Zitto kuwa m/kiti wa CHADEMA taifa?

Wakuu,
Kuna habari za kuaminika kuwa Mh Zitto Kabwe ameanza harakati za kutaka kuukwaa uenyekiti wa Chadema Taifa. Nimeziita habari hizi tetesi kwa sababau sijui degree ya ukaribu kati ya Zitto na rafiki yake niliyeongea naye.
Mikakati ya kuusaka uenyekiti huo zimeshaanza na tayari ameanza kupanga safu ya uongozi hasa kwa ngazi ya Kitaifa.
Hoja ambazo ameaza kuisambaza chini kwa chini, kisiri siri sana na kwa umakini wa Hali ya juu ni kama zifuatazo;
HOJA ZA ZITTO ZUBERI KABWE kwa wapiga kura wake.
A) Uchaguzi uliopita alimpisha Mbowe kwa Ushauri wa Wazee kwa unyenyekevu wote, kwa hiyo safari ndugu yetu naye atawaomba wazee kuwa hii ni zamu yangu nami naomba nigombee na/au ikiwezekana nipite bila kupingwa kama Mbowe. Atawaomba wazee hivyo.
B) Hoja ya pili Chadema ni Chama kinachoungwa mkono sana na vijana hivyo, Dr Slaa siyo Chaguo bora kwa CDM kwa sasa kuwa mkiti ILA yeye ndiye Chaguo bora. Dr Slaa ni Mzee, Mbowe aachie kwa hiari hata kama katiba inamruhusu kwa kuwa ameongoza miaka 9 mpaka 2013 uchaguzi utakapofanyika.
C) Tatu, Chama chetu kinonekana au kinatuhumiwa kuwa chama cha Wachagga . Hivyo mimi nitamaliza hoja hiyo ili tushinde 2015. Ndani ya mkakati huu anategemewa kuchota kura toka mikoa yote isipokuwa wachaga. Wanategema kutumia fitina ikibidi hasa kama mbowe atagombea tena. Ikionekana Mbowe ana nguvu watamlazimisha kwa kashfa iwe iwavyo.
D) Mbowe na Slaa wote wawmetoka kaskazini, SASA ni muda muafaka na kanda zingine nazo ziongoze CHADEMA kama tumekomaa na tunataka kuingia ikulu.Hoja hii nayo inategewa kuwapa nguvu mikoa mingine. Tayari wapambe wako kazini isipokuwa kanda ya kaskazini.
E) Kete kubwa kuliko zote ni kuwa, kwa kuwa Chadema inatuhumiwa kwa udini na waislamu, mimi ndiye suluhisho pekee. Hapa tayari kuna watu wamesambazwa kwa wajumbe ambao ni waislamu ndani CDM ili wamwuunge hasa wale wanaoonekana kuwa wataweza kumaintain nafasi zao na kuwashawishi potetial leaders to be. Kumbuka uchaguzi wa taifa utafanyika baada ya chaguzi za ngazi ya chin kuisha kote nchini.

MIKAKATI
A) Viongozi ambao ni washabiki wake nchi nzima wamepewa fedha za kutosha kuhakikisha kuwa wale wanaomwuunga mkono wanashinda nafasi za kuwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa na Baraza kuu ili kumpitisha yeye mwaka 2013.
Kinachoshangaza kwa taarifa nilizo nazo toka moja wa marafiki zangu ambaye ni mtandao wake na asiyejua msimamo wangu ni kuwa fedha si tatizo katika kundi hili.
B) Washabiki wake ambao ni wanachadema na wasiowanachedema wanamchangia fedha nyingi sana. Wanakadiria kukusanya sh Bil moja. Hizi fedha nazo zilinipa mshangao nikizingatia kuwa alikuwa na confidence kupita kiasi.

