Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Zitto kama Kihiyo sasa ni misamiati mpya kwenye lugha ya kiswahili, ukisikia mtu anasema usinizito maaana yake usinisaliti
 
Sawa.
Ukisema cha nini wengine wanasema nitampata lini?
 
Kila siku anatimkia anatimkia, mbona story inazidi kuchuja? Zitto ni kikulacho, ACT ndani ya Chadema, ADC ndani ya Cuf na Hamad Rashid
 
Tunamkaribisha sana. Na tunamuomba mheshimiwa Zito ziara ya kwanza kichama ianzie Jimbo la Kibaha mjini. Ni jimbo ambalo ACT wanaweza kujimilikisha bila kutumia nguvu kubwa kutokana na mbunge wake kutokuwa na mvuto kwa wananchi wake na hata wanaotajwa kumrithi hakuna mwenye ushwishi wakisiasa.

Shuka kidogo mpaka Chalinze inge sound zaidi, Ri hatabebwa tena..zitto asiende katika majimbo ya wapinzani ,
 
Alisema atakuwa wa mwisho kutoka chadema kwa hiyali yake! Hakutoka kwa hiyali yake amefukuzwa

Wanafiki hutoka kwa unafiki wao na huo ndo uihiari wa kuondokana nao! Umeshiriki kutunga katiba halafu unapeleka suala hilo mahakamani maana yake umeihiari kutoka ndani ya chama! - Hiyali ndo nini tena!
 
Back
Top Bottom