Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

nenda bwana zitto nenda usaliti ujaanza leo:
Ona maneno ya mwigamba akikulaumu kumuacha juju ndanda na kumpendelea rafiki yako kafurila alipofukuzwa uanachama

"nilitegemea mambo yasiyoendana na sera na kauli mbiu za chama chenu ambazo zinatangazwa hata katika jina la chama (demokrasia na maendeleo) ambayo yalifanyika pale ukumbini uliyaona.najua jioni wakati wa kutangaza matokeo hukuwepo lakini nategemea ulipata taarifa za kauli za vijana mbalimbali walizotoa pale wakitaja waziwazi majina ya watu walioharibu uchaguzi ule.
sikutarajia kama naibu katibu mkuu wa chama upinge hatua ile iliyochukuliwa na msimamizi wa uchaguzi pamoja na kikao kingine chochote cha juu ya msimamizi wa uchaguzi eti kwa sababu tu rafiki yako kafulila alikuwa anaongoza.
hilo lilinipa taabu kubwa na naomba uniwie radhi rafiki
yangu lakini nasema ukweli wa nafsi yangu kwamba nilifikia kujiuliza mara mbilimbili kama ungechaguliwa wewe kuwa mwenyekiti wa chama hicho taifa, hali ingekuwaje?
Na mwisho nilipingana na wewe pale ulipopinga kwenye vyombo vya habari kuvuliwa wadhifa kwa david kafulila. Kwanza ulionekana umeweka ubaguzi kwa sababu katika maneno yote uliyonukuliwa ulisisitiza juu ya kafulila peke yake na hukumgusia kabisa danda juju wakati wote walivuliwa kwa sababu
zinazofanana.

lakini kwa sababu kafulila ni rafiki yako sana, umemwandaa kuwa mbunge na unamuunga mkono katika harakati zake, na ni mbunge mtarajiwa kwa kuwa anakubalika sana jimboni basi ukamtetea na kumsahau ‘mhanga’ mwenzake. Hilo tu linafanya tutofautiane na zaidi sana tunatofautiana kwa kupinga maamuzi ya katibu mkuu wako nje ya vikao, maamuzi aliyoyachukua kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo"
mwisho wa kunukuu.
usaliti na ubaguzi ni hulka kuu za zito,hatoacha kamwe,ngoja aingie huko act
 
chadema kama wapo macho washinikize jamaa asing'atuke kipindi hiki,vinginevyo huyo mtu ni very genious anataka achomoke aingie ACT kisha waanze na kina mwigamba na kitila kufanya kampen mapemaaa kabla jina lakw halijakauka midomon mwa watanzania,na mwisho wa siku chadema watajikuta wapo uchiiiii october.amin nakwambiaaaa
 
Ndoto za alinacha
 
Nashukuru umenielewa japo nimekosea! Asingekwenda mahakamani angeshafukuzwa uanachama siku nyingi alikwenda mahakamani kutafuta haki

Alisitahili kulishwa matapishi aliyoyatapika mwenyewe! wenzako wanamipangilio ya maana wewe unakuwa kiwavi jeshi!
 
chadema kama wapo macho washinikize jamaa asing'atuke kipindi hiki,vinginevyo huyo mtu ni very genious anataka achomoke aingie ACT kisha waanze na kina mwigamba na kitila kufanya kampen mapemaaa kabla jina lakw halijakauka midomon mwa watanzania,na mwisho wa siku chadema watajikuta wapo uchiiiii october.amin nakwambiaaaa

Mwandiga anamadiwani wangapi wa CDM?? ni aarufu kwingine tu?
 
chadema kama wapo macho washinikize jamaa asing'atuke kipindi hiki,vinginevyo huyo mtu ni very genious anataka achomoke aingie ACT kisha waanze na kina mwigamba na kitila kufanya kampen mapemaaa kabla jina lakw halijakauka midomon mwa watanzania,na mwisho wa siku chadema watajikuta wapo uchiiiii october.amin nakwambiaaaa
Leo kukabidhiwa kadi

11015295_1813210655571228_7000002701713192419_n.jpg
 
Baadhi ya watu wazito ndani ya ccm wamekuwa na mjadala wa kujipongeza Juu ya hili suala la Zitto ...hadi mikashikwa na bumbuwazi .....maudhui yakionesha kuwa wamefanikiwa kumtumia kukidhoofisha Chadema na upinzani ..kwa ujumla na bila kuficha wanamsifu Rais Kikwete ..na watu wake kwa kumtumia vizuri ..
Lakini pia hawaachi kumlaumu Rais pale alipomtumia Zitto dhidi Yao CCM ...hasa kwa mambo ambayo yeye akio ugumu kuyafanya Moja kwa Moja .....ikiwemo suala la kufukuza MAWAZIRI kazi na mengine ya Ki snitch .....," ....alikuwa muigizaji wetu mzuri ...unampa script tu ..."
Maudhui mengine ya hawa wazito serikalini ..wanawaonea WANANCHI huruma Kama Kweli WANADHANI ni mtetezi wa wanyonge ...., " watu wakitaka kujua Huyu kijana Ana pesa ...waone Sasa atakapoanza kuzitumia,watu wanajua ugumu na gharama Za vyama hasa vichanga ..ukiona Kina pesa ..lazima ujuwe mtu kajipanga" .. " kala pesa yetu nyingi Sana "
Waziri mmoja mwandamizi naye akachangia " ...Hana lolote Huyo ni Opportunist tu ...,mvurugaji ..na Mbuzi Kwenye ngozi ya Kondoo ..aende zake "
Balozi mmoja yeye akasema ...." Huyu safari Hii akatizi Kwani hata 2010 mnajuwa kuwa Alishinda kwa sababu sisi ( ccm ) tuliamua kumbeba ..,kwakuwa alikua anafanya kazi zetu ...,si mnakumbuka tulimuwekea mgombea dhaifu ..na wala hatukumpa resource Za kufanya kampeni ya Nguvu ...hata Rais alipopita pale "
Mbunge mmoja wa ccm anaongeza..." ..aaa hata PAC si tuliamua Kumpa wenyewe ...au mmesahau ..tuliamua kumpa yeye "
Mstaafu mmoja mwandamizi " lakini hata ndani ya ccm ..Huyo hangetufaa ...mtu anayejiiona bora kuliko chama ...hawa Chadema wametuiga sisi tuliweza kufukuza wazito Kama Kambona, Aboud Jumbe ,Maalim Seif na hawa Kina Hamad Rashidi ..."
Mtu mmoja ambaye anajulikana ni mwandamizi Usalama ...anaasema ...." Sasa Huyu Kama kazi yake kashafanya ...hatumuhitaji tena ...,Ukishatumika huna kazi tena ..maana hata sisi anaweza kutuharibia .."

Those are mixed feelings kwenye makundi mbali mbali ya wana CCCM ....kwa Kifupi wengi wamefurahi na wanajipongeza WANAONA wameshamtumia Sasa imebaki kamtosa ....Nadhani wenye weledi WATAKUA wameshana haya ...maoni ya waandamizi wa chama na Serikali Juu ya Hili
 
Nivema Kuwa na watano wanye nia dhabiti na chama kuliko kuwa na wati mia wenye usaliti nihatari sana kilalaheri uwendako tutabaki wenye nia dhabiti
 
Back
Top Bottom