Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,723
- 5,662
Bora atimkie tu,Mfalme amezidi kumnyanyasa.
Wanafiki hutoka kwa unafiki wao na huo ndo uihiari wa kuondokana nao! Umeshiriki kutunga katiba halafu unapeleka suala hilo mahakamani maana yake umeihiari kutoka ndani ya chama! - Hiyali ndo nini tena!
Kumbuka pia kuwa tatizo lake kubwa ni hulka yake ya mimi, mimi, mimi (umimi - egocentrism). Kwa mtu wa hulka hii hawezi kushirikiana vizuri na wenzake katika kikundi cho chote kile (kiwe ni chama cha siasa au cha kuweka na kukopa) kwa sababu anataka yeye ndiye aonekane kinara mara zote, yeye ndiye abebe sifa, yeye ndiye yeye. Ndiyo sababu kubwa ambayo haikuweza kumfanya awe na ushirikiano mzuri na viongozi wenzake wa CDM na hivyo kupelekea mgogoro ambao hatima yake ni hii. Hata akienda ACT mambo yatakuwa yale yale tena mgogoro mkubwa hata kabla ya Oct. Ni hulka na kwa bahati mbaya haina dawa!!!!kwenye escrow ni PAC ndiyo iliyochachamaa...Zitto alionekana zaidi kwa vile alikuwa ni mwenyekiti.
kwa hiyo sidhani kama escrow ndiyo kura yake ya turufu ya kumtoa...
Zitto ni jembe ulaya.hongera zake kuachana na CHADEMA.
Ngozi ngumu wapi? Mwepesi kama karatasi!
...Kabla ya hao kina Mnyika, sijui mbali na John Mnyika walengwa wengine walikuwa kina nani!
Zitto amesababisha Chadema imekufa
...Kabla ya hao kina Mnyika, sijui mbali na John Mnyika walengwa wengine walikuwa kina nani!
Chadema ndo imeshasambaratika hivyo, kalagabaho.
Ndo kitu kinachoshangaza. Wamemfukuza wao na bado hawaishi kumuwaza. Tukiwaambia ndo mwanasiasa bora 2005-2015 wanakua wabishi ila vitendo vyao vinadhihilisha kukubaliana nat ukweli huo.