NB; Alikana kabisa kuhusu watuhumiwa wa UFISADI kuwafadhili wao. Pia alikana kuwapo kwa mkakati wa kuhama Chadema ambao umekuwa ukirushwa katika jamiiforum ila alikiri kuwa bosi wao zitto anajua kila kitu katika JF kuhusu yeye. Ameamua kutojibu baadhi ya tuhuma huko JF na magazetini. Alisema, sasa tunampango wa kutumia sehemu ya fedha kusafisha majeraha ya mwahalisi, JF na magazeti mengine kwa mbinu yo yote. Sikuelewa maana ya Mbinu yo yote.
Kilichonishangaza kuliko zote.
Nilimwuuliza, je mkishindwa mko tayari kukubali matokeo? Alikataa kata kata kuwa kunakushindwa katika mikakati yao, piga ua gara gaza hakuna kushindwa. Iwe iwavyo lazima tutashinda.
Binafsi nilishindwa kumwelewa, nijuavyo, katika siasa kuna kushinda na kushindwa pia.
Wakubwa,
Humbly I submit.
Uwongo na propaganda. Kuna watu hawana raha bila kuandika kuhusu Zitto. Wanaugua ugonjwa wa zittophobiasis!
I challenge huyu rafiki yangu atajwe humu ndani.
Yote haya ni habari za kusadikika kwa malengo maalumu.
Hapakuwa na makubaliano yeyote kwamba uchaguzi wa chama ujao nitagombea. Kila mwana chadema ana haki ya kugombea na sio Zitto peke yake kama inavyorajibu kujengwa.
Acheni hila la kutuvuruga. Acheni tujenge chama chetu. Thread kama hizi zina lengo moja tu, kutugawa viongozi wa chama.
I have full trust to the current leadership and I am totally loyal to the Leadership of the Party under Rt.Hon. Freeman Mbowe!
 
Ukweli kwa sasa ni kuwa hata huko Kigoma, wameshasema kama ataendeleza undumilakuwili wake, hata Ubunge hapati.

Unakuja kusema awe Mwenyekiti? Mtu ambaye ALIKIKIMBIA Chama chake Bungeni baada ya kushindwa hoja kwa kura?

Sasa akiwa Mwenyekiti, bado ataendelea kukimbia?

Hapo ndipo alipofanya Makosa makubwa sana ambayo milele yatam-cost.

Alitakiwa kuwa na chama chake hata kama yeye HATAKI kwa sababu tu, alishindwa kuwaridhisha wanachama wa Chadema wasitoke bungeni siku Kikwete alihutubia.

Ananikumbusha wimbo wa Chidumule wa MV Mapenzi Namba 2.
Kigoma is firmluy behind me and I dedicately serve them. Don't ever under estimate watu wa Kigoma.
 
Bado hajaiva na hatakiwi kuwa na tamaa kiasi hicho. Kwa ushauri wangu. Safu ya uongozi ibaki kama ilivyo kwa 2015 na Dr. Slaa awe mgombea wa Urais. Kama watamwagwa na CCM then next time wabadili uongozi, hasa Mwenyekiti. So far Mbowe amefanya kazi nzuri sana na chama kimeimarika chini ya uongozi wake. Watu wanaweza kum-undermine lakini that's a fact. Kwa jinsi siasa zinavyomwendea Zitto kwa sasa, nafikiri kumpa uwenyekiti itakuwa ni mwanzo wa anguko la chadema.
 
Wewe rafiki yangu kama huyo zitto amekupa pesa ili uanzishe threat hii kwa lengo la kupima upepo au sijui ni wewe mwenyewe bw. zitto, basi umefulia mbaya. Zitto kwa sasa ndani ya chadema anaongeza ruzuku tu kwa kuwa ni mmoja wa wabunge wake lkn si mtu ambaye eti chama kinamwangalia kama ni kiongozi mahiri. Kuna wakati kweli kama angeanzisha masuala hayo angekubalika lkn si sasa. Anatumika na mafisadi alafu aje apate uenyekiti! shame on him. Chadema bado tunawahitaji akina Mbowe na Slaa kwa muda mrefu zaidi, hawajachoka wala hawajazeeka. Kwanza kama kuna haja ya kubadili nafasi hizo ni bora ziende kwa akina Said Alfi, Halima Mdee, Tindu Lissu, John Mnyika nk kuliko kumpa m.p.u.m.b.a.v.u. huyo anayelewa misifa. People's Power!!!!!!!:panda:
 
... aende kwa ngariba kwanza.. na akiwa huko ajifunze kwamba kijana mnafiki ukifika wakati wa uzee basi atageuka kuwa mchawi!
 
