Hivi niulize Zittoni chama gani hasa? maana sidhani kama yupo CHADEMA n the real sense.
So is 39 = 40?
Tuwe na shukrani at least kidogo kwa kazi inayofanywa na Zitto ndani ya Chadema yeye pia ana weakness zake he can't make 100% perfect as many people wishes.Hivi niulize Zittoni chama gani hasa? maana sidhani kama yupo CHADEMA n the real sense.
Tuwe na shukrani at least kidogo kwa kazi inayofanywa na Zitto ndani ya Chadema yeye pia ana weakness zake he can't make 100% perfect as many people wishes.
Kumbuka yeye ndiyo ka engineer movement ya wabunge na wanachama wengi kutoka CCM kuingia Chadema alikuwa anawafuata personally, yeye ndiye anafanya kampeni mkoa mzima wa Kigoma ili Chadema ipate wabunge wengi kama so wote, anafanya juu chini kuirudisha halmashauri ya Kigoma ndani ya Chadema. Mnataka afanye nini zaidi hata kama ni kibaraka wa chama kingine basi ni kibaraka mzuri kwa Chadema.
Kama mnavyosema inawezekana si Chadema, at the sametime anajitahidi kuivunja ngome ya CCM hasa huko Kigoma basi ni mtu mzuri kwa Chadema na ni mtu mwenye mapenzi na Chadema labda anataka hata kama ataondoka kwenye siasa awe ameijengea Chadema msingi mzuri. Chadema tunamwitaji kibaraka wa aina hiyo.
Mkandara nakuelewa kwamba CCM wanaona the weakest link kuwa ni Zitto, lakini kama Zitto mwenyewe analiona hilo na analijuwa hilo itawachukuwa CCM muda mrefu sana na gharama kubwa kufanikiwa.Zitto ana maadui wengi sana. Na sijui kama nin yeye alowavuta au ni kitu gani kwa sababu binafsi nimekutana naye na kuongea naye ni mtu safi mwenye kusikiliza zaidi ya kuzungumza yeye. Mkweli na mwepesi wa kuongeza anachokiamini yeye jambo ambalo hukaribisha mjadala kwa wale wasioamini maneno yake.
Labda niseme tu kwamba Chadema kuna vijana wengi wenye malengo na wakati mwingine haya malengo yao hutafsirika vibaya hasa inapokuja ktk jumuiya yenye mamlaka yake. Siwezi kubisha kama Zitto hawezi kuweka matumaini hayo isipokuwa kuzungumzia hili ktk mkutano wa kuomba kura za wananchi kugombea Ubunge, kusema kweli nashindwa kuamini hadi hapo ukweli kamili utakapo patikana.
Wakuu zangu tupo ktk wakati mgumu sana na hakika tusirukie vitu kwani CCM wanajaribu kila hali kuhakikisha vurugu inatokea ndani ya chama Chadema na wao wanajua fika kwamba the weakest link ni Zitto..Hivyo wakitumia jina la Zitto ktk maswala ya kuigawa Chadema itaweza kuaminika zaidi.
Hizi habari za kweli jamani ?
Kama za kweli, inamaana Slaa akishinda 2010, 2015 hatagombea? Au Zitto haamini kwamba Slaa anaweza kushinda 2010 ?
Na kama si kweli? the opposite is true.Kama kweli Zitto alijiandaa kusema alichokisema basi tunaweza kuhitimisha along Kiranga's line: (i) Zitto anaamini kwamba Slaa ni msindikizaji uchaguzi ujao, (ii) Chadema panafuka, especially kati ya Zitto na wenye chama chao. Mana tungetegemea katika hali yakawaida Slaa agombee tena urais 2015 baada ya kutumia muda huu kujitangaza.
Na kama si kweli? the opposite is true.
Hapana mkuu wangu sio swala la Zitto kujua hilo isipokuwa wana Chadema ndio wanatakiwa kujua hilo.Mkandara nakuelewa kwamba CCM wanaona the weakest link kuwa ni Zitto, lakini kama Zitto mwenyewe analiona hilo na analijuwa hilo itawachukuwa CCM muda mrefu sana na gharama kubwa kufanikiwa.
Lakini kama Zitto mwenyewe hajui kama anawindwa kutumiwa itakuwa rahisi kwa CCM kwa sababu wanaweza kutumia kosa dogo tu likawa ni breaking point kama wewe unavyoita weakest link.
Kwa mfano habari hii ya leo ingawa sijamsikia personally akitamka inawezekana kabisa hakumaanisha hivyo, mfano, kwenye mkutano unaweza kuwauliza wananchi ...mnanitaka nigombee tena 2015...wakasema NDIYOOOOO lakini gombea urais. Sasa wewe kwa kukatisha maneno ukasema SAWA nimekubali.
Kitendo cha wewe kusema SAWA kinaweza kuchukuliwa na wapinzani wako wanaokuwinda kukitumia kama propaganda kama tunavyoona leo. Kwa hiyo Zitto has to be very very careful kwa vile ana maadui wengi wanaomzunguka ndani ya Chama na nje ya chama.
By the way,kwanini hakuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni pale Jangwani?
Kama shilingi haijaangukia kichwa juu utauliza imeangukia upande gani?
Huyu Zitto huyu na mambo yake yenye kuacha maswali mengi;
-Alipendekeza mitambo ya Dowans itaifishwe, baadae akasema inunuliwe.
-Alipendekeza liundwe jopo la majaji kuchunguza Richmond...Rostam naye ali support
-Atafanya maamuzi makubwa ambayo hayajawahi kufanywa na mtu yoyote Tanzania
-Kusifia uongozi wa Kikwete kila kukicha.
-Alisema atamsaidia mgombea wa NCCR kwenye kampeni.
-Role models wake wote ni ccm.
This guy is a time bomb just waiting to go off
sio Zitto tu wengi hatuamini hilo. Namuunga mkono Zitto ktk nia nake hiyo. layball:Hizi habari za kweli jamani ?
Kama za kweli, inamaana Slaa akishinda 2010, 2015 hatagombea? Au Zitto haamini kwamba Slaa anaweza kushinda 2010 ?