Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Zitto amesababisha Chadema imekufa

utakufa wewe,CHADEMA itaendelea kuwepo na kuwa imara zaidi ya mnavyofikilia! u just wait time will tell kama hao waliosema mwisho wa CHADEMA 2013 lakini leo ni 2015 wanahenyeshwa ile mbaya! 37 kwa 5 unafikiri mchezo? ukimuliza NAPE atakwambia mpaka sasa hajapata hayo matokeo! chezea wengine siyo CHADEMA.
 
Haya, wale woote wanaomfuata zitto mtahamia Act, chama makini kilichoanzishwa na zitto ili kupambana na Chadema.?
Upinzani unapopingana na upinzani!
 
utakufa wewe,CHADEMA itaendelea kuwepo na kuwa imara zaidi ya mnavyofikilia! u just wait time will tell kama hao waliosema mwisho wa CHADEMA 2013 lakini leo ni 2015 wanahenyeshwa ile mbaya! 37 kwa 5 unafikiri mchezo? ukimuliza NAPE atakwambia mpaka sasa hajapata hayo matokeo! chezea wengine siyo CHADEMA.

huu ndio mwaka wenu wa mwisho, vikumbuke vyama kama NCCR, CUF viko wapi sasa?
 
Zitto amesababisha Chadema imekufa

Ukoo wenu wote utasambaratika na kizazi chenu na chako ila Chadema itaendelea kuwepo tu
CDM ni kama uislam au ukristo utakwepo tu ila waumini watakufa wengine watazaliwa.
 
CDM mnajitahidi kumpaka tope ZZK kwa maneno ya dhihaka mnasahau ndo kwanza tope linazidi kugeuka kuwa maji linamsafisha kijana azidi kung'aa.
 
jina lako linatoa taswira ya ufikiri wako

unaweza ukathibitisha kwa data dahihi ufisadi wa lowasa?usiongeee ongeee tu tra nishawaaambia wanapoteza mapato usingeongea urojo kama ungelipishwa tozo kwa kila uongealo ,,,no data keep quite
hahahaaa.. Hii ndo tabu ya kuongea na chekechea...
 
ukoo wenu wote utasambaratika na kizazi chenu na chako ila chadema itaendelea kuwepo tu
cdm ni kama uislam au ukristo utakwepo tu ila waumini watakufa wengine watazaliwa.

asante kwa somo safi
 
Jina lako linatoa taswira ya ufikiri wako

Unaweza ukathibitisha kwa data dahihi ufisadi wa lowasa?usiongeee ongeee tu tra nishawaaambia wanapoteza mapato usingeongea urojo kama ungelipishwa tozo kwa kila uongealo ,,,no data keep quite

mbona unatokwa povu? data zipi unataka wewe juu ya huyo fisadi? mtu aliachia kiti cha UWAZIRI MKUU kwa maslahi ya umma,alafu wewe unajitoa ufahamu kwa kumtetea huyu jamaa! imekula kwenu!
 
huu ndio mwaka wenu wa mwisho, vikumbuke vyama kama nccr, cuf viko wapi sasa?

mwaka jana mlisema hivyohivyo hata babu wa suti aka wasira alitangaza 2014 mwisho wa cdm.. Sasa hii tunaigeuza ccm huu ndo mwisho wenu.. Upo!!!! Staytune!!!
 
mbona unatokwa povu? Data zipi unataka wewe juu ya huyo fisadi? Mtu aliachia kiti cha uwaziri mkuu kwa maslahi ya umma,alafu wewe unajitoa ufahamu kwa kumtetea huyu jamaa! Imekula kwenu!

mkuu uciumize kichwa chako kwa hiki kichekechea.. We angalia kimeingia lini humu ndani ndo ukijibu
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
Baada ya hisia sasa imekuwa kweli Zitto kabwe rasmi ahamia ACT mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:Magazeti ya leo

kwa hiyo ina maana kumbe ni kweli kuwa Zitto alishiriki kuanzisha chama chengine whilst bado akiwa ndani ya Chadema??

pathetic!

hivi kweli Zitto anategemea kuaminiwa na watu tena?
 
Nionavyo zzk anaendelea kutumiwa na ccm. Lengo kuu ni kuzigawa kura za wapinzani kwani kwa mwaka huu ukawa imekuwa tishio kwa ccm. Kwa wale ambao hawaamini kuwa zzk ni msaliti, sasa wajionee wenyewe. Niwazi kwamba zzk ana wapenzi wengi japokuwa wapo pia wasiompenda.
Ni wazi pia wale wanaompenda watahama naye kwenda act.
Kwa mtazamo wangu, zzk ni kibaraka na asiyefaa kuwa kiongozi wa nchi yetu
 
lisemwalo lipo kama halipo laja huu ni msemo wa wahenga ila unamaana kubwa sana
baada ya hisia sasa imekuwa kweli zitto kabwe rasmi ahamia act mwigamba ampokea kwa mbwembwe.
Source:magazeti ya leo

chadema hawakukosea kumtimua yeye zzk na kina mwigamba wake. Sasa kazi imebakia ccm ya kumpiga kibuti edo ili naye akimbilie kuungana na kabwe waanze mchakato wa urais. Tunasubiri tuone yatakayojiri.
 
Humu kuna comments nyingi ambazo hazileti maana, muelekeo wala maendeleo. Simjui kiundani Zito lakini alinifurahisha pale alipo chachamaa kwenye kesi ya escrow.
Sasa waleta mjadala ni vizuri tukazungumzia mazuri aliyo yafanya na mabaya alio yafanya ili wasiomjua waweze kumjua vizuri na atakae mchagua kwenye ubunge au lolote ajue kwanini anamchagua, badala ya watu kua kama bendera inayo fuata upepo, mradi mtu kasikia Zito ni mzuri basi mpe kura au ni mbaya basi nyime kura.
 
Dhambi ya usaliti na ubaguzi itawatafuna tuuu. Ipo siku mtaliamini hili. Zitto ataondoka na wengi sana waliokua nyuma yake. Litadhihirika hivi punde. Mungu hamtupi Mtu mwenye dhamira ya kweli.
 
Duuh ama kweliii siasa mchezo mchafu nilimsikiliza zzk akijigamba kuwa ni mwanachamaa wa CDM sasaa leo ACT...duh...
 
​el sijui atamfuata akishapigwa chini may,2015 pale chimwaga???

unadhani ataelekea wapi na wakati ameshajipanga mwaka huu lazima aingie kwenye mbio za kuelekea magogoni.. Iwe ndani ya chama la mafisadi au nnje ya hili chama fisadi. Na alikwisha jipanga na zzk siku nyingi hii ndio kete yao. Nadhani inaelekea vizuri kama walivyojipanga
 
Back
Top Bottom