Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

hahahahahaaaa zito naye ameshuka chini kisiasa anataka kujipandisha tena uwiii amebugiii
ukiwa na akili ndogo na isiyoweza hata kufikiri ndio unaweza kudhani Zitto ameshuka. Hakuna shida kujivua nguo kwa kufuata mkumbo.. Wakati mwingine hata kunyamaza ni Majibu tena mazuri tu.
 
Mnaangaika sana. Nyeupe itakuwa nyeupe na nyekundu itabakia kuwa nyekundu.

Hv mnafikiri kuwa Magufuli ni mjinga kusikiliza upuuzi wote huo. Yeye anayo akili ya kuchambua ni kipi chema na kipi kibaya.Na kwa nini yeye tu atajwe?? Kwa nini wengine wasitajwe?

Lazima lipo tatizo. Nina uhakika Dr Magu akitaka kupata ukweli wote ataupata. Kama ni kweli amekula rushwa itafahamika na kma ni uongo pia atafahamu. Kwa hiyo kuanzisha thread mia kumnusuru tu asitumbuliwe haisaidii..

Kama analeta uchafu kwenye serikali yake atatumbuliwa tu. Maana bila kufunga macho na kutumbua majipu yote. Mengine ukiyaonea huruma yanageuka kansa. Kwa hiyo dawa ni kutumbua tu tena mapema kabisa kabla halijakomaa.

Aliyemchafu atafahamika tu.
 
Jamaa kapata pesa zake ndio mahna kaamua kuyamaliza yule mzungu
 
Kama kweli kachafuliwa na waliomchafua wapo na wamekiri ni uchafu tu, Makamba awachukulie hatua za kisheria mambo yakaishie mahakamani, sio swala la kusameheana, tunajuaje kama wamepewa walivyokuwa wanadai? Muitaliano anadai hela zake, January alituambia Mange anataka urafiki na dadake baada ya urafiki wao wa awali kufa, bila kufikishana mbele tunajua makambas wamelipa hela muitaliano hana haja na makamba bali hela yake, lazima akae pembeni, January kacahfuka hata akioga hatakiwi kwenda mjini amechelewa gari imeondoka.
Acha kusema vitu usivyonauhakika navyo mkuu pili huyo Mange atamshtaki vipi wakati hayuko kwenye nchi ya Tanzania
 
mnasafishana tu, kwenden zenu kule, kama ni tapel bas atabak kuwa tapel tu, achen kutetea ujinga
 
Una akili sana, Money was at the center of it all.. kama Muitaliano kapewa pesa zake na nyongeza juu kimyakimya why bother..??
 
Jamaa kapata pesa zake ndio mahna kaamua kuyamaliza yule mzungu
Bavicha maskinii walikomaliaaaaa weeee, sasa hawana hoja tena! Maskini weee, aibu sana bavicha! Hivi hamuoni anguko la chadema?? Kila mnaposhika ni bakora tu!
 
Huyo mange ni nani ndani ya taifa hili...?! Hasijipatie umaarufu kwnye vitu nyeti kama hivi kama anataka akadili na bongo movie
 
Bavicha maskinii walikomaliaaaaa weeee, sasa hawana hoja tena! Maskini weee, aibu sana bavicha! Hivi hamuoni anguko la chadema?? Kila mnaposhika ni bakora tu!
Kwan mange kimambi ni chadema? Acha kupata homa ya Wenger kijana
 
mnasafishana tu, kwenden zenu kule, kama ni tapel bas atabak kuwa tapel tu, achen kutetea ujinga
Either way, kama money talked then money talked in favour of comrade J. Makamba, yule jamaa wa upande wa pili alijaribu kutumia pesa kwenda ikulu zika back fire mbaya mpaka shamba likauzwa, wapiiiii!! Matumizi ya pesa yanataka BRAINS pia.
Nilisema jana hii ishu itaisha kimya kimya ka harufu ua ushuzi.
 
Kuna tekniki ...nimeisahau jina lake....iko hivi ...kwa mfano una kashfa...Unajipanga namna ya kuipangua..halafu unamtuma pimbi mmoja ili aiibue...halafu akishaiibua jamii ina hamaki ..ndipo unajitokeza au kutumia watu ili waanze kuipangua...kisha...inakufa kimyakimya halafu mtu mwingine ukijitokeza ina kuwa sio dili mpya ishapitwa..au kama iko mbaya itakuwa ndani ya mahukmani.
 
Acha kusema vitu usivyonauhakika navyo mkuu pili huyo Mange atamshtaki vipi wakati hayuko kwenye nchi ya Tanzania
Mange asishtakiwe kwa sababu hayuko nchini? sheria ya mtandao inahusu watanzania waklio ndani ya nchi tu? Utakuwa mgeni na haya maswala mbona ze utamu alipatikana huko ughaibuni na akarudishwa nchini? Huyu January hata akirudi utoto aogeshwe na mama ake kwenye karai hasafishiki tena.
 
Back
Top Bottom