Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Ni sahihi kabisa ki-protokol kwa Mnyika kuwasiliana na public. Lakini si sahihi kwa zitto kupata majibu kwa kumtumia Mnyika. Kwa kuwa Zitto amemuandikia Slaa; basi ki-protokol Slaa alitakiwa amjibu Zitto kimaandishi kabla ya Mnyika kuruhusiwa kuwasiliana na umma (public).

Ni Kwa Protocal Ipi Mkuu? Halikuitajika Tamko La Slaa Bali Tamko La Chama, Na Mwenye Jukumu La Kufanya Hivyo Ni Mnyika.. Kwa Mtazamo Wangu Zito Aliihitaji Kujipima Ubavu Na Slaa, Najiuliza Kwa Nini Amuandikie Barua Slaa Na Sio Chama?
 
Thank You Mchange,

KUKU NI KUKU TUH,JOGOO JINA,

HAPA KUKU NI DR SLAA,

Na itoshe sasa tumuambie ya kwamba yeye na hao vifaranga anaowafuga wameshatambulika na kudharaulika na watanzania wote,na kwa sasa wasubiri tuh kuwa MUDA tuh NDIO UTAKAOWAHUKUM...

NI KWELI NAKUBALIANA NAWEWE KWAMBA HADI HAPA MSHINDI AMESHAFAHAMIKA
 
kwa hiyo unataka CDM ifanye kama inavyofanya CCM?.

Si ndivyo mnavyotaka?Nilikuwa namjibu mchangiaji mmoja(niliyemquote )aliyekuwa anauliza eti kwa nini Mwenyekiti wa CDM au Katibu hawajatoa ufafanuzi au msimamo wa chama kuhusu hizi tuhuma za mheshimiwa Zito!
 
Akili yako inawaza pafupi tu?. ndio maana mnaandika uwongo uwongo kwa kupenda vifupi?. mbona ile ripoti yenu ndefu sana?

Hivi Mchange wewe ni Mwanachama wa Chama gani at the moment???
Kumbukumbu zinaonesha kua CHADEMA walishakuchinjia Baharini Tayari.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana ninawapa pole MBOWE na vijakazi wake wanaotunga uwongo wa namna hii bila hata kujifikiria mara mbili mbili.

Uchaguzi mkuu wa ndani ya chama unawatia homa kundi la Mbowe na wagaza wenzake, uchaguzi huo unawafanya waweweseke kutwa kucha, mchana usiku.

Naomba nihitimishe kwa kusema, ni kweli kwamba uwongo unapanda ghorofa kwa kutumia klifti, lakini hauwezi kubadilisha ukweli wa mambo daima dumu. uwongo utabaki kuwa uwongo tu na utaendelea kupuuzwa milele na milele.

Ndimi,
Habibu mchange
0762178678
mchangehabibu@yahoo.com
Sasa majibu haya ni kwa upande wako au Zito? yaani unamsemea yeye au wewe? kwa sababu Zito ni kiongozi tena mkubwa kabisa wa tatu kutoka juu ukianzia na Mbowe, Slaa halafu Zito. kama wote wanasemwa na yote yasemwayo hayajathibitishwa jambo la muhimu ungesema kwa sasa CDM haina viongozi wakuu jambo ambalo kimantiki si kweli. kwa sababu umemtetea Zito dhidi ya wengine. kwa maana hiyo kila mtu aje humu amtetee wa kwake. nadhani huu ni mwendelezo wa kubomoa. wengi wamejikuta katika mtego huu. LAKINI ZITO HAJAWALALAMIKIA HAO WAKUUWENZAKE HADHARANI! maana yake ni kuwa anaamini watakaa wote na kuyazungumza. watakapopatana sura yako utaiweka wapi?
 
Kwa nini Lumumba wanatumia nguvu nyingi na muda mwingi kumpigania Zitto kuliko Katibu mkuu wa CCM na meli yake au Lowasa na gamba lake??
 
Kwa makala hii unataka kusema walioandika dhidi ya Zito walitumwa na kina Mbowe; sasa ina maana wewe unaeandika dhidi ya kina mbowe umetumwa na ZITO. kwa maana hiyo kumbe CDM haijawahi kuwa na viongozi madhubuti bali ni viongozi wa namna mbili wale wanaozusha jambo na wale wanaotumwa kupeleka uzushi ikiwa ni pamoja na wewe! kama ni hivo ina maana Slaa, Mbowe na Zito ndo wenye akili zaidi na waliobaki kazi yao ni kusambaza uzushi ili hao waliowatuma waendelee kudumu?
 
Theo Mutahaba amjibu Zitto

Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha.

Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.

· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na kumdhoofisha Dr. Slaa

· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili CHADEMA isiibane sana serikali.

· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi na ushahuidi tunao

· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.

· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?

· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa

· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?

Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.

Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?

Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha kuwadanganya watanzania na kiini macho cha Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza sio CHADEMA.

Ule waraka unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa Andrea, take care of your son. Get out of these Zitto corrupt acts. you know quite well that we wired you money and we have the evidence. Why would you waste your effort making noises? do you know the German government is investigating this matter? why would you fall for Zitto childish internet games of writing emails to the Chadema

leaders. So for your information, the document came from CCM and Tanzania Intelligence
Services Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu Chadema.