Wewe rafiki yangu kama huyo zitto amekupa pesa ili uanzishe threat hii kwa lengo la kupima upepo au sijui ni wewe mwenyewe bw. zitto, basi umefulia mbaya. Zitto kwa sasa ndani ya chadema anaongeza ruzuku tu kwa kuwa ni mmoja wa wabunge wake lkn si mtu ambaye eti chama kinamwangalia kama ni kiongozi mahiri. Kuna wakati kweli kama angeanzisha masuala hayo angekubalika lkn si sasa. Anatumika na mafisadi alafu aje apate uenyekiti! shame on him. Chadema bado tunawahitaji akina Mbowe na Slaa kwa muda mrefu zaidi, hawajachoka wala hawajazeeka. Kwanza kama kuna haja ya kubadili nafasi hizo ni bora ziende kwa akina Said Alfi, Halima Mdee, Tindu Lissu, John Mnyika nk kuliko kumpa m.p.u.m.b.a.v.u. huyo anayelewa misifa. People's Power!!!!!!!:panda:
mkuu lazima uheshimu watu siyo kukashifu bila sababu ya msingi. sijui wewe ni mchadema kweli au mamluki. tuache propaganda tujenge chama. Mh Zitto ameshatoa ufafanuzi mara nyingi lakini mnaendelea kuleta topic za uongo na ukweli kuhusu zitto, nafikiri nyie ndiyo hamna nia njema na chadema. tua\che fitina jamani tujenge chama na nchi yetu. tuheshimiane kama tunavyopenda kuheshimiwa bandugu.
 
Mh hii thread, ina mambo ya kiintelegensia...ngoja nimsubiri ''mi na kamati yangu'' aje na maghadhabu yake hapa!!.
 
Wakuu,
Kuna habari za kuaminika kuwa Mh Zitto Kabwe ameanza harakati za kutaka kuukwaa uenyekiti wa Chadema Taifa. Nimeziita habari hizi tetesi kwa sababau sijui degree ya ukaribu kati ya Zitto na rafiki yake niliyeongea naye.
Mikakati ya kuusaka uenyekiti huo zimeshaanza na tayari ameanza kupanga safu ya uongozi hasa kwa ngazi ya Kitaifa.
Hoja ambazo ameaza kuisambaza chini kwa chini, kisiri siri sana na kwa umakini wa Hali ya juu ni kama zifuatazo;
HOJA ZA ZITTO ZUBERI KABWE kwa wapiga kura wake.
A) Uchaguzi uliopita alimpisha Mbowe kwa Ushauri wa Wazee kwa unyenyekevu wote, kwa hiyo safari ndugu yetu naye atawaomba wazee kuwa hii ni zamu yangu nami naomba nigombee na/au ikiwezekana nipite bila kupingwa kama Mbowe. Atawaomba wazee hivyo.
B) Hoja ya pili Chadema ni Chama kinachoungwa mkono sana na vijana hivyo, Dr Slaa siyo Chaguo bora kwa CDM kwa sasa kuwa mkiti ILA yeye ndiye Chaguo bora. Dr Slaa ni Mzee, Mbowe aachie kwa hiari hata kama katiba inamruhusu kwa kuwa ameongoza miaka 9 mpaka 2013 uchaguzi utakapofanyika.
C) Tatu, Chama chetu kinonekana au kinatuhumiwa kuwa chama cha Wachagga . Hivyo mimi nitamaliza hoja hiyo ili tushinde 2015. Ndani ya mkakati huu anategemewa kuchota kura toka mikoa yote isipokuwa wachaga. Wanategema kutumia fitina ikibidi hasa kama mbowe atagombea tena. Ikionekana Mbowe ana nguvu watamlazimisha kwa kashfa iwe iwavyo.
D) Mbowe na Slaa wote wawmetoka kaskazini, SASA ni muda muafaka na kanda zingine nazo ziongoze CHADEMA kama tumekomaa na tunataka kuingia ikulu.Hoja hii nayo inategewa kuwapa nguvu mikoa mingine. Tayari wapambe wako kazini isipokuwa kanda ya kaskazini.
E) Kete kubwa kuliko zote ni kuwa, kwa kuwa Chadema inatuhumiwa kwa udini na waislamu, mimi ndiye suluhisho pekee. Hapa tayari kuna watu wamesambazwa kwa wajumbe ambao ni waislamu ndani CDM ili wamwuunge hasa wale wanaoonekana kuwa wataweza kumaintain nafasi zao na kuwashawishi potetial leaders to be. Kumbuka uchaguzi wa taifa utafanyika baada ya chaguzi za ngazi ya chin kuisha kote nchini.

