sikujua kama siku hizi umekuwa msemaji wa watanzania!"hatuna imani nae" "watanzania hawamhitaji" kwanini uwasemee watu moyo? zitto amefanya kosa gani ambalo halisameeki au halirekebishiki? kama ni kosa kubwa sana la kukosa sifa ya kuwa kiongozi kwanini cdm iendelee kumng'ang'ania????Kashaga mumchukue tu mkamtumie kwa namna itakavyowapendeza. Hatuna matumizi nae. Watanzania hawamhitaji. Anaweza kufaa mkimtumia kwa nafasi ya Domokaya (atakuwa amechoka by then), au chili ngapi. Huko hatakuwa bugudha kwa waTz.
Asanteni kwa kuona talenti.
Bora umepita na ujumbe wako umefikaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
[PHP][HTML]
[/PHP[/HTML] TUNA HITAJI WATENDAJI ZAIDI KWA SASA. Angalia Magufuli, Mrema, Pinda Walivyo shindwa kutekeleza majukumu yao kutokana na udhaifuwa walio juu yao.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
si kawaida yangu kutukana naomba nisianze leo, kwa nini baadhi ya watanzania wanadharau hivi wakati hali zao ni duni mara elfu kuliko za hao wanaokashifu? ni wachezesha disco kama mbowe wanaoweza kubadili maisha ya watanzania na washenzi kama nyie muendelee kupiga domo huku mkishindwa hata kitambaa cha kupenga kamasi. Inaudhi sana dharau za wasionacho, unaweza kumlinganisha mbowe na JK? au kwa kuwa anavaa joho la kijani? watanzania wamechoshwa na fikira mgando za kula bila kuzalisha nini disco we are better off kuongozwa na mama ntilie walau anajua kupanga mahitaji ya chakula sipendi kabisa dharau za poppers. mtabaki hivyo hivyo oo slaa kashindwa kuongoza kanisa wakati kura zake mmemuibia ingekua mnagamba mngeacha tuone leo hii baba zetu wangeshakuwa mahospitali wakipata matibabu ya kisayansi badala yake mko nao mnagombea foleni loliondo mavi hapo hapo, halafu mnalaumu maiti zimetapakaa, how about muhimbili tunalala nazo wodini masaa na masaa.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mimi maono yangu ni kwamba katika CDM ni ZITTO peke yake ambaye anaweza kutusogeza toka point A to B nchini Tanzania. Wengine wote wanafaa kuwa wasaidizi wake. Sisemi kwamba hawafai, lakini katika Presidential level, Zitto is the right choice. Slaa ni mtendaji, let him be PM na Mbowe labda VP. Huu ni ukweli ambao hata Stevie Wonder anaweza kuuona.
Napita.
zitto alikosea angekuwa nccr leo angekuwa na nguvu zaidi....
Nadhani hujui unaeongea nae. Na wala sina haja ya kukupa faida kubwa, kwa ufupi:
Anaekuleza hayo ni: Semi retired professional who worked with International corporations for over 25 Years in decision making positions. Currently a shareholder and member of the boards in several good companies ranging from Services, Farming, Trading to Tourist lodges and Hotels.
That's majimshindo, for your information.
Mkuu! Kwa sifa hizo ulizojilimbikizia na kuzitaja hapo kwa kizungu. Mbona mi naona zinapingana na maoni yako juu ya viongozi wa CDM? Au hizo sifa umejipachika tu? Sifa hizo ni kwa upande wa kudhalilisha wengine. Kama ndivyo.. Umebobea kwa kushindwa kuficha chuki ya wazi tofauti na hadhi yako Mkuu!