Hapo sasa....????? Tutasikia mengi.

Ngoja nikapate kikombe cha kahawa ndio nirudi kuisoma kinaga ubaga.
 
Mchange, kwa vile unamuidolize Zitto kisiasa, kwanini basi hauigi akili zake? Kwa yote uliyoyasema umesahau jambo moja; siasa siyo nyumba kwamba mmoja ni mjenzi, mwingine mpangaji. Siasa na vyama vya siasa ni process, zinabadilika na zinabadilishwa kwa mchango wa watu wengi sana. Bila kujali umeanza lini au umeingia lini, wenye mafanikio kwenye siasa kwao historia ni vehicle ya kujifunza ili wasonge mbele kwa mafanikio kwa kutumia akili nyingi.

Umeshindwa kujua kuwa siasa hubadilika kama nyakati zinavobadilika umebakia kulilia historia za vyama. Zitto ameanza siasa miaka ya 2000, utawasemaje akina Mbowe walioanza na Chadema miaka ya 1990? Kwa akili zako zilivo fupi, unataka kuenzi historia ya Zitto bila kujua akina Mbowe walishasacrifice hadi ubunge ili wakagombee urais wanaojua watashindwa ali kusudi chama kipate nguvu?

Sasa kama Zitto ni mjenzi wa nyumba, Mbowe atakuwa nani? Wewe akili ni ndogo, siasa si nyumba. Lema kaingia juzi kwenye Chadema lakini mchango wake unaweza ukawa na impact kuliko yule wa miaka kumi au ishirini kwenye chama. Na yule wa siku nyingi akifanya blunder ya kuharibu chama historia haiwezi kumsaidia. It is the survival of fittest, political selection, stupid.

Unaweza ukaona kama umeandika jambo la maana kumbe umeandika upuuzi mtupu,

1.Unasema hawezi kufanana na mbowe alieanza siasa na chadema miaka ya 1990,na yeye zitto alienza mwaka 2000,tuambie hiyo miaka ya 1990 nani alikua anaipa kipaombele chadema ukifananisha na miaka hiii ya 2000 baada ya kuingia watu kama zitto na wengineo??unasahau kwamba 1990 siasa za nchi hii hazikuwa za vyama vingi??

2.Unasema mbowe ni mjenz halisi wa nyumba kwani alifikia hatua ya kusacrifice ubunge mwaka huo na kugombea urais hku akijua kuwa hatapata una maana gani sasa??kwan alikua anagombea ubunge kwa maslahi ya tumbo lake kumbe??na sio kwa maslahi ya wananchi??na kama alikuwa anagombea urais na huku akijua fika kuwa hawez kupata kwanin sasa akaharibu pesa na kutia hasara pesa ya ruzuku??kwanin asingewaunga wapinzan wenzake tuh na kuunganisha nguvu kwa pamoja badala ya kujaribu kitu ambacho ana uhakika hawez kukipata??

Akili au matope
 
bora ungelala tu,wewe si mchangiaji wewe ni mbwatukaji
 
Sasa majibu haya ni kwa upande wako au Zito? yaani unamsemea yeye au wewe? kwa sababu Zito ni kiongozi tena mkubwa kabisa wa tatu kutoka juu ukianzia na Mbowe, Slaa halafu Zito. kama wote wanasemwa na yote yasemwayo hayajathibitishwa jambo la muhimu ungesema kwa sasa CDM haina viongozi wakuu jambo ambalo kimantiki si kweli. kwa sababu umemtetea Zito dhidi ya wengine. kwa maana hiyo kila mtu aje humu amtetee wa kwake. nadhani huu ni mwendelezo wa kubomoa. wengi wamejikuta katika mtego huu. LAKINI ZITO HAJAWALALAMIKIA HAO WAKUUWENZAKE HADHARANI! maana yake ni kuwa anaamini watakaa wote na kuyazungumza. watakapopatana sura yako utaiweka wapi?

ulishawahi kumuona mbowe akijisemea humu?. mbona kutwa anashinda JF lakini hajisemei?.
 
Thank You Mchange,

KUKU NI KUKU TUH,JOGOO JINA,

HAPA KUKU NI DR SLAA,

Na itoshe sasa tumuambie ya kwamba yeye na hao vifaranga anaowafuga wameshatambulika na kudharaulika na watanzania wote,na kwa sasa wasubiri tuh kuwa MUDA tuh NDIO UTAKAOWAHUKUM...

NI KWELI NAKUBALIANA NAWEWE KWAMBA HADI HAPA MSHINDI AMESHAFAHAMIKA

umenena vyema mkuu
 
Ni Kwa Protocal Ipi Mkuu? Halikuitajika Tamko La Slaa Bali Tamko La Chama, Na Mwenye Jukumu La Kufanya Hivyo Ni Mnyika.. Kwa Mtazamo Wangu Zito Aliihitaji Kujipima Ubavu Na Slaa, Najiuliza Kwa Nini Amuandikie Barua Slaa Na Sio Chama?

haujielewi wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom