macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,290
!!!!!!!!Umesahau mwenyekiti wako Mbowele aliyepiga dili la kuuza uhai wa cdm?
!!!!!!!!Umesahau mwenyekiti wako Mbowele aliyepiga dili la kuuza uhai wa cdm?
Maana yangu ni moja tu: Makamba na Zitto ni wapiga dili na wasikudanganye hata siku moja eti wanataka kubadilisha kitu kwenye maisha ya watanzania. Najua karibu wanasiasa wote wa kiafrika wanapopata chance hujaribu kuiba, lakini kuna wale amabo wako kwenye siasa kujikweza wao tu. Basi hao wawili ni pacha. Lakini kwa bwana Magufuli wanaweza kuishia pabaya kwani yeye ni mtu wa kiasi na ana uchungu wa kweli na umaskini wetu. Zitto sasa anasikika sana akimkosoa Magufuli. Wakati wa Kikwete ulishawahi kusikia anamsema vibaya?Unamaanisha kuondoka kwa Dau NSSF ni pigo kwa Zito?
Tumuulize hata Edward Lowasa maoni yake kuhusu makambaWhy zitto peke yake?
Zitto yupo bize kumkosoa Magu wa Watanzania habari ya rafiki yake kutapeli hayupo kwa sababu wanaitwa ZAFANANAMaana yangu ni moja tu: Makamba na Zitto ni wapiga dili na wasikudanganye hata siku moja eti wanataka kubadilisha kitu kwenye maisha ya watanzania. Najua karibu wanasiasa wote wa kiafrika wanapopata chance hujaribu kuiba, lakini kuna wale amabo wako kwenye siasa kujikweza wao tu. Basi hao wawili ni pacha. Lakini kwa bwana Magufuli wanaweza kuishia pabaya kwani yeye ni mtu wa kiasi na ana uchungu wa kweli na umaskini wetu. Zitto sasa anasikika sana akimkosoa Magufuli. Wakati wa Kikwete ulishawahi kusikia anamsema vibaya?
Umesema chadema walibebea bango issue ya makamba wakati mange ndio muhusika mkuu tena toka CCM Ficha ujinga wako mtt wa WengerNi wapi nimemtaja Kimambi na ni wapi nimesema yeye ni chadema au sisiemu?
Akili za kuku wa nyama hizi!
Kwenye issue hii ukimuwakilisha ni sawa vilevile!Tunayoyasikia kuhusiana na January ni kielelezo cha njia nyingine ya viongozi wa kisiasa wanavyopata hela za haramu kwa njia tofauti. leo hii mmoja tuhuma zake zimeanikwa,wapo wengi wanatembea vifua mbele kwakuwa siku zao za kuumbuka hazijafika.
Nimeingiwa na mashaka ninavyoshuhudia ukimya wa ZZK,mara zote yupo online na anakuwa wa kwanza kuzungumzia maswala ya maadili yanaposiginwa na viongozi.
Najiuliza kwanini amekuwa kimyaa kwenye hili sakata.Ajitokeze tujue msimamo wake na chama chake.Tunaamini yeye ni kijana wa kupigiwa mfano kwa maneno na vitendo.Urafiki haupo kwenye ukweli naamini.
katetea kwa hoja unajua kuna watu dunia hii wako kwajili ya kuwavunja moyo wengineZitto ameshamtetea January kupitia msemaji wake wa chama Habib Mchange,rejea uzi ulioletw humu leo na Mchange.
Hilo jembeDah kweli Zitto anakubalika! Yani jamaa hata asiposema kitu,watu wanataka aseme! Aisee
Wanamkubali kiaina...ukawa unafiki mtu akiwa nje wanajifanya wanamchukia Zitto ila wakijifungia ndani ndio reference kwa issue zao.Dah kweli Zitto anakubalika! Yani jamaa hata asiposema kitu,watu wanataka aseme! Aisee
Ni kweli kabisa kupata madiwani 10 nchi nzima lazima Homa ya ZIKA isumbue
Nipe company mtoto mzuri..Kaburini.