Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Mkuu elewa kwamba hapa hatuzungumzii Escrow,tunazungumzia Usaliti na mustakabali wake kisiasa.usichanganye mada.kwenye Escrow tulikuwa wakweli na tulimuunga mkono na kwenye mapungufu tulisema.Sasa Escrow haiwezi ku-offset Usaliti wa Zitto.Hata ivo issue ya Escrow haikuwa ni private(kama Zitto anavyowaamisha),ni kazi ya CAG na PAC ikachambua na finally bunge likaazimia,labda uniambie kama PAC ilishabinafsishwa
Ndio mkuu nimekuelewa, ndio maana nikasema binafsi simjui kiundani, labda kwa kua niko nje ya nchi. Kwa hiyo nivizuri vizuri tukawajua wanasiasa wetu ili tuweze kuchagua chama sahihi enye wanasiasa sahihi. Ukiwa nje ya nchi hasa kwenye nchi zilizo endelea ndio utaona tofauti kubwa ilio kwepo kwenye siasa na uzalendo. Inauma sana kuona nchi enye kila aina ya resource ikihesabiwa kama nchi maskini. Inabidi tuamke tuwajue tunao wachagua kiundani badala ya kusikia tu fulani ni mzuri sana au ni hodari sana