Last edited by a moderator:
Jibu hoja acha kutoa povu ukweli unauma jamaa kamwaga ukweli mtupu ni lini mpangaji lema akawa na uchungu na nyumba isiyo yake
Hamna ukweli hapo,ni upuuzi mtupu. Huwezi furahia chakula kitamu kwenye sahani yenye harufu ya kinyesi.Mchange hata uongee ukweli hatutaupokea,unanuka kinyesi na wafuasi wenzio.Umeonyesha ushabiki wa kitoto kwenye hoja nyeti,huwezi kutuaminisha eti zitto ni bora kuliko mbowe,wakati zitto katengenezwa na mbowe.Mabega hayawezi shinda kichwa.
Mkuu umenena. Chuki za kikabila na kidini ni mbaya kiasi kwamba huweza kumfanya mtu atembee na sumu mfukoni akimuwinda kiongozi wake kisiasa.
Acha vitisho
Mnaandika tamko refu la kutaja majina ya watu.Hesabu idadi ya jina "Lema" kwenye hilo tamko.Utaweza kugundua kiwango cha hasira na upeo mdogo wa mwandishi.Hayuko sawa kisaikolojia
Mkuu umesahau kuwa unaweza kujenga nyumbani ukaitelekeza mpangaji akawa anaifanya usafi na akawa na uchungu nayo sababu yeye ndo anaishi humo, Tuthibitishie kuwa ulikuwa hupewi 150000 na Zitto.
Hii inaweza ikawa post yangu ya mwisho kwako, pengine utaelewa.
Hakuna anayedhani kwamba Mnyika au mwanaChadema yupo neutral bila upendeleo wowote. Na hilo siyo lengo langu na wala halipo katika asili ya binadamu. So, once more, inategemea na namna unavyopresent kutofautiana huko publically na pia nafasi yako kuproject hizo tofauti.
Huwezi kuona katika maandishi ya Mnyika akimpuuza Zitto kijinga kijinga kama wewe ulivyofanya kwa viongozi wako. Na hata kama Mnyika ikitokea ukahisi amefanya hivo, ana moral authority ya kufanya hayo. Anaweza kusimama akatetea mawazo yake kwamba "mimi ni Mbunge na kiongozi ndani ya chama, na nadhani fulani hauendi sawa".
Ona tofauti na wewe: "LEMA anapita tu njia CHADEMA kwa kuwa yeye ni msaka tonge tu kama wasaka tonge wengine"
Sasa, mwisho, ukiachilia mbali kwamba namna yako ya kuproject tofauti na waliokuwa wenzio haionyeshi humility kama mwanasiasa mchanga mwenye mwono wa kufika mbali kwenye chama, pia huna moral authority ya kumsema hivyo Lema. Na usidhani kwamba public itakupokea vizuri hata kama Lema amekosea (btw, ni mwanadamu). Na Mnyika wakati akiwa mchanga kwa level zako kisiasa, it would have been unthinkable for him to say such autrociously suicidal statements.
CHADEMA hakuna kama Zitto,
wengi elimu zao ni za kuungaunga tu. ndio maana 2010 walikosa mgombea mwenza wa urais kutoka znz, wakamweka jamaa mmoja aliyeishia darasa la saba!
- Mbowe, ni form four failure
- Lema ni form two failure
- Sugu ni form four failure
- Dr Babu ana certificate ya theology.
It does not cost much to test your IQ level! What do you mean by such stupid arguments? Kwani mama mzazi wako ingawa hakwenda shule mbona familia yenu imeiongoza mpaka ukaenda shule ingawa usingefika huko kutokana na tatizo la kichwa chako! anza kujifunza!!
