Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Kiongozi Mkuu wa ACT Tanzania ameandika ujumbe kwenye fb yake,ujumbe huu unaonekana kumtia moyo January Makamba kuhusu masaibu yanayomkuta....Ikumbukwe kwamba Zito hajawahi kumsema vibaya Makamba,hata figisu zake wakati wa uchaguzi hakuzikemea.UJUMBE wake "...the anger or jealousy of one
man could block the advance of
a political career... BUT Politics is
for long distance runners, not
sprinters. Victory is certain
comrade".Zito pia aliwahi kumtaja January kama hazina kubwa kwa Taifa,namnukuu "January Makamba, ni mmoja ya
Hazina kubwa sana ndani ya
chama cha mapinduzi. Na
nadhani kama wakimuandaa
vizuri anaweza kuja kuwa Lulu
ya chama cha mapinduzi.
Muhimu ni kuhakikisha ya
kwamba anapata majukumu
ambayo yatamkomaza zaidi
kiuongozi na kuwa tayari
kuweza kufanya majukumu
makubwa zaidi katika nchi
yetu".
Hao ni wapiga dili wawili wanajuana. Wapiga dili wazuri sana na wanakula kichini chini hamna mfano
 
We mchange nenda kwa mangekimambi akupe darasa wewe unaonekana huelewi kinachoendelea kwa watu wanaojuana kinagaubaga.kaa chonjo hii game tafu tena inapendeza maana mange ndo yule yule aliyekua upande wa ccm kwa kuleta madongo kwa mgombea wa ukawa so msijidai mnasingizia ni ukawa ama bavicha.ila kwa kua upele umepata mkunaji basi nasi twakuna vizuri ila master wa game si mzungu tena ni mange na sijui mtampozaje maana kaamua liwalo na liwe
 
Kiongozi Mkuu wa ACT Tanzania ameandika ujumbe kwenye fb yake,ujumbe huu unaonekana kumtia moyo January Makamba kuhusu masaibu yanayomkuta....Ikumbukwe kwamba Zito hajawahi kumsema vibaya Makamba,hata figisu zake wakati wa uchaguzi hakuzikemea.UJUMBE wake "...the anger or jealousy of one
man could block the advance of
a political career... BUT Politics is
for long distance runners, not
sprinters. Victory is certain
comrade".Zito pia aliwahi kumtaja January kama hazina kubwa kwa Taifa,namnukuu "January Makamba, ni mmoja ya
Hazina kubwa sana ndani ya
chama cha mapinduzi. Na
nadhani kama wakimuandaa
vizuri anaweza kuja kuwa Lulu
ya chama cha mapinduzi.
Muhimu ni kuhakikisha ya
kwamba anapata majukumu
ambayo yatamkomaza zaidi
kiuongozi na kuwa tayari
kuweza kufanya majukumu
makubwa zaidi katika nchi
yetu".

Nakubaliana Zitto
 
Wote wezi tu ndio sababu walitimuliwa Chadema. Watanzania wa sasa hakuna danganya toto. Tunataka watu wahajibike wanapofanya madudu.
 
Hakuna kibaya alichoandika.I'm sure tungejua kilichopo nyuma ya pazia na kitakachoendelea wiki ijayo baadhi ya comments zingekuwa tofauti.

January amefanya kosa kubwa Jana na akiendelea kulifanya Kesho itakua .........

Haya Magufuli nae atapata chance.
 
Mpaka Jumanne hizi Stories za wafunga ubuyu wawili zitakua Zimeisha!!, Mfunga ubuyu Mmoja alie Marekani atakua anatafuta ela ya kumlipia pango Mtaliano Muekezaji!!.Alaf January Makamba at that time atakua ofisini anapiga kazi huku hana habari!! Then Mropokaji mwenye marezi ya kuungaunga ambayo baba na mama yake walishindwa kumpatia, alieko Marekani atakuja na story nyingine huko Instagram kumuhusu Lulu na tuzo yake ya AMCA kutoka Nigeria(c unajua haishiwagi swaga ili aishi).
 
Back
Top Bottom