CAG kakanusha kwani?tuwe wapole kwenye haya mambo,jamaa mpaka kamattack CAG straight anajua anachosema tusubiri akanushe ndio tupate ushaidi.Sasa unajibu nini
Kama sio kutugombanisha na Serikali
Mkuu
Alete ushaidi Japo wa picha tuone
Mnaa tuu huyuu
Chawaa tuuu huyu
Kama Mwijaku
Lkn siwanatoka Kigoma
Ukiona amethubutu kutoa hizo allegation kubwa kiasi hicho jua kweli Jiwe alifanya hayo.Sasa unajibu nini
Kama sio kutugombanisha na Serikali
Mkuu
Alete ushaidi Japo wa picha tuone
Mnaa tuu huyuu
Chawaa tuuu huyu
Kama Mwijaku
Lkn siwanatoka Kigoma
Pussy Nigga on Air
Mbona alimuita Magufuri mshamba hakuguswa? acheni porojo.
Jiwe bhana !Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Hakuna udini jiwe alikuwa hovyo kabisa rubbish afadhari alikufaHuyo mrundi udini unamtesa
Mtu mzima kupambana na marehemu ni kiashiria cha niniJamaa vp huyu mbona ana hasira sana na marehemu huyu yan kila Sikh anadondosha moja,amwache kidogo shujaa wetu apumzike
Magufuli hakuwa msukuma, tuliza munkaliHuyo kenge alie komaaa sura kama tako la nyani kamkomalia Jpm kama mke mwenza ....alete ushahidi hata wa picha ...kwanza ana lipi alilofanyia taifa hili mpaka anapata ujasiri wa kumsema mtu alie acha alama kubwa moyoni mwa watu ....kabwela ww ni kenge mmoja hivi na wanao kulipa kumchafua jiwe watakula tako hilo maana utafeli tu ....
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Facts na figures za zitto ziko wapi?Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
Halafu hapo baadhi yawatu kwenye hiyo picha eti bado "wanatumikia" taifa kwenye nyadhifa kubwa kabisa,bila soni wala aibu walilidanganya taifa hadharani.
Na bado atakubutua sana hata baada ya kufaHakika alituumiza sana kuanzia kiakili hadi kiuchumi
Leta fact, nina uhakika.hata ukipewa miaka 100 hutaletaUmwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Huyo ndio anavyoishi Town toka enzi za dhaifu [emoji23]Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.