Zitto kung’oka CHADEMA

Zitto kung’oka CHADEMA

Zitto anatakiwa atulizane, ajikague na akiona makosa yake ayarekebishe..
Maisha ni lazima yaendelee kwa Chadema, either with him or without him.
Pia maisha yake ni lazima yaendelee, either with Chadema or without it, siyo busara kulazimisha visivyolazimishika.
 
zzk ameshndwa kusaidia jthada za kupata maji kgma kaskazn wanawake wanahangaika kusafir umbal mref kuyafuata maj ila leo mnamwta mtu maarufu?


Baadhi ya Wataaalamu kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maji Kigoma Wakikagua maedeleo ya mradi wa maji.​
 
napata wasiwasi sana wewe kumsifia zitto hilo ndilo linalomponza haiwezekani mkamsifia mbunge wa upinzani kama kweli yupo kinyume na nyinyi
mmeshindwa kujificha kama mnamtumia ndio maana tumegutuka
Ndugu,
This is where the sarcasm lies!.

Please, learn to read between the line!
 
...hang'oki anafukuzwa,atembee na kadi yetu...
 
zzk ameshndwa kusaidia jthada za kupata maji kgma kaskazn wanawake wanahangaika kusafir umbal mref kuyafuata maj ila leo mnamwta mtu maarufu?

Ulitaka yeye awawekee maji kwa pesa zake laumu serikali kazi ya mbunge ni kuliongelea jambo tu na utekelezaji ni wa serikali kuu.bavicha mna taabu sana
 
Hadi 2015 atabaki mbowe na mtei tu kwenye hiyo saccos

:angry::A S-eek: sasa kwanini wabaki hawa tu. Na tena ni kwanini hiki Chama wengi wanakiita SACOS wakati ni chama cha Siasa jamaanii! .Kama wanakosea inatakiwa hata tuna :A S 109: kwani nao itakuwa ni watu wanaostahili ku :spit:na kufanya hivi:hail: na mbele wakijichokozesha ili waweze kushawishi watu wawele . Sasa ikiitwa Sacoss , mbona kinafanya siasa.
Labda ungeshauri waache kujiongoza kama mfumo wa Kidictator or as King of the Current time na wawe na Demokrasia safi kwa mustabali wa kisiasa .:second:na mwingine:llama:ila hafiki .Pole sana
 
Nikitizama kipande inachosadkika ameongea slaa,me sioni kama inashida zitto kuhamia Chama kingine,kuwa kikatiba ni haki yake.na ni bora kuhama kuliko kubaki ktk chama ambacho haaminiki!.

Hata mm mwenyewe najua kuwa zitto wa miaka hio sio huyu wa leo mwachane ahame.
Kama yeye ni bora sawa tutamfaidi hata kupitia act si hajahama nchi bna kahama chama tu.lilisiwe swala la kutuotezea mda hapa.

Na hzi ni mbinu za ccm kuwagawa wanachadema so mkiwa wajinga watafanikiwa mission yao kuwa watu wa kuona mbele na mbali ohhooo!
 
ZITTO .Z. KABWA amezaliwa kuwa kiongozi, naamini lazima siku zijazo atakuwa rais.
 
Ukitaka uongozi CDM we ungana na akina Slaa na DJ. Mbowe kuwaponda wasiowataka, then uchaguzi unaofuata gombea nafasi very easy
 
Dr slaa naona sasa anazeeka vibaya eti anataka kuwasaidia watanzania kuikataa katiba huo uwezo kautoa wapi kama wabunge wake tu ambao hawafiki hata hamsini kashindwa kuwathibiti wote ataweza kuwathibiti watanzania make baadhi ya wabunge wake walipigiq kura ya ndiyo kuunga mkono rasimu na kushiriki mijadala vema leo anaibuka na jingine huyu babu hajielewi.
 
Watasikika wakisema,

Who is Zitto!

Hana impact yoyote ndani na nje ya CHADEMA!

Hata huko Kigoma, hana Wabunge na Madiwani wa CHADEMA!

CHADEMA ndiyo imemfikisha hapo alipo!

Chama hakiwezi kuruhusu wasaliti ndani ya chama!

CHADEMA kwa sasa ni imara zaidi baada ya kumuondoa kwenye uongozi!

Etcetera, Etcetera...
Huo ndio uhalisia hautaki unaacha
 
Ukitaka uongozi CDM we ungana na akina Slaa na DJ. Mbowe kuwaponda wasiowataka, then uchaguzi unaofuata gombea nafasi very easy

Kweli akili kumnywele;kwani Dr Slaa na mh Mbowe ndio wapiga kura? unawakilisha kundi la wana Magamba wenye uelewa zero kabisa
 
Watasikika wakisema,

Who is Zitto!

Hana impact yoyote ndani na nje ya CHADEMA!

Hata huko Kigoma, hana Wabunge na Madiwani wa CHADEMA!

CHADEMA ndiyo imemfikisha hapo alipo!

Chama hakiwezi kuruhusu wasaliti ndani ya chama!

CHADEMA kwa sasa ni imara zaidi baada ya kumuondoa kwenye uongozi!

Etcetera, Etcetera...

Mbona ccm ina watu ambao wameshindwa kukiheshimu chama kwwenye bunge la katiba pamoja na vitisho vyote lakini tangia tarege 5/8/2014 hawakuonekana bungeni mfano LUGOLA,BULAYA NA FILIKUNJOMBE ,cha kushangaza chama cha mafisadi yameshindwa hata kuwafukuza uanachama . huu ubaguzi wa kuwabagua wanzaibar peke yao eti ndio wanaofukuzwa ndani ya ccm ni uonevu na ubaguzi wa kipumbavu. Pamoja na hiyo act mliyoanzisha kwa kumtumia huyo zzk hamtashinda hii vita

HIVI WEWE SHETANI MWEUSI MBONA ZIKIWEKWA MADA ZA UFISADI HUWA HUCHANGII HATA MARA MOJA?
 
Back
Top Bottom