MIKAKATI
A) Viongozi ambao ni washabiki wake nchi nzima wamepewa fedha za kutosha kuhakikisha kuwa wale wanaomwuunga mkono wanashinda nafasi za kuwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa na Baraza kuu ili kumpitisha yeye mwaka 2013.
Kinachoshangaza kwa taarifa nilizo nazo toka moja wa marafiki zangu ambaye ni mtandao wake na asiyejua msimamo wangu ni kuwa fedha si tatizo katika kundi hili.
B) Washabiki wake ambao ni wanachadema na wasiowanachedema wanamchangia fedha nyingi sana. Wanakadiria kukusanya sh Bil moja. Hizi fedha nazo zilinipa mshangao nikizingatia kuwa alikuwa na confidence kupita kiasi.

NB; Alikana kabisa kuhusu watuhumiwa wa UFISADI kuwafadhili wao. Pia alikana kuwapo kwa mkakati wa kuhama Chadema ambao umekuwa ukirushwa katika jamiiforum ila alikiri kuwa bosi wao zitto anajua kila kitu katika JF kuhusu yeye. Ameamua kutojibu baadhi ya tuhuma huko JF na magazetini. Alisema, sasa tunampango wa kutumia sehemu ya fedha kusafisha majeraha ya mwahalisi, JF na magazeti mengine kwa mbinu yo yote. Sikuelewa maana ya Mbinu yo yote.
Kilichonishangaza kuliko zote.
Nilimwuuliza, je mkishindwa mko tayari kukubali matokeo? Alikataa kata kata kuwa kunakushindwa katika mikakati yao, piga ua gara gaza hakuna kushindwa. Iwe iwavyo lazima tutashinda.
Binafsi nilishindwa kumwelewa, nijuavyo, katika siasa kuna kushinda na kushindwa pia.
Wakubwa,
Humbly I submit.

Gurti kwanza uelewe kuanzia leo..

Kuwa Zito na Mbowe ni washikaji tena sana tu....let this stick in your mind.

Ndio maana kuna tuhuma nyingi juu ya Zito anayeibua na kuzisambaza kwa uzushi ni Dr. Slaa, ndio maana tutahalikisha anaishia hapo alipo haendi mbali.

Slaa hajui kuwa Mbowe na Zito ni washikaji ..natamani niseme jambo naona keyboard inanizuia.

Na hili wengi hata humu hawalijui na tunapoona comments Zito aondoke wengine tunabaki tunacheka tu!

Bifu ni Slaa na Zito, Slaa ana chuki na anamuogopa Zito, najua kuwa alipopata kura milioni 2 aliringia na kusema Zito hajawahi kupigiwa kura kama hizo

Tulipotaka uchaguzi ufanyike na viongozi wa juu waondolewe wote kazi ikawa ni nani wa kuwapata

Mbowe is smart...very very smart..na KIKUBWA hana uroho wa madaraka...ukifikia muda ATAONDOKA TU, na kama chair anaweza kumpigia kampeni Zito atafanya hivyo...Mbowe kwa maneno yake anaonekana anampenda zaidi Zito.......mtafute muulize.

Inahisiwa hata ile vuguvugu la uongozi eti zito anataka kuwa mwenyekiti ni changa la macho..wengi mliingia king, hata mimi nilikuwamo humo

Nilichukia chadema, wazee, Mbowe na nilipokuja kugundua ukweli nikasema SIASA NI MCHEZO MCHAFU!!!
 
Heee, hiyo mikakati inatishia uhai wa CHADEMA manake kusema ukweli tuhuma hizo za ukasikazini na udini zipo masikioni mwa watu. Nadhani kuna watu wanzisambaza kwa makusudi. Kwa kutumia hiyo mikakati naona kuna hatari ya Zitto kushinda, amejipanga. Hivi unakumbuka JK alipochukua form ya kuomba ridhaa ndani ya CCM ili achaguliwe kuwa mgombea wao mwaka 2005 pale Kibaha, aliulizwa je ukishindwa, akasema hapa hakuna kushindwa na kweli alishinda. Tusubiri tuone ya Zitto.

