaitikadi sawa wengi tu unaoweza kufanyanao kazi inatia sana mashaka lakini pia kuna dalili ya agenda ya chinichini kuunganisha nguvu hii ni kwa maslahi ya naani? NAWEKA WAZI MASHAKA YANGU ILI KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI JUU YA HILI
fundi wao ni mmoja , so kuvaa sare sare ni kawaidaJamani wadau mimi ninawasiwasi sana na ukaribu na utendaji kazi wa Zito Kabwe yaana urafiki aliokuwa nao na wanamagamba unatia wasiwasi suala moja lakujiuliza kwanini asishirikiane na watu
kamaMnyika,lema,msigwa,kasulumbayi,mbilinyi na makamanda wengine huu ukaribu wake na wakina January na kigwangala hatusemi wawe maadui ila tu kisiasa ukifanyakazi na watu mnaotofautiana itikadi hasa ikiwa wapo wenzako ambao mnaitikadi sawa wengi tu unaoweza kufanyanao kazi inatia sana mashaka lakini pia kuna dalili ya agenda ya chinichini kuunganisha nguvu hii ni kwa maslahi ya naani? NAWEKA WAZI MASHAKA YANGU ILI KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI JUU YA HILI
Tanzania kuna tatizo kubwa sana la kasumba ya baadhi ya vijana tena waliozaliwa na kukulia katika mfumo wa siasa shindani kuwa na ushabiki wa kipuuzi baadala ya kuwa vijana wanaohoji,kusikiliza,kufikiri na kudadisi.
Mtu anafanya umbea wa nani ni rafiki yake nani.nani ni adui yake nani.Kwa kuwa na vijana kama huyu hakuwezi kulisaidia taifa zaidi ya kuwa ni mzigo na aibu.
Ndo maana hata baada ya Uhuru ,pamoja na kwamba Nyerere alijua kwamba waafrika walikuwa katika daraja la tatu katika upataji wa huduma,huku wahindi wakiwa daraja la pili,wazungu la kwanza.Kilichoangaliwa katika uundwaji wa Serikali ni uwezo,uzalendo na uadilifu na siyo uafrika.
Tambua tunatambulishwa na Utanzania wetu na siyo Uchadema wetu au Uccm wako.Chama ni jukwaa tuu la kisiasa,kiitikadi ambayo ni imani juu ya vitu.
Hata unavyotumwa na baadhi ya watu wanaofikiri kama wewe tumia akili yako siyo yao,kwasababu hujii kwanini umetumwa.
Nakerwa na vijana wanapokuwa washabiki wa ujing.
To me this might be a Psychological phenomena and God is in witness for the time like this.