Mkuu Mnyika alijibu email ya yule mama wa ujeremani akiwa amemcopy zzk pia na hapo ilikuwa tarehe 9-11-013 lakini zzk akaandika tena barua kwa katibu mkuu tarehe 10-11-013. Hivyo kinsingi zzk either hakuridhika na majibu ya Mnyika au hakuiona email ya Mnyika hivyo siyo issue ya protocol ila kama msemaji wa chama alifanya kwa niaba ya chama na hakuandika mambo yake mwenyewe bali kama msemaji tu. Na ninaamini katibu mkuu hana haja ya kumjibu tena zzk kwa sababu ufafanuzi aliokuwa anautaka zzk ndo huo uliotolewa na chama kupitia msemaji wake, labda kwa ajili ya record tu wanaweza wakamjibu japo content itakuwa ni ileile.Ni sahihi kabisa ki-protokol kwa Mnyika kuwasiliana na public. Lakini si sahihi kwa zitto kupata majibu kwa kumtumia Mnyika. Kwa kuwa Zitto amemuandikia Slaa; basi ki-protokol Slaa alitakiwa amjibu Zitto kimaandishi kabla ya Mnyika kuruhusiwa kuwasiliana na umma (public).
halafu kuna lugha ya kimasikini sana umeitumia humu kwamba zitto amejenga nyumba na eti lema ni mpangaji ! Vyama vya siasa ni mali ya wanachama , once ukimkubali mtu yeyote kuwa mwanachama , anakuwa na haki sawa na wakongwe , Mrema alimtimua Leo Lwekamwa TLP japo alikuwa founder , poor Mchange , chumba chako cdm kimepangishwa tafuta pa kukimbilia .
Mkuu kwa mwendo huu, hatutaenda mahali. Mi nafikiri kama haya madai yana ukweli, ajitokeze Slaa au Mbowe afunge mjadala ili wanachama kwa ujumla waelewe kinachoendelea ndani ya chama kuliko kuwaachia watu wenye id fake kuwashutumu wengine! Ni mara nyingi sana nimemwona Dr Slaa akijitokeza huku jukwaani akijibu hoja ambazo hata hastahili kujibu, lakini hili linalohusu mustakabali wa CDM yeye kakaa kimya as if halimhusu. Siasa za CDM zimekua kama za CCM kiasi kwamba mnatukatisha tamaa kwenye safari yetu ya ukombozi.
Mkuu wangu Daudi Safari, ushindi wowote utakuja ikiwa sisi washindani tupo pamoja as team na tukiwa na mshikamano ulioimara. Kumbuka kuparangana kwa uongozi CDM ni kutengeneza mwanya wa sisi wanachama kuparangana pia. Kuna watakaomwona ZZK kama shujaa wao, wengine Slaa, na Mbowe pia atapata wa kwake! Tusifanye mzaha katika jambo kubwa kama hili na kumwona msaliti kila anaeonekana kuwa na wazo tofauti. We can differ in our interest, but still we are friends.
LEMA anawadanganya wana Arusha kuwa alifanya mtihani wa NECTA online! ulishasikia hii?
Hivi mara ngapi Katibu mkuu wa CCM ametuhumiwa Ujangili,viongozi wangapi wa ngazi za juu CCM wametuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya,viongozi wangapi wa CCM wametuhumiwa ufisadi na wizi?Mara ngapi mwenyekiti wa CCM mheshimiwa JK aliwahi kuzitolea ufafanuzi tuhuma hizo za viongozi wenzie?Acheni unafiki na uzandiki,who is Zito by the way,mpaka Mwenyekiti au Katibu mkuu alitolee ufafanuzi?Hiyo ni ishu personal lakini kwa busara CDM waliyonayo Mnyika ameishaitolea ufafanuzi,wht next mnataka?Nilisema toka mwanzo badala ya kuja hapa na kutishia watu mahakamani;aseme hizo namba sio za kwangu,hao wanaosemekana kutumiwa hela sijawahi kuwatumia,au hata kama niliwatumia zilikuwa za kuninunulis mboga nyumbani au mimi ndiye mhasibu wa CDM nilikuwa nawatumia mishahara;Hapo tutawaelewa!