Sawa lakini Jk alitumia mbinu chafu sana kuingia ikulu. Unataka naye aingie kwa mbinu chafu kama jk aichafue chadema?
 
Wewe rafiki yangu kama huyo zitto amekupa pesa ili uanzishe threat hii kwa lengo la kupima upepo au sijui ni wewe mwenyewe bw. zitto, basi umefulia mbaya. Zitto kwa sasa ndani ya chadema anaongeza ruzuku tu kwa kuwa ni mmoja wa wabunge wake lkn si mtu ambaye eti chama kinamwangalia kama ni kiongozi mahiri. Kuna wakati kweli kama angeanzisha masuala hayo angekubalika lkn si sasa. Anatumika na mafisadi alafu aje apate uenyekiti! shame on him. Chadema bado tunawahitaji akina Mbowe na Slaa kwa muda mrefu zaidi, hawajachoka wala hawajazeeka. Kwanza kama kuna haja ya kubadili nafasi hizo ni bora ziende kwa akina Said Alfi, Halima Mdee, Tindu Lissu, John Mnyika nk kuliko kumpa m.p.u.m.b.a.v.u. huyo anayelewa misifa. People's Power!!!!!!!:panda:

Mimi siyo zitto na wala simuungi mkono zitto mkono kuwa mkiti wa Taifa na hafai kwa hiyo nafasi hata kidogo. Mimi nimetoa reported speech. Na baadhi ya maeneo nimeonesha mshangao wa kukataa kushindwa na kutafuta fedha nyingi za kugombea kama wanavyofanya ccm. Soma vizuri.
 
icon1.png
Re: Zitto kuwa mkiti wa chadema taifa?

Rafiki yako hakukueleza ukweli nilichosikia mimi ni kwamba Zitto anaandaliwa kuwa mufti wa waislamu Tanzania kutokana na kuwa na elimu ya kuridhisha, kwani huyu mufti wa sasa hivi akikaa kikao meza moja na maaskofu hawezi kuwa napointi ya kuongea kwa sababu ni darasa la saba, huo ndio mkakati uliopo kwa sasa kwani licha ya swala la umri wake kuwa mdogo, imethibitishwa kwamba hakuna umri maalum wa kuwa mufti, na kuhusu kitakuwaje awe mufti wakati zitto haswali sala tano, hoja hiyo ilipanguliwa kwamba kuna viongozi wengi tu wa Bakwata ambao ni wakristo na wengine ni masheikh lakini wanamiliki bar za kuuza pombe, na wengine wameoa wanawake wakristo lakini hawajafunga ndoa za kiislamu. nitaendelea kuwapa update hizi kwa kadili ninavyozipokea.​

CRAP! kama vatar yako.............kweli peoples power
 
Gurti kwanza uelewe kuanzia leo..

Kuwa Zito na Mbowe ni washikaji tena sana tu....let this stick in your mind.

Ndio maana kuna tuhuma nyingi juu ya Zito anayeibua na kuzisambaza kwa uzushi ni Dr. Slaa, ndio maana tutahalikisha anaishia hapo alipo haendi mbali.

Slaa hajui kuwa Mbowe na Zito ni washikaji ..natamani niseme jambo naona keyboard inanizuia.

Na hili wengi hata humu hawalijui na tunapoona comments Zito aondoke wengine tunabaki tunacheka tu!

Bifu ni Slaa na Zito, Slaa ana chuki na anamuogopa Zito, najua kuwa alipopata kura milioni 2 aliringia na kusema Zito hajawahi kupigiwa kura kama hizo

Tulipotaka uchaguzi ufanyike na viongozi wa juu waondolewe wote kazi ikawa ni nani wa kuwapata

Mbowe is smart...very very smart..na KIKUBWA hana uroho wa madaraka...ukifikia muda ATAONDOKA TU, na kama chair anaweza kumpigia kampeni Zito atafanya hivyo...Mbowe kwa maneno yake anaonekana anampenda zaidi Zito.......mtafute muulize.

Inahisiwa hata ile vuguvugu la uongozi eti zito anataka kuwa mwenyekiti ni changa la macho..wengi mliingia king, hata mimi nilikuwamo humo

Nilichukia chadema, wazee, Mbowe na nilipokuja kugundua ukweli nikasema SIASA NI MCHEZO MCHAFU!!!

WABEROYA,
Sikubaliani na wewe kwa sababu magazeti ambayo ni pro chadema kama mwanahalisi yasingemponda zitto kwa kutoa siri zake. Mbowe angelinda uovu wake kama ni mshikaji wake na kama angependa siku moja awe mkiti wa chadema taifa. Na hilo lisingekuwa jambo jema kwa Mbowe pia. Una hoja nyingi nzuri lakin hapa nakukatalia.
 
Gurti kwanza uelewe kuanzia leo..

Kuwa Zito na Mbowe ni washikaji tena sana tu....let this stick in your mind.

Ndio maana kuna tuhuma nyingi juu ya Zito anayeibua na kuzisambaza kwa uzushi ni Dr. Slaa, ndio maana tutahalikisha anaishia hapo alipo haendi mbali.

Slaa hajui kuwa Mbowe na Zito ni washikaji ..natamani niseme jambo naona keyboard inanizuia.

Na hili wengi hata humu hawalijui na tunapoona comments Zito aondoke wengine tunabaki tunacheka tu!

Bifu ni Slaa na Zito, Slaa ana chuki na anamuogopa Zito, najua kuwa alipopata kura milioni 2 aliringia na kusema Zito hajawahi kupigiwa kura kama hizo

Tulipotaka uchaguzi ufanyike na viongozi wa juu waondolewe wote kazi ikawa ni nani wa kuwapata

Mbowe is smart...very very smart..na KIKUBWA hana uroho wa madaraka...ukifikia muda ATAONDOKA TU, na kama chair anaweza kumpigia kampeni Zito atafanya hivyo...Mbowe kwa maneno yake anaonekana anampenda zaidi Zito.......mtafute muulize.

Inahisiwa hata ile vuguvugu la uongozi eti zito anataka kuwa mwenyekiti ni changa la macho..wengi mliingia king, hata mimi nilikuwamo humo

Nilichukia chadema, wazee, Mbowe na nilipokuja kugundua ukweli nikasema SIASA NI MCHEZO MCHAFU!!!

we jamaa kweli ni mtata,
sijawahi changia mchango wako maana naona kama ni mtu uliyechanganyikiwa hivi.

Hebu tafuta siku umwage dukuduku lako haswa kuhusu CDM, uwe muwazi labda utaeleweka msimamo wako.

Ukiwa kama great thinker inabidi utoe ushahidi wa unachokizungumza, toa nukuu za vyanzo mbalimbali kuthibitisha tuhuma zako
 
Gurti kwanza uelewe kuanzia leo..

Kuwa Zito na Mbowe ni washikaji tena sana tu....let this stick in your mind.

Ndio maana kuna tuhuma nyingi juu ya Zito anayeibua na kuzisambaza kwa uzushi ni Dr. Slaa, ndio maana tutahalikisha anaishia hapo alipo haendi mbali.

Slaa hajui kuwa Mbowe na Zito ni washikaji ..natamani niseme jambo naona keyboard inanizuia.

Na hili wengi hata humu hawalijui na tunapoona comments Zito aondoke wengine tunabaki tunacheka tu!

Bifu ni Slaa na Zito, Slaa ana chuki na anamuogopa Zito, najua kuwa alipopata kura milioni 2 aliringia na kusema Zito hajawahi kupigiwa kura kama hizo

Tulipotaka uchaguzi ufanyike na viongozi wa juu waondolewe wote kazi ikawa ni nani wa kuwapata

Mbowe is smart...very very smart..na KIKUBWA hana uroho wa madaraka...ukifikia muda ATAONDOKA TU, na kama chair anaweza kumpigia kampeni Zito atafanya hivyo...Mbowe kwa maneno yake anaonekana anampenda zaidi Zito.......mtafute muulize.

Inahisiwa hata ile vuguvugu la uongozi eti zito anataka kuwa mwenyekiti ni changa la macho..wengi mliingia king, hata mimi nilikuwamo humo

Nilichukia chadema, wazee, Mbowe na nilipokuja kugundua ukweli nikasema SIASA NI MCHEZO MCHAFU!!!

Uchonganishi na umbeaaaaa! Hali ya hewa ya CCM unataka kuileta Chadema.
 
Back
Top Bottom