Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Mimi mwenyewe hapa nipo kimya.

Natafakari na kuchunguza kama ni kweli au ni chuki,fitna,wivu,kijicho au roho mbaya.
kijana wanamtafutia zengwe aondoke pale na inaweza kuwa mwisho wake kisiasa,mzungu anapata wapi ujasisri wa kuita press conference kumnanga waziri tena ndani ya nchi yake angefanya hayo kwao tusingestaajabu.
 
UNATAKA AZUNGUMZE BAADAE WEWE NA WENZIO UKAWA MUMUITE MSALITI, HTA MIE NINGEKUWA ZITTO NINGEKULA KOBISI TUUU!
 
kijana wanamtafutia zengwe aondoke pale na inaweza kuwa mwisho wake kisiasa,mzungu anapata wapi ujasisri wa kuita press conference kumnanga waziri tena ndani ya nchi yake angefanya hayo kwao tusingestaajabu.
HALAFU HAWA WAZUNGU TUNAWASHADIDIA SANA, KWAO HUWEZIKUPATA HII PUBLICITY YA NAMNA HII, HUO UKOLONI ULIPO KWENYE VICHWA VYA BAADHI YA WATANZANIA AMBAO BOB MARLEY AMEUPIGIA KELELE KITAMBO (EMACNCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY) MZUNGU TUNAMPA KIKI, WEWE JITU JEUSI UKIWA KWAO HAKUNA HATA MTU ATBOTHER KUKUJADILI, KWELI TUNA MIKA MINGI YA UTUMWA KWENYE AKILI ZETU! MUNGU ATUEPUSHIE WENGINE MBALI!!
 
Mkuu tulishasema kuwa Act ni tawi la ccm na mtu aliye simamia mkakati huo ni mwigulu na makamba
Awali tuliaminishwa mdhamini wa ACT ni LOWASAA leo tunaambiwa nchemba na makamba.
 
siko CDM mkuu.pia CDM kwasasa kimejijenga zaidi.ACT inahitaji platform kama hizi kutueleza misimamo yake kwa vitendo.kumbuka ZZK ni.marafiki.
Unataka akurupuke ili apate aibu.
Inatakiwa ajirikuside kwanza kabla ya kuside.
 
Kama umesoma magezeti ya Jumapili Zitto ameibuka na story ya Magufuli kuwa halipi kodi. Zitto alijuwa kuna uwezekano wa magezeti kubeba story ya January hivyo akatoka na single ya mshahara wa rais na kodi akidhani kuwa ataweza kuhamisha mada.
hahahahahaaaa zito naye ameshuka chini kisiasa anataka kujipandisha tena uwiii amebugiii
 
Back
Top Bottom