Zitto: Kwanini Mama Rwakatare haagwi Bungeni kwa mujibu wa Kanuni za Bunge? Kwanini azikwe na Serikali kama hajafa kwa COVID19?

Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Mbunge akifariki Dunia analetwa ndani ya Bunge na kuagwa. Hata Mbunge awe amefariki akiwa nje ya Nchi huletwa Bungeni. Mbunge Mama G Lwakatare ( Mungu amrehemu ) anazikwa na Serikali na hataagwa na Wabunge wenzake. Serikali inasema SIO #COVID19TZA


Ni mambo kama haya yaliyo wazi, halafu serikali inadhani raia hawawezi kujiongeza!

Halafu raia waendelee kuiamini serikali kwa jambo lolote!

Serikali ya kihuni kweli kweli tuliyonayo.
 
Daudi Mchambuzi, kinachofanya Marehemu azikwe bila kufanyiwa yale anayostahili ni mazingira tuliyomo sasa na wla si ugonjwa uliomua.
so wanaokufa sasa hivi wanazikwa na manispaa
 
Huyu mtu naye domo kubwa sasa! Kila kitu yeye anajua! Dah! Hadi kero! Umezuiwa mikusanyiko, unataka maiti ipelekwe Bungeni kuagwa kwani Rwakatare ni mali ya Bunge? Huyo ni mtu ana familia yake na maamuzi yao au Zitto unadhani Bunge ni kila kitu ktk dunia hii. Watu wa aina yako mwaka huu ukikosa ubunge nawe utazikwa kwa presaha
Mkuu mikusanyiko ipi iliyozuiwa?Kuna bar mtaani kwako imefungwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaacha unafiki Zitto msiba kwa sasa hasafirishwi, Mbunge huyu sadist kama vile anafurahi kuona kifo cha mwenzake. Aacha unafiki your low life loose, sad !!!!!
 
Siku zote marehemu anapaswa aheshimiwe. Hatupaswi kuanza kujadili vitu inaumiza sana kama ndugu zake wanasoma hapa.

Halafu ndugu zangu tusibeze kifo, kila nafsi lazima itaonja mauti. Anayetangulia asibezwe wala kunyooshewa kidole hiyo ni njia yetu sote
Soma tena ndio uje uongee
IMG-20200421-WA